Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,779
- 21,061
😂😂😂😂😂Lakini si kakijana kalijitahidi kupeleka moto hadi ukakaa vizuri?
Stakii na ww
😂😂😂😂😂Lakini si kakijana kalijitahidi kupeleka moto hadi ukakaa vizuri?
Kakijana kakapata kipochi manyoya kiurahisi kabisaNimerudi sasa tuendelee....
Kama mjuavyo wageni wanapoingia kijijini lazima wajulikane.....watu mbalimbali walijenga mazoea na sisi akiwemo yule kijana (hasa mimi). Nikienda mgahawani kula chakula nakuta naambiwa kimelipwa, nikienda dukani kununua maji ya kunywa pia maana hapa duka lilikuwa karibu na hardware yao pia naambiwa rajab amelipa.
Sasa akaomba tukutane tuongee me bila hiyana nikakutana nae...akatuma mistari yake paleee me nkamwambia sijamuelewa...
Akaendelea na udhamini lakini me moyoni najua si naondoka tu mda wowote hatanipata. Na kweli week hiyo nkaamua kurudi zangu dar. Basi mchana wake nkamwambia kwamba me ntaenda kulala mtwara ili kesho yake niwepo dar nimepata dharura.
Mda ukafika me nkapanda zangu gari hadi mtwara mjini nkachukua Lodge...mida ya jioni nimepoa si akapiga simu ..eti yupo njiani anakuja mtwara Town nimwambie nilipo ili tuagane tu yeye arudi kijijini. Nkataka kumwambia asije lakini ashasema yuko njiani. Basi nkasema kwakuwa amesema anarudi jioni ile ile ukute hatataka mengi....
Kweli akafika nikampokea tukakaa nje kwenye hyo Lodge kuna bar kwa nje tukakaa tukapiga story mbili tatu huku tunakunywa soda .
Basi akasema yeye anataka kurudi ila anataka aone room kwangu tuu... 🤣🤣🤣🤣
Tukaenda room....kumbe ilikuwa mbinu yeye alishaipanga na kweli ikasaidia akaanza uchokoziii wake hadi akashinda kula tunda...
Hii siku nilisikitika sana asee
Pale ninapojua nimeondoka kijijini salama na nimeshinda vishawishi vya wakaka wengi tu huko sokoni nkaja kutua mikononi mwa haka kakijana kijiiingaaa
[emoji3][emoji3][emoji3]aisee,Nimerudi sasa tuendelee....

Basi akasema yeye anataka kurudi ila anataka aone room kwangu tuu... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukaenda room....kumbe ilikuwa mbinu yeye alishaipanga na kweli ikasaidia akaanza uchokoziii wake hadi akashinda kula tunda...
Hii siku nilisikitika sana asee
Pale ninapojua nimeondoka kijijini salama na nimeshinda vishawishi vya wakaka wengi tu huko sokoni nkaja kutua mikononi mwa haka kakijana kijiiingaaa
Nipatie namba ya wakala nikutumie ya kinywaji chapuNimerudi sasa tuendelee....

Samahani lakini, hivi ulikikumbusha kijamaa kuvaa Condom?Nimerudi sasa tuendelee....

Kaka kwanza kwann unajiita kuku?why usiiite jogoo?Ingekuwa jukwaa la dini halafu agetokea mtu na nyuzi za kula kimasihara, nahakika moderator wange mpiga ban longtime. Huyu mnyadua watoto wana muachia tu.
Kukuuuu [emoji239][emoji239][emoji239]
Dah mambo ya Nanguruwe, mbambakofi, nanyamba, kitama ya kwanza kitama ya pili, duh kitamboMwaka 2017 nilikuwa sina mishe ya kueleweka...si unajua tena kizungu zungu cha ajira za magu.
Basi ndugu yangu wa kike akasikia kuna mishe za kuuza bidhaa mbalimbali kwenye wilaya na vijiji vya mkoa wa mtwara kipindi cha mauzo ya korosho maana muda huo wanakijiji wanakuwa wana hela za kutosha na huwa zinalipa sana (huu mwaka magu alikuwa hajaharibu mfumo wa manunuzi ya korosho).
Basi tukapita kariakoo nikamsaidia kufanya manunuzi ya bidhaa zake sisi haoo tukakamata maning nice hadi mtwara mjini then tukakamata kibasi hadi tandahimba.
Romani tuliyopewa ilikuwa ni kuzunguka na watu wa mnada ambao kila siku wakimaliza mauzo basi wanahamia kijiji/kata/ au mji mwingine kwa ajili ya mnada wa siku unaofuata.
Siku tuliyofika mnada ulikuwa kesho yake ni tarehe ya tandahimba.
Basi sisi tukatengeneza mazingira tukawaona viongozi wakatusaidia kupata maeneo ya kupanga bidhaa zetu. Tulibahatika kupewa kaupenyo na kiongozi mstaafu wa mnada (huu mnada una viongozi kabisa...na umechukua makabila karibia yote tanzania nzima...ni kuna watu wengi sana sana). So tukawa tunapata viupendeleo hivi na vile.
Mnada wa tandahimba ukaisha tukasafiri usiku usiku kuelekea kitama ambako tulilala nje kwenye kibaraza cha nyumba moja iliyoko karibu na uwanja wa mnada wa kitama. Basi kitama ikaenda poa ...tukauza...kesho yake tukaelekea mnada wa nanyamba....then tukaona mbona kama inatuchosha so tukaamua tukae tu kijiji cha mtimbwilimbwi tuwe tunazunguka lakini kituo cha kulala kiwe hiko. Basi tukaweka kambi tukawa tunamwaga mzigo kwenye center wateja wanakuja. Tukatafuta na mtu wa bike tukawa tunamlipa anatuuzia jioni analeta hesabu tunamlipa. Mtimbwilimbwi tilipajua kupitia jamaa aliyemuuzia ndugu yangu hii Ramani ya bisnes ya msimu ao ndo alikuwa mwenyeji wetu na makazi yake yakikuwa hapa mtimbwilimbwi. Yeye kazi yake ilikuwa kununua korosho kwa wakulima ambao hawakuwa na uwezo wa kwenda bank na hawana hata hizo account number za malipo.
Basi hapo mtimbwilimbwi kuna kakijana kamoja kalikuwa kanauza duka la ujenzi la baba yake...
Inaendelea mechoka kuandika napumzika kwanza mzabzab
Post imedhaminiwa jaman...
🤣🤣🤣🤣 Unadhani Kelsea atakubali?nikikukuta motoni tunapiga kwanza 3 ndio tuchomwe
Aise hawa warembo kumbe wanawindwa sana
Mbona hawaulizi dada zao wanavyonyanduliwa kama wanakumbuka kutumia ndom?Maswali yanakuwa meeeengi kwa msimuliaji hadi inamsababishia ukakasi kiasi cha kutokuwa na hamu ya kuhadithia kimasikhara nyingine (kama anayo).
Vijimaswali vyenyewe ni upuuzi tu na ujingaujinga , utoto mwingiiiiiii (kidish), hopeless, horrible, hovyooooooooooooo!
We nae ushajiita zirailiNipatie namba ya wakala nikutumie ya kinywaji chapu
Ukiwa na uwoga ndo unapata ukimwi
Nikome!!!Kwa hiyo hapo Masihara ipo wapi mtu amekufatilia amekwambia umeona unapendwa. Utakuja kulala na majini. Ni wewe mimi hainihusu lakini mwanao ataridhi hiyo roho chafu ndani yako. Dunia si sehemu Salama sbb ya Mambo haya. Sawa tafuta mwingine ule ki masihara hayo siyo masihara. Yaan wewe umeliwa na umebaki na laana za huyo ulomla Ndio principle subir matunda
Kweli ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu. Hiyo ni kimasihara plus.Nimerudi sasa tuendelee....
Kama mjuavyo wageni wanapoingia kijijini lazima wajulikane.....watu mbalimbali walijenga mazoea na sisi akiwemo yule kijana (hasa mimi). Nikienda mgahawani kula chakula nakuta naambiwa kimelipwa, nikienda dukani kununua maji ya kunywa pia maana hapa duka lilikuwa karibu na hardware yao pia naambiwa rajab amelipa.
Sasa akaomba tukutane tuongee me bila hiyana nikakutana nae...akatuma mistari yake paleee me nkamwambia sijamuelewa...
Akaendelea na udhamini lakini me moyoni najua si naondoka tu mda wowote hatanipata. Na kweli week hiyo nkaamua kurudi zangu dar. Basi mchana wake nkamwambia kwamba me ntaenda kulala mtwara ili kesho yake niwepo dar nimepata dharura.
Mda ukafika me nkapanda zangu gari hadi mtwara mjini nkachukua Lodge...mida ya jioni nimepoa si akapiga simu ..eti yupo njiani anakuja mtwara Town nimwambie nilipo ili tuagane tu yeye arudi kijijini. Nkataka kumwambia asije lakini ashasema yuko njiani. Basi nkasema kwakuwa amesema anarudi jioni ile ile ukute hatataka mengi....
Kweli akafika nikampokea tukakaa nje kwenye hyo Lodge kuna bar kwa nje tukakaa tukapiga story mbili tatu huku tunakunywa soda .
Basi akasema yeye anataka kurudi ila anataka aone room kwangu tuu... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukaenda room....kumbe ilikuwa mbinu yeye alishaipanga na kweli ikasaidia akaanza uchokoziii wake hadi akashinda kula tunda...
Hii siku nilisikitika sana asee
Pale ninapojua nimeondoka kijijini salama na nimeshinda vishawishi vya wakaka wengi tu huko sokoni nkaja kutua mikononi mwa haka kakijana kijiiingaaa
Nimepokea Sala hi kwa mikono miwili mkuuNilikuwa kama wewe. Lakini nilipo kutana na Yesu nililia na kuomboleza kwa kuwa nilikuwa mjinga na mpumbafu nilitubu na kuwatubia wote nlofanya nao upuuzi ili niwe huru na mke wangu. Nisiwawaze wao nikiwa na mke wangu. Asante Mungu kwa kuniwezesha na kunifuta ktk kitabu cha hukumu na kuniandika upya ktk kitabu cha Uzima. Naskia uchungu kwa Ajir yako maana naona unachekelea kumbuka kuna kulia na kusaga Meno hakuna ufahar juu ya uasherati. Lakini Yesu alienikomboa mimi akukomboe na wewe. Maana u ktk kifungo, Nafsi yako imefungwa na shetan anaitumikisha anavotaka wala si ww bali vifungo. Usomapo Msg hii Moto Ulao ukateketeze hiyo Roho ya uzinzi na uasherati ika Ng’oke na Hofu ya Mungu ikatawale. Hakuna uzinzi tena kwako uwe huru.
Nasubir ushuhuda wa hii kwa wote watakao soma. Yupo mmoja Mungu atamfungua.
Nikidikiaga demu katiwa Sana na mm nimela huwa najilaumu sanaaa yaaani na nitateseka kumsahau. Lkn nashindwa Khali hyo
Nimepokea Sala hi kwa mikono miwili mkuu
Mkuu naomba unifanyie ibada fupi niachane na uasherati naomba mkuuAmani Kabisaa. Hakuna magonjwa, hakuna ajari, nalikuwa kipofu sijui dhambi wala sion dhambi sasa naona, kuna uzima, naijua kesho yangu, na uhakika wa kuishi miaka timilifu na ikibid kuongezwa kama ntazid kumfurahisha Mungu kama Ali Poa Muongezea Hezekia. Ndugu zangu wanalindwa na Bwana, hakuna kulogwa, mashetani yakiniona yanatetemeka. Yote haya ni kwa sbb Yesu amenipa Neema. Hiyo Neema kiu yangu uipate na ww. Ila kwa mapenzi yake Mungu maana Mungu hachanganywi. Hivo nitokapo Ni kwema na sitoki kwa Yesu maana ni kwema