Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,761
- 1,633
Hiy
Basically vumbi Lmla Congo ndicho inafanya. Kupunguza au kuua sensitivity ya nerves around the head of a penis so as to avoid premature ejacuoation.
Lakini matumizi ya hii spray ni kuua maumivu kwa muda (temporary) mfano wacheza Moira wanapoumia uwanjani wana wapulizia kwwnye misuli au mfupa kuua maumivu kwa muda ili waweze endelea na mchezo.
Hiyo ya kwanza itafaa. Hii spray inachofanya ni kutia ganzi sehemu husika. Sasa watu tunaitumia kuua sensitive ya nerves kwwnye kichwa cha uume ili MTU aende muda mrefu kabla hajamaliza.