Venturimeter
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 238
- 568
Wakuu leteni visa vya kimasihara vilivyotokea kipindi hiki cha sikukuu
Aisee...ZERO IQ,
SINA MUDA WA KUANDIKA, LAKINI HAYO UNAYOSEMA YAKO SANA MAOFISINI.
KWA SASA WANAWAKE NDIO WAZINZI KULIKO SISI WANAUME.
Uandishi wako unaumiza kichwa na macho.Habari wakuu ngoja na mimi niweke kisa changu cha boxing day.
Siku ya boxing day nimetoka job night mida kama ya saa tano hivi kuna beer moja ilibaki ghetto nikajisemea ngoja nimalize ili panya asije akapita na kuiangusha chupa akavunja na beer nikaikosa ile Naendelea kuinywa kuna mwana akanipugia simu kuwa yupo vways bar ya kinondoni makaburini akaniambia yuko na demu wake na marafiki wa demu wake kwa vile nilikuwa bored chukua boda fast kufika akanipiga beer mbili hapo nimemsalimia mshikaji na demu wake tu pembeni kuna mademu wawili sijawasalimia maana walikua busy na story zao wenyewe zile beer mbili zimeisha ikabidi nikaenda nunua beer mbili moja ya mwana moja yangu sasa yule demu mwenzie alikuwa anaenda kuongea na mshikaji mmoja halafu anarudi baadae akaondoka peke yake yule mshikaji aliyekuwa akiongea nae alibaki pale mwanzo wa kuongea na yule demu ni mvua maana alivyoenda msalani anarudi analalamika mvua inanyesha mimi nikamkatalia then tukabishana mpaka mvua ilipokasirika ikanyesha ile ya sifa tukawa tunapiga story ila hakuna anayemjua mwenzie hapo hata majina hatujatajiana mida kama ya saa nane mziki ukazimwa hapo sina hata mawazo ya kumtia yule mwanangu yupo na demu wake huku demu ambaye niko nae anataka aondoke akalale hawezi kukaa sehemu ambapo hakuna mziki, sikumbuki nani alitoa wazo ka kwenda small planet sinza nikapinga nikawaambia tunaenda Las carinyo kinondoni nikawainua nikaenda kwenye bajaj mpaka carinyo, kwenye bajaj ndio shetani akanishawishi baada ya kumpakata ndio maesabu nikaanza kuyapiga namtafuna vipi sasa kufika carinyo nikaanza kugombana na dereva bajaj anataka buku tatu nikapigishana nae kelele mwishowe nikampa 25k tu kaingia ndani nakutaka wamekaa meza ya Mariooo vijana wanaotaka mtelezo wa bure, nikawahamisha meza maana niliona vita itakuwa kubwa, tumekaa huku shetani a kizidisha mashambulizi kula monde pale nikaanza kumnawa mara kula mate mara mtoto anataka kwenda kulala kesha choka nilikua sina cash maana nilitokana elfu 28 nayo ilishakata imebaki 3000 nikaaaga naenda chooni nikampa kasi alinde kinywaji changu fast mpaka home kwa boda nikachukua cash then huyo narudi analalamika nimechelewa yeye alitaka kuondoka nikampa uongo nikamwambia ngoja nikusindikize akamuaga mwenzie mimj hata mwana sikuwa na habar nae nikamuonesha ishara kuwa nitakupigia, hao kutafuta bajaj nje hakuna chukua boda nikamuelekeza lodge demu katulia hao mpaka lodge piga show nikafunga goli mbili za Mbappe mida ya saa nne nikamwitia bolt akasepa hakuna mtu aliyemuuliza mwenzie jina wala number ya simu.
Mniwie radhi kwa uandishi mbovu.
Kwanini mkuu?Nimekula jirani kimasihara sasa najuta hakika niwashauri msile majirani Au wafanyakaz wenzenu maofisini![]()
Wewe tembelea maeneo ya msamvu kiwanja cha star park, frolida, na terminal pub au samaki samaki, kama ela unayo na ukakosa mzigo nenda kaoge maji ya bahariniJaman naelekea Morogoro nipo kwa BM ya saa kumi na mbili jioni hiii Nikifika Moro nitalala Logde , sasa naomba conection ya Moro nisilale mpweke jaman.
🤣🤣🤣Bajaji anataka buku 3 ukampa 25k...???
Dalili ya ushogaBado najaribu kuwakumbusha baadhi ya watu,kuna watu yawezekana kwasababu za kibaiolojia au sababu nyingine zozote zile,wanachat kama wanawake,na muda mwingine wanachat kama wanaume,tuwe makini.Wengine wameweka picha za wanawake kabisa,ila ni wanaume,japo uanaume siku hizi imekua inshu,kwani kuna wanaotongoza wanaume wenzao,wakawaingilie,hivyo hao wanaoingiliwa sijajua wawekwe kwenye kundi gani.
All in all kuna watu wa aina mbalimbali humu.
Zawad ya chupi hii, nimeshakula wengi sanadem wa mshkaji tulijuana bar...siku moja jamaa analalamika boda wameona mtu wa karibu anaingia lodge na dem wake muimba kwaya.
Jamaa akalalama sana...siku na mawiki yakapita..jamaa akaonekna anataka kummwaga dem. alionesha kila dalili za kuachana nae.. kizushi zushi nikawa namhoji dem mchizi vipi? mara oo haeleweki.
nikapiga kimyaa..siku moja nikaonana nae bar dem akala menu safi nikalipa, siku nyingine hivyo hivyo ...dem akajua mshua mawe yapo....nikamuambia xmas hii nitakununulia chupi ya kuvaa siku ya sikukuuu ya xmas..dem akacheka...
xmas bana watu mkiwa zenu mkesha mzee mimi nilikuwa na chupi mpya nikacheki lodge safiii..nikamtext dem aje nimpe zawad.. akatia timu. chupi nyeupee pee safiii. mee nlianza kula mbususu baadae nikamvalisha chupi mpya.
ilikuwa kimasihara sana
Zawad ya chupi hii, nimeshakula wengi sana
Dada DeboraDada N njoo upigane hukuuu mtu anataka kukuandika
Nakadori
Habari wakuu ngoja na mimi niweke kisa changu cha boxing day.
Siku ya boxing day nimetoka job night mida kama ya saa tano hivi kuna beer moja ilibaki ghetto nikajisemea ngoja nimalize ili panya asije akapita na kuiangusha chupa akavunja na beer nikaikosa ile Naendelea kuinywa kuna mwana akanipugia simu kuwa yupo vways bar ya kinondoni makaburini akaniambia yuko na demu wake na marafiki wa demu wake kwa vile nilikuwa bored chukua boda fast kufika akanipiga beer mbili hapo nimemsalimia mshikaji na demu wake tu pembeni kuna mademu wawili sijawasalimia maana walikua busy na story zao wenyewe zile beer mbili zimeisha ikabidi nikaenda nunua beer mbili moja ya mwana moja yangu sasa yule demu mwenzie alikuwa anaenda kuongea na mshikaji mmoja halafu anarudi baadae akaondoka peke yake yule mshikaji aliyekuwa akiongea nae alibaki pale mwanzo wa kuongea na yule demu ni mvua maana alivyoenda msalani anarudi analalamika mvua inanyesha mimi nikamkatalia then tukabishana mpaka mvua ilipokasirika ikanyesha ile ya sifa tukawa tunapiga story ila hakuna anayemjua mwenzie hapo hata majina hatujatajiana mida kama ya saa nane mziki ukazimwa hapo sina hata mawazo ya kumtia yule mwanangu yupo na demu wake huku demu ambaye niko nae anataka aondoke akalale hawezi kukaa sehemu ambapo hakuna mziki, sikumbuki nani alitoa wazo ka kwenda small planet sinza nikapinga nikawaambia tunaenda Las carinyo kinondoni nikawainua nikaenda kwenye bajaj mpaka carinyo, kwenye bajaj ndio shetani akanishawishi baada ya kumpakata ndio maesabu nikaanza kuyapiga namtafuna vipi sasa kufika carinyo nikaanza kugombana na dereva bajaj anataka buku tatu nikapigishana nae kelele mwishowe nikampa 25k tu kaingia ndani nakutaka wamekaa meza ya Mariooo vijana wanaotaka mtelezo wa bure, nikawahamisha meza maana niliona vita itakuwa kubwa, tumekaa huku shetani a kizidisha mashambulizi kula monde pale nikaanza kumnawa mara kula mate mara mtoto anataka kwenda kulala kesha choka nilikua sina cash maana nilitokana elfu 28 nayo ilishakata imebaki 3000 nikaaaga naenda chooni nikampa kasi alinde kinywaji changu fast mpaka home kwa boda nikachukua cash then huyo narudi analalamika nimechelewa yeye alitaka kuondoka nikampa uongo nikamwambia ngoja nikusindikize akamuaga mwenzie mimj hata mwana sikuwa na habar nae nikamuonesha ishara kuwa nitakupigia, hao kutafuta bajaj nje hakuna chukua boda nikamuelekeza lodge demu katulia hao mpaka lodge piga show nikafunga goli mbili za Mbappe mida ya saa nne nikamwitia bolt akasepa hakuna mtu aliyemuuliza mwenzie jina wala number ya simu.
Mniwie radhi kwa uandishi mbovu.

huu uandsh nmecheka kchz, kchwa ndo kna nukta mwanzon na mwsho wa stor, hakuna koma wal nn, mkuu kpnd unaandka haukuvuta pumz au...