Kakijana kakapata kipochi manyoya kiurahisi kabisa
 
[emoji3][emoji3][emoji3]aisee,
 
Nipatie namba ya wakala nikutumie ya kinywaji chapu
 
Samahani lakini, hivi ulikikumbusha kijamaa kuvaa Condom?
 
Mithali 22:14 - Kinywa cha malaya ni shimo refu; Anayechukiwa na Bwana atatumbukia ndani.

Twende Pamoja. NENO la Mungu lipo wazi kwamba ANAECHUKIWA. Kwa hiyo mpendwa ni Raha kweli kutafuna mzigo ama kutafunwa lakini ni nzuri ukioa na kutulia maana si wewe unaependa kufanya hayo machukizo bali ni KWA SABABU BWANA AMEKUKATAA NA ANAKUCHUKIA NDIO MAANA hajakupa hii neema sbb HUSIKII.

Si kwamba husikii kwa kupenda bali sbb ya kifungo ambacho Dini imekupatia na inaendelea kukupatia. Nami Nipo hapa kukukumbusha maisha ya Toba maana yanafanya njia yako kuwa safi kwa ajir ya ufalme wa Mungu kukujilia wewe maana wenyewe haupo kwa kila mtu lakini ni Mtu anakuletea ambapo ndani ya Mtu huyo kajifinyanga.
 
Ingekuwa jukwaa la dini halafu agetokea mtu na nyuzi za kula kimasihara, nahakika moderator wange mpiga ban longtime. Huyu mnyadua watoto wana muachia tu.



Kukuuuu [emoji239][emoji239][emoji239]
Kaka kwanza kwann unajiita kuku?why usiiite jogoo?
 
Dah mambo ya Nanguruwe, mbambakofi, nanyamba, kitama ya kwanza kitama ya pili, duh kitambo

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hawaulizi dada zao wanavyonyanduliwa kama wanakumbuka kutumia ndom?
Hapo bado wale watakatifu hawajaja kuhubiri
 
Nikome!!!
 
Kweli ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu. Hiyo ni kimasihara plus.
 
Nimepokea Sala hi kwa mikono miwili mkuu
 
Mkuu naomba unifanyie ibada fupi niachane na uasherati naomba mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…