mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,925
Mkuu msamehe bado kijana mdogo huyu2004 hata mi nilikua na siemens C 35 kile kimlio chake nakikumbuka mpaka leo. hata nokia tochi zilliisha anza kutoka na kuja jamaa yangu alikuja toka misri akaja na nokia ya kamera nzuri balaa ilikua kama ina ma hips hivi