Ulishawahi kula tunda kimasihara?
UNA LI ANKO LAKO UNALIHESHIMU, ETI NI KIONGOZI WA FAMILIA KUMBE NALO KATI YA WANAOANDIKA UPUPU HAPA[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Ila Kuna watu wanafiki kha!
 
Habari wakuu ngoja na mimi niweke kisa changu cha boxing day.

Siku ya boxing day nimetoka job night mida kama ya saa tano hivi kuna beer moja ilibaki ghetto nikajisemea ngoja nimalize ili panya asije akapita na kuiangusha chupa akavunja na beer nikaikosa ile Naendelea kuinywa kuna mwana akanipugia simu kuwa yupo vways bar ya kinondoni makaburini akaniambia yuko na demu wake na marafiki wa demu wake kwa vile nilikuwa bored chukua boda fast kufika akanipiga beer mbili hapo nimemsalimia mshikaji na demu wake tu pembeni kuna mademu wawili sijawasalimia maana walikua busy na story zao wenyewe zile beer mbili zimeisha ikabidi nikaenda nunua beer mbili moja ya mwana moja yangu sasa yule demu mwenzie alikuwa anaenda kuongea na mshikaji mmoja halafu anarudi baadae akaondoka peke yake yule mshikaji aliyekuwa akiongea nae alibaki pale mwanzo wa kuongea na yule demu ni mvua maana alivyoenda msalani anarudi analalamika mvua inanyesha mimi nikamkatalia then tukabishana mpaka mvua ilipokasirika ikanyesha ile ya sifa tukawa tunapiga story ila hakuna anayemjua mwenzie hapo hata majina hatujatajiana mida kama ya saa nane mziki ukazimwa hapo sina hata mawazo ya kumtia yule mwanangu yupo na demu wake huku demu ambaye niko nae anataka aondoke akalale hawezi kukaa sehemu ambapo hakuna mziki, sikumbuki nani alitoa wazo ka kwenda small planet sinza nikapinga nikawaambia tunaenda Las carinyo kinondoni nikawainua nikaenda kwenye bajaj mpaka carinyo, kwenye bajaj ndio shetani akanishawishi baada ya kumpakata ndio maesabu nikaanza kuyapiga namtafuna vipi sasa kufika carinyo nikaanza kugombana na dereva bajaj anataka buku tatu nikapigishana nae kelele mwishowe nikampa 25k tu kaingia ndani nakutaka wamekaa meza ya Mariooo vijana wanaotaka mtelezo wa bure, nikawahamisha meza maana niliona vita itakuwa kubwa, tumekaa huku shetani a kizidisha mashambulizi kula monde pale nikaanza kumnawa mara kula mate mara mtoto anataka kwenda kulala kesha choka nilikua sina cash maana nilitokana elfu 28 nayo ilishakata imebaki 3000 nikaaaga naenda chooni nikampa kasi alinde kinywaji changu fast mpaka home kwa boda nikachukua cash then huyo narudi analalamika nimechelewa yeye alitaka kuondoka nikampa uongo nikamwambia ngoja nikusindikize akamuaga mwenzie mimj hata mwana sikuwa na habar nae nikamuonesha ishara kuwa nitakupigia, hao kutafuta bajaj nje hakuna chukua boda nikamuelekeza lodge demu katulia hao mpaka lodge piga show nikafunga goli mbili za Mbappe mida ya saa nne nikamwitia bolt akasepa hakuna mtu aliyemuuliza mwenzie jina wala number ya simu.

Mniwie radhi kwa uandishi mbovu.
"Nimetoka job night mida ya sa tano............Nikafunga goli mbili za Mbappe mida ya saa Nne nikamwitia Bolt aksepa"!
 
Hivi ukitongozwa na mwanamke na ukamla siku hiyo hiyo hii kitaalam tunaiitaje????
 
[emoji23][emoji23]huu uandsh nmecheka kchz, kchwa ndo kna nukta mwanzon na mwsho wa stor, hakuna koma wal nn, mkuu kpnd unaandka haukuvuta pumz au...
km ulivuta pumz bas sku nyngne uwe unavuta pumz ktk maandsh yako pia
Kwani umeambiwa wote humu ni waalimu wa mwandiko kama wewe.....? Humu kuna hadi raia wa kigeni
 
Ilikua ni Jana usiku meseji yake iliingia kwenye simu yangu akidai Yuko lonely. Nilishangaa sana huyu mtoto wa chuo kua lonely afu hawa si ndo wanaitwa baby na wanawake wenzao. Asilimia kubwa wanakua ni wasagaji kutokana na character zao kua kama za kiume.

Nikamwambia nitumie location, haraka ilitumwa nikaenda kumchukua na kumpeleka kwenye restaurant Moja akapata chochote kitu, kisha nikatafuta lodge Moja room self na tukajifungia humo na hizi mvua🤣

On site alikua anarespond mtoto ana mbwembwe yule mara ajinyonge nyonge mara aume mashuka🤔😳
Yaani zile pigo za black Americans kabisa.

Moyoni nikasema msagaji amekutana nacho na alikiri kweli hua anasagana ila kama mkuyenge mtamu hivi basi ataacha. Nikamuuliza ako na mabebe wangapi akasema watatu na wanajuana halafu Wana wivu hatari. Na Kuna mda inapigwa Hadi 4some

Sahizi ndo tumeamka apa naenda kumdrop chuo binti wa watu akasome.

Sijauza mechi tafadhali
 
Ilikua ni Jana usiku meseji yake iliingia kwenye simu yangu akidai Yuko lonely.
Nilishangaa sana huyu mtoto wa chuo kua lonely afu hawa si ndo wanaitwa baby na wanawake wenzao
Asilimia kubwa wanakua ni wasagaji kutokana na character zao kua kama za kiume.

Nikamwambia nitumie location, haraka ilitumwa nikaenda kumchukua na kumpeleka kwenye restaurant Moja akapata chochote kitu.
kisha nikatafuta lodge Moja room self na tukajifungia humo na hizi mvua🤣
On site alikua anarespond mtoto ana mbwembwe yule mara ajinyonge nyonge mara aume mashuka🤔😳
Yaani zile pigo za black Americans kabisa.
Moyoni nikasema msagaji amekutana nacho na alikiri kweli hua anasagana ila kama mkuyenge mtamu hivi basi ataacha. Nikamuuliza ako na mabebe wangapi akasema watatu na wanajuana halafu Wana wivu hatari.
Na Kuna mda unapigwa Hadi 4some

Sahizi ndo tumeamka apa naenda kumdrop chuo Binti wa watu akasome.
Sijauza mechi tafadhali
not
Jitahidi umbadilishe arudi kuwa mdada bora.....aachane usagaji
 
Dah!Kwa hiyo hapo mlipoamka tu ukatafakari na kuona ni vema kuchangia hoja na wanaJF?Umeonesha umoja sana.
 
Back
Top Bottom