Habari wakuu ngoja na mimi niweke kisa changu cha boxing day.
Siku ya boxing day nimetoka job night mida kama ya saa tano hivi kuna beer moja ilibaki ghetto nikajisemea ngoja nimalize ili panya asije akapita na kuiangusha chupa akavunja na beer nikaikosa ile Naendelea kuinywa kuna mwana akanipugia simu kuwa yupo vways bar ya kinondoni makaburini akaniambia yuko na demu wake na marafiki wa demu wake kwa vile nilikuwa bored chukua boda fast kufika akanipiga beer mbili hapo nimemsalimia mshikaji na demu wake tu pembeni kuna mademu wawili sijawasalimia maana walikua busy na story zao wenyewe zile beer mbili zimeisha ikabidi nikaenda nunua beer mbili moja ya mwana moja yangu sasa yule demu mwenzie alikuwa anaenda kuongea na mshikaji mmoja halafu anarudi baadae akaondoka peke yake yule mshikaji aliyekuwa akiongea nae alibaki pale mwanzo wa kuongea na yule demu ni mvua maana alivyoenda msalani anarudi analalamika mvua inanyesha mimi nikamkatalia then tukabishana mpaka mvua ilipokasirika ikanyesha ile ya sifa tukawa tunapiga story ila hakuna anayemjua mwenzie hapo hata majina hatujatajiana mida kama ya saa nane mziki ukazimwa hapo sina hata mawazo ya kumtia yule mwanangu yupo na demu wake huku demu ambaye niko nae anataka aondoke akalale hawezi kukaa sehemu ambapo hakuna mziki, sikumbuki nani alitoa wazo ka kwenda small planet sinza nikapinga nikawaambia tunaenda Las carinyo kinondoni nikawainua nikaenda kwenye bajaj mpaka carinyo, kwenye bajaj ndio shetani akanishawishi baada ya kumpakata ndio maesabu nikaanza kuyapiga namtafuna vipi sasa kufika carinyo nikaanza kugombana na dereva bajaj anataka buku tatu nikapigishana nae kelele mwishowe nikampa 25k tu kaingia ndani nakutaka wamekaa meza ya Mariooo vijana wanaotaka mtelezo wa bure, nikawahamisha meza maana niliona vita itakuwa kubwa, tumekaa huku shetani a kizidisha mashambulizi kula monde pale nikaanza kumnawa mara kula mate mara mtoto anataka kwenda kulala kesha choka nilikua sina cash maana nilitokana elfu 28 nayo ilishakata imebaki 3000 nikaaaga naenda chooni nikampa kasi alinde kinywaji changu fast mpaka home kwa boda nikachukua cash then huyo narudi analalamika nimechelewa yeye alitaka kuondoka nikampa uongo nikamwambia ngoja nikusindikize akamuaga mwenzie mimj hata mwana sikuwa na habar nae nikamuonesha ishara kuwa nitakupigia, hao kutafuta bajaj nje hakuna chukua boda nikamuelekeza lodge demu katulia hao mpaka lodge piga show nikafunga goli mbili za Mbappe mida ya saa nne nikamwitia bolt akasepa hakuna mtu aliyemuuliza mwenzie jina wala number ya simu.
Mniwie radhi kwa uandishi mbovu.