2004 simu zilikuwepo sema labda ulikuwa unaishi usukumani ndani hukoo katika ukata mkalii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ongeza mdalasini kidogo..kwamba 2004 nyie mlikuwa mkichat kwa sms[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kunbuka ya juma p maharage na kichaa wake. Baada ya kupata mkuyenge akasepa zake. Alitumika kimasiharaKiukweli hawaliwi kimasihara wanakuwa wametaka, sema wao kusema huwa ngumu.
Zaidi huenda sisi ndio tumetumika kimasihara[emoji3][emoji3]
Vipi tena aiseeeHakika nimeamini kweli jf kila mtu ni rich , sipendi na nimechukizwa na unachokifanya plz plz nakupa dakika 15 za kuapologize sina haja ya kujibizana la sivyo nitakuja na ushahidi hapa wa sauti maandishi na picha. Sina haja ya kukutaja ila ndio ivo ujumbe umefika na sitaki pm yeyote.
Uzi umeyumba amani imepotea na faraja imejitenga nasi .
Sipendi bora ukubali na mmalize majibizano yenu.
Hadi hapo sio masihara, ni deliberate kama utalipataDaah,mi nalitafuta kweli hilo tunda hv naweza kukipa jf?
Nilishahisi tu kuwa wewe ni tapeli...swag zako za kitapelitapeli tu...eti unaanzisha Uzi jinsi unaweza tengeneza 100m kwa siku...Kila idea unayopewa unaicrush...
Kama we kidume mwache mwana akulipue basi,,mbona umeomba pause...kimbia haraka usije ukavuliwa Nguo bure
Jamaa anashangaa kutumia Mobitel 2004 wakati watu tangu 1999 tulianza kutumia.2004 simu zilikuwepo sema labda ulikuwa unaishi usukumani ndani hukoo katika ukata mkalii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2004 hata mi nilikua na siemens C 35 kile kimlio chake nakikumbuka mpaka leo. hata nokia tochi zilliisha anza kutoka na kuja jamaa yangu alikuja toka misri akaja na nokia ya kamera nzuri balaa ilikua kama ina ma hips hiviJamaa anashangaa kutumia Mobitel 2004 wakati watu tangu 1999 tulianza kutumia.
Anakwama sana[emoji23][emoji23][emoji23]hata nokia za tochi vile vidogoo flani zilikuwepoJamaa anashangaa kutumia Mobitel 2004 wakati watu tangu 1999 tulianza kutumia.
Duh, mzee 2004 ulikuwa 'langapi'?ongeza mdalasini kidogo..kwamba 2004 nyie mlikuwa mkichat kwa sms[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh, mzee 2004 ulikuwa 'langapi'?
2000 Novemba nilikuwa na NOKIA 51102004 hata mi nilikua na siemens C 35 kile kimlio chake nakikumbuka mpaka leo. hata nokia tochi zilliisha anza kutoka na kuja jamaa yangu alikuja toka misri akaja na nokia ya kamera nzuri balaa ilikua kama ina ma hips hivi
Upo vizuri bahariakhaaa mamaee nakupa heshima zote cheef,yani kama vile naangalia kideo
Mkuu vipi leta madini hayo.Kuna uzi naushusha hivi karibuni ngoja kwanza nimle kwa mara ya pili ili nikamilishe mission na akichomoa pia ntasema ila ngoja nisubir bado masaaa machache kula kimasiahara mara 2