sir kiduku
Senior Member
- Oct 12, 2019
- 101
- 262
Kwa nini waliokula tunda hapa JF kimasihara hawatoi ushuhuda?Mambo ni mengii kwa kweli
Umeandika nini?Siku moja katikapitaa pita yangu si nilikutana na binti mmoja mkali hata Nashindwa kumfafanua ili muweze kumjua ukali wake. Nahisi msela wake ni wa humu humu jf .huyu jamaa toka achukue kigari chake cha mkopo anajiona sana. Nikamwomba ni mpige mbili tatu Nikiwa najua ni mgumu na kumwonyeshea jamaa hapo hapo kwa msela kuna kivuli na kiubishi nimalizie mchongo nje kwake. Niliinua mkono nikashika kitu Nika peleka mdomoni sikuwa nimekosea ni tunda limeiva tena ni embe.nikaondoka zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kosa kisheria kusambaza picha za utupu.Huu ndo uchawi wenyewe asee, ivi we jamaa uwa unanufaik nini watu kupigwa ban?
Au pesa zinaongezeka?
Au unatafua kula na wewe uwe moderator?
Acha roho mbaya
Mkuu nyuzi Kama hizi hua zinapata wachangiaji balaa lakini pia wanaangalia na mtu mwenyeweAisee, kimasihara masihara uzi umefikisha views 1m .
Mkuu msalimie juma p maharage nasikia ni jiran yako! HahahaKuna jamaa jana kaniambia ukiamka asubuhi bila ban [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na kwel aisee full udikteta
Mkuu msalimie juma p maharage nasikia ni jiran yako! Hahaha
Huyo hata hiyo mobile anaweza dhani ni petrol station, anajua bazz mpka tigo inazalia? Tritel je? Aache mchezo kbs ale tunda ki masihara. HahahaJamaa anashangaa kutumia Mobitel 2004 wakati watu tangu 1999 tulianza kutumia.
Tena kipind hiko unaambiwa eti ni "starter pack", kumbe simcard tu hamna lolote!Miaka hyo bei ya simcard (aka line) kwa Sasa unapata simu ya mchina swaaafi Kabisa..
Ilikuwa anaye piga simu anakatwa na mpokeaji lazima awe na salio ili aweze kupokea simu, yahani wanakula kote koteTena kipind hiko unaambiwa eti ni "starter pack", kumbe simcard tu hamna lolote!
Na pia makato yalikuwa kwa dakika, hata ukiongea sec 3 charge yake ni dk 1Ilikuwa anaye piga simu anakatwa na mpokeaji lazima awe na salio ili aweze kupokea simu, yahani wanakula kote kote
Na pia makato yalikuwa kwa dakika, hata ukiongea sec 3 charge yake ni dk 1
Nakumbuka kuna sehemu nilikuwaga naenda kupiga simu...Sasa ukitumia labda dakika n sekunde tano wanakucharge dk 2...basi mnalumbana kinoma mwishiwe inabidi nilipe tu.
Kwa hyo ikawa nikitaka kupiga simu naenda Na saa yangu...naongea haraka haraka..ikifika sekunde ya 58 nakata simu...acha Kabisa....eti Leo hii muda wa maongezi unahesabiwa kwa sekunde?????...tumetoka Mbali ujue...
Haa ha ha balaa sanarikiboy umetsha na huu uz wako 1m views.......nlkuwa cjawah kucomment ila leo imenbd
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu madogo wanakudanganya hao et military science?
Dogo anaangalia muvi za kivita ndo analeta uwongo humu
Dakika moja nakumbuka ni shilingi 150Nakumbuka kuna sehemu nilikuwaga naenda kupiga simu...Sasa ukitumia labda dakika n sekunde tano wanakucharge dk 2...basi mnalumbana kinoma mwishiwe inabidi nilipe tu.
Kwa hyo ikawa nikitaka kupiga simu naenda Na saa yangu...naongea haraka haraka..ikifika sekunde ya 58 nakata simu...acha Kabisa....eti Leo hii muda wa maongezi unahesabiwa kwa sekunde?????...tumetoka Mbali ujue...