Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mtachoka sana kama ndo hivo mana Nipo sana. Najua Najibiwa na mashetani yaliowafunga lakini niseme tu ninyi mlio na Nyama hamna kosa. Nipo kuwaponya hutaki dawa unakaa pembeni utaitaka hata mwakani.
Babu endeleaa kuwwpo humu ndani Hadi waikimbiee huu Uzi na kujeuzwa kuwa la jukwaa la tobaa mkuu washa Moto ulaooo
 
Ni rahisi kutembea ukitambua ya Kwamba mambo yako mabaya mkeo/mume ama mchumba wako hayajui. Kwake wala hayana faida maana ni ubatil mtupu. Na kwa juhudi zetu za kutafuna mbususu ni kwamba tunajilisha upepo.

Kama tunavokumbushana kuhakikisha tunatumia condom basi si mbaya kukumbushana bado tuna wajibu wa kumrudia Yeye alie tuumba kwa toba ktk kila njia tuiendeayo.

Isaya : 29 : 13 - Bwana akanena, Kwa kuwa watu hawa hunikaribia na kuniheshimu kwa vinywa vyao, bali mioyo yao wamefarakana nami, na kicho chao walicho nacho kwangu ni maagizo ya wanadamu waliyofundishwa;
Nipo hapa kusema na Moyo wako mpendwa. Ya kwamba usisahau toba, iondoayo dhambi.

Ndugu yamkini tunakumbushana habari ya urijal wetu lakini mbele za Mungu ni machukizo kwa sbb mambo hayo hayana utukufu wa Mungu. Maana hapo sasa na hapo nyuma tulimkosea Mungu ama kwa kujua ama kutokujua.Ya nin kuendelea kuyakumbuka haya maana yake mioyo bado ina machukizo na Nafsi zimegoma kuukubali ukweli sbb zimekamatwa nazo za mtii yule mwovu alae Ibilisi,

Yule tunaeshiriki nae ufuska tutaendelea kumkumbuka maisha Yetu yote kwa maana ya kumbeba Moyoni ukitafakar mapigo ya mchepuko au x ni matamu kuliko ya mkeo ni sbb ulibeba UTU wake badala ya kumbeba Mungu na mkeo. Hujawah kuona humsahau mwanamke wa ujana wako yaan ulie mtoa bikra. Alipaswa awe mkeo yeye tu. Sasa hutamsahau boyfriend wako. Yan upo na mwenzio sometimez shetan anakuletea x wako[emoji16][emoji16] Tubu kwa ajir hiyo utakuwa huru. Ni roho yake kmechukua nafasi ndan yako ni machukizo. Ndiyo maana ya kusema njia ni nyembamba iendayo uzimani Siri ni kutubu juu yako ju yake mpaka u hisi amani moyoni. Usije sema hukujua.

Isaya 43:18 - Msiyakumbuke mambo ya kwanza, wala msiyatafakari mambo ya zamani.

Lakini ipo Neema iliyokuu kuliko zote. Nayo ni kumkaribia Bwana kwa kuomba msaada. Tamani kutokuwaza mabaya yachukizayo si wanadamu tu bali Mungu. Kama unavyopiga papuchi ya mke wa Mtu unajificha ni waz kuwa hata nafsi yako inakiri watenda jambo lisilopendeza Machoni pa wanadamu. Je Mungu aliye mtakatifu humwogopi

Isaya : 29 : 15 - Ole wao wanaojitahidi kumficha Bwana mashauri yao, na matendo yao yamo gizani, nao husema, Ni nani atuonaye? Nani atujuaye?

OLE OLE OLE. ole wako utachagua mwenyewe
 
Kazi yangu ni pamoja na hii nayoifaanya mkuu. Nalipwa na Yesu ulinzi, uzima,hakuna ajar, hakuna magonjwa. Naskia hata mnaulizana habari za kutumia kinga kondom katika kujamiiana mnaogopa KUFA[emoji16][emoji16][emoji16] mmekwisha kufa kiroho Nipo hapa kuwapa Neema itakayowafufua ndicho kilichomleta Yesu duniani nami niliye mjoli wake sitishwi na sauti za kunikemea bali ndo kwanza Sijaanza yaan namtafuta Mtu mmoja tu ambae atakutana na Bwana wangu. Yesu Kristo, Mungu mwenye nguvu na Baba wa Milele si tulia. Bado sana Nipo si hukumu mtu mimi bali nahubir injil wewe utahukumiwa na matendo yako mwenyewe
Umetisha mkuuu naungna na wew
 
Mkuu naomba unifanyie ibada fupi niachane na uasherati naomba mkuu

Mungu huangalia Nafsi ya mtu yale matamanio yake ni yapi nae hutenda. Hakika kama Mungu aishivyo, Yeye aliyeniokoa mimi hapa niliyekuwa Mwasherati na mlevi mnywaji ,katika mauti akanitoa ya kwamba Nalikuwa uchi mimi(hapa) akanihurumia akanivika nguo, akanitakasa uovu wangu wote asiukumbuke akanifanya mwanae, HUYO akukumbuke na wewe mpendwa wake ktk hili. Nataman kuomba na ww lakin Mungu ajuaye sirini ataniwezesha pamoja tutavuka mkuu
 
Nimerudi sasa tuendelee....
Kama mjuavyo wageni wanapoingia kijijini lazima wajulikane.....watu mbalimbali walijenga mazoea na sisi akiwemo yule kijana (hasa mimi). Nikienda mgahawani kula chakula nakuta naambiwa kimelipwa, nikienda dukani kununua maji ya kunywa pia maana hapa duka lilikuwa karibu na hardware yao pia naambiwa rajab amelipa.
Sasa akaomba tukutane tuongee me bila hiyana nikakutana nae...akatuma mistari yake paleee me nkamwambia sijamuelewa...
Akaendelea na udhamini lakini me moyoni najua si naondoka tu mda wowote hatanipata. Na kweli week hiyo nkaamua kurudi zangu dar. Basi mchana wake nkamwambia kwamba me ntaenda kulala mtwara ili kesho yake niwepo dar nimepata dharura.

Mda ukafika me nkapanda zangu gari hadi mtwara mjini nkachukua Lodge...mida ya jioni nimepoa si akapiga simu ..eti yupo njiani anakuja mtwara Town nimwambie nilipo ili tuagane tu yeye arudi kijijini. Nkataka kumwambia asije lakini ashasema yuko njiani. Basi nkasema kwakuwa amesema anarudi jioni ile ile ukute hatataka mengi....
Kweli akafika nikampokea tukakaa nje kwenye hyo Lodge kuna bar kwa nje tukakaa tukapiga story mbili tatu huku tunakunywa soda .
Basi akasema yeye anataka kurudi ila anataka aone room kwangu tuu... 🤣🤣🤣🤣

Tukaenda room....kumbe ilikuwa mbinu yeye alishaipanga na kweli ikasaidia akaanza uchokoziii wake hadi akashinda kula tunda...
Hii siku nilisikitika sana asee
Pale ninapojua nimeondoka kijijini salama na nimeshinda vishawishi vya wakaka wengi tu huko sokoni nkaja kutua mikononi mwa haka kakijana kijiiingaaa
uliliwa mbususu kimasihara
 
Mungu huangalia Nafsi ya mtu yale matamanio yake ni yapi nae hutenda. Hakika kama Mungu aishivyo, Yeye aliyeniokoa mimi hapa niliyekuwa Mwasherati na mlevi mnywaji ,katika mauti akanitoa ya kwamba Nalikuwa uchi mimi(hapa) akanihurumia akanivika nguo, akanitakasa uovu wangu wote asiukumbuke akanifanya mwanae, HUYO akukumbuke na wewe mpendwa wake ktk hili. Nataman kuomba na ww lakin Mungu ajuaye sirini ataniwezesha pamoja tutavuka mkuu
Hakika mkuu tutawasiliana na nimesha ku DM tayari Nina Nia kbsa
 
Babu endeleaa kuwwpo humu ndani Hadi waikimbiee huu Uzi na kujeuzwa kuwa la jukwaa la tobaa mkuu washa Moto ulaooo

Mungu aliufanya Moyo wa pharao kuwa Mgumu. Relax ndugu Kutoka 10:27 - Lakini Bwana akaufanya kuwa mgumu moyo wa Farao, asikubali kuwapa ruhusa waende zao.

Shetani ndiye Pharao ( tizama matendo yake yalivo matamu pombe,uroda,Wizi,ufiraji , Mawazo mabaya) si rahisi huu uzi ni masihara hivo vizuri tu wakaendelea na mimi naendelea kuwakumbusha maana si mimi wa kuwafanya waache BALI aliyefanya Moyo wa Shetani ukawa Mgumu. Kila mmoja kapewa akili atachagua mwenyewe.

Mwingine alisema kula mbususu Mungu kaumba sio dhambi bali wanadamu tunatishana. Nampongeza
 
Amani Kabisaa. Hakuna magonjwa, hakuna ajari, nalikuwa kipofu sijui dhambi wala sion dhambi sasa naona, kuna uzima, naijua kesho yangu, na uhakika wa kuishi miaka timilifu na ikibid kuongezwa kama ntazid kumfurahisha Mungu kama Ali Poa Muongezea Hezekia. Ndugu zangu wanalindwa na Bwana, hakuna kulogwa, mashetani yakiniona yanatetemeka. Yote haya ni kwa sbb Yesu amenipa Neema. Hiyo Neema kiu yangu uipate na ww. Ila kwa mapenzi yake Mungu maana Mungu hachanganywi. Hivo nitokapo Ni kwema na sitoki kwa Yesu maana ni kwema
Mashetani ya nchi gan yanayotetemeka kwa mtu anaetembea na thread ya kula tunda, bas wasalimie kina musa hapo na akina petro na mitume wengine.
 
Yakumbuke Maji yale ya ubatizo ama Mengi ama madogo kwa ajir ya ondoleo la dhambi[emoji16][emoji16][emoji16].

Wengine walibatizwa wakiwa watoto hawajijui FUNGUA ALBAMU ucheki. Ndo siku ati uliambiwa umekuwa MKRISTO. Umekuwa ki mwili na kiakili ukitambua hilo leo nakukumbusha ikiwa bado una mawazo ya kula kimasihara kwamba wewe ni mwanadini ambae mpagani anakushinda. Hujachelewa wewe piga mashine usisahau toba wewe omba toba achana na Mambo ya Tubu walau mara moja kila Mwaka utachengwa maana hujui siku wala saaa. Usiku Tubu asubuh tubu tafuta kimasihara[emoji16]

Mtu mmoja hali KITIMOTO NI HARAMU KWAKEyaani ni NAJISI lakini Mtu huyo kafungwa na Roho ya kuchakata mbususu mpka dole gumba linauma jinsi anavosimamia Kucha. Shida sio mapenzi shida utulivu namkumbusha si Yeye bali ni vifungo shetani katufunga wakuu tusione,tusisikie kwamba tuwe viziwi na vipofu. Mwanamke ni mtamu sana jamani ukute ka issue tight[emoji3059][emoji3059]magoti mpaka yanatetemeka. Imagine Mbususu ya muhindi nyie nyie. Kweli kama KITIMOTO NI DHAMBI NA UNAPIGA UASHERATI NA UZINZI na masihara unawakumbuka na wapenzi wako wa shule si ule tu MDUDU maana dhambi zote ni sawa.

Hilo kitimoto unavuta sigara, huli nyabe unakunywa pombe wote walewale.

Neema ya Bwana Yesu ifungue kila mmoja hiyo Nira shetani ameweka ili tukifa TUSOMEWE DUA KILA MWAKA ATI MUNGU APUNGUZE ADHABU YAANI TUSHAJUA TUMEADHIBIWA, atuweke mahala pema, namwombea Mungu amsamehe Kaka yangu, mdogo wangu. Maombi hayo ni kujifariji. Mungu sio mshamba matendo yako yatakusindikiza unapopaswa kwenda. Kuombea mtu ameshakufa kwenye dhambi au kwenye haki ni uduanzi na Machukizo

Muda ndo huu ukiwa kijana Tengeneza Njia yako na Mungu kwa Toba tu ndugu yangu. Mungu atupenda.

Unaweza kuona nachekesha lakini tazama Si mimi nifanyayo haya bali Mungu aliyenituma nihubir Habari njema. Kama Mungu katika ,

Kutoka : 7 : 1 - Bwana akamwambia Musa, Angalia, nimekufanya wewe kuwa kama Mungu kwa Farao; na huyo ndugu yako Haruni atakuwa nabii wako.

Alimfanya Musa kuwa KAMA Mungu kwa Pharao(shetani) kuna ubaya gani basi Mungu kunifanya Mimi(Nyanyantole) kuwa KAMA Mungu kwako ili nipambane na Pharao huyo Fala Ibilisi aliekamata Roho yako isimuone bwana. Yeye aliyeweka giza ili usione Nuru mtoto wa Baba

Nakamata hiyo Roho ya uharibifu kwa jinsi ya Roho, naiteka Nyara naifunga kwa kamba ya Moto wa Roho mtakatifu naiua kwa Moto ulao. Maana imeandikwa katika Waebrania 12:29 - maana Mungu wetu ni moto ulao. Naangusha kila mafatilizi juu yako kutoka katika Roho za kulidhi za hilo jina lako kwako na kwa watoto wako na ukoo wako naziiiiii pingaaaaaa kwa damu ya Yesu.

Bali ukawe huru. Bwana akusamehe, Bwana akulinde.
 
Mashetani ya nchi gan yanayotetemeka kwa mtu anaetembea na thread ya kula tunda, bas wasalimie kina musa hapo na akina petro na mitume wengine.

Yesu alikaa na Wazinzi, makahaba mi si wa kwanza. Hapo ulipo hata mchawi huwezi kumtukana[emoji16][emoji16] ukiona hivo basi unahitaji Nguvu ya Mungu. Nyenyekea tu ufalme wa Mungu utatekwa na Wenye nguvu. Nipo hapo kukupa njia ya kuuteka uamuzi ni wako upite kushoto au kulia
 
Yakumbuke Maji yale ya ubatizo ama Mengi ama madogo kwa ajir ya ondoleo la dhambi[emoji16][emoji16][emoji16].

Wengine walibatizwa wakiwa watoto hawajijui FUNGUA ALBAMU ucheki. Ndo siku ati uliambiwa umekuwa MKRISTO. Umekuwa ki mwili na kiakili ukitambua hilo leo nakukumbusha ikiwa bado una mawazo ya kula kimasihara kwamba wewe ni mwanadini ambae mpagani anakushinda. Hujachelewa wewe piga mashine usisahau toba wewe omba toba achana na Mambo ya Tubu walau mara moja kila Mwaka utachengwa maana hujui siku wala saaa. Usiku Tubu asubuh tubu tafuta kimasihara[emoji16]

Mtu mmoja hali KITIMOTO NI HARAMU KWAKEyaani ni NAJISI lakini Mtu huyo kafungwa na Roho ya kuchakata mbususu mpka dole gumba linauma jinsi anavosimamia Kucha. Shida sio mapenzi shida utulivu namkumbusha si Yeye bali ni vifungo shetani katufunga wakuu tusione,tusisikie kwamba tuwe viziwi na vipofu. Mwanamke ni mtamu sana jamani ukute ka issue tight[emoji3059][emoji3059]magoti mpaka yanatetemeka. Imagine Mbususu ya muhindi nyie nyie. Kweli kama KITIMOTO NI DHAMBI NA UNAPIGA UASHERATI NA UZINZI na masihara unawakumbuka na wapenzi wako wa shule si ule tu MDUDU maana dhambi zote ni sawa.

Hilo kitimoto unavuta sigara, huli nyabe unakunywa pombe wote walewale.

Neema ya Bwana Yesu ifungue kila mmoja hiyo Nira shetani ameweka ili tukifa TUSOMEWE DUA KILA MWAKA ATI MUNGU APUNGUZE ADHABU YAANI TUSHAJUA TUMEADHIBIWA, atuweke mahala pema, namwombea Mungu amsamehe Kaka yangu, mdogo wangu. Maombi hayo ni kujifariji. Mungu sio mshamba matendo yako yatakusindikiza unapopaswa kwenda. Kuombea mtu ameshakufa kwenye dhambi au kwenye haki ni uduanzi na Machukizo

Muda ndo huu ukiwa kijana Tengeneza Njia yako na Mungu kwa Toba tu ndugu yangu. Mungu atupenda.

Unaweza kuona nachekesha lakini tazama Si mimi nifanyayo haya bali Mungu aliyenituma nihubir Habari njema. Kama Mungu katika ,

Kutoka : 7 : 1 - Bwana akamwambia Musa, Angalia, nimekufanya wewe kuwa kama Mungu kwa Farao; na huyo ndugu yako Haruni atakuwa nabii wako.

Alimfanya Musa kuwa KAMA Mungu kwa Pharao(shetani) kuna ubaya gani basi Mungu kunifanya Mimi(Nyanyantole) kuwa KAMA Mungu kwako ili nipambane na Pharao huyo Fala Ibilisi aliekamata Roho yako isimuone bwana. Yeye aliyeweka giza ili usione Nuru mtoto wa Baba

Nakamata hiyo Roho ya uharibifu kwa jinsi ya Roho, naiteka Nyara naifunga kwa kamba ya Moto wa Roho mtakatifu naiua kwa Moto ulao. Maana imeandikwa katika Waebrania 12:29 - maana Mungu wetu ni moto ulao. Naangusha kila mafatilizi juu yako kutoka katika Roho za kulidhi za hilo jina lako kwako na kwa watoto wako na ukoo wako naziiiiii pingaaaaaa kwa damu ya Yesu.

Bali ukawe huru. Bwana akusamehe, Bwana akulinde.
Mtumishi acha Mambo mengi wewe shusha kimasihara yako weekend isiishe kizembe hivi
 
Mtumishi acha Mambo mengi wewe shusha kimasihara yako weekend isiishe kizembe hivi

Mi sikumbuki dhambi maana nishasamehewa. Ya nn kukumbuka.Mume wa mke mmoja nna miaka 70 ya kuishi mbele ya nn kubeba Roho za wanawake malaya miaka iliwe na nzige na madumadu
 
IMG_7572.jpg

Mbinguu zimemfunguka
 
Muombee Mama yako alikuzaa na Baba yako wao ndio kila kitu kwako. Ombea familia

Lakini usisahau mke wako au Mume wako. Mchumba wako pia kila kitu ni maombi. Namaanisha mda huo unaowaza masihara. Mpe Muumba utukufu utavuna faida utapendwa na Mungu, Baba yangu mimi.

Umepata kazi ombea eneo lako la kazi kuwa mwaminifu kwa Mungu. Ata Linda Ajira yako, utapanda daraja hakuna wa kuzuia. Mchague Mungu kataa ushirikiana naongea na wewe hapo kazi nzur ila ndumba utaikosa na kazi yenyewe maana hauna ulinzi wa Mungu. Mpe Muumba utukufu

Mpiga Nyeto utakuwa hanithi ni swala la Muda. Chagua mwenyewe hamna wa kukubembeleza maana Nyeto siri kati yako na mmwenza wako Wa kuzimu. Ila matokeo tutayaona wote Ndio utaratibu. Kataa pepo hilo sasa

Baba akulinde mpenzi na akuwezeshe katika Nafsi yako. Pokea Kufunguliwa ni Jesus Name
 
We unaefuga ombea Mifugo yako mda unawaza masihara. Sikia komboa eneo lako la Mifugo, liombee,

Ardhi mmiliki ni shetani hujakomboa ndo maana unamuacha mke/mume unaenda kwa wengine shetani hatak amani. Mtaachana tu ni swala la Mda pasipo nachosema. Shetan aliekudanganya uchepuke ndo anakupa nguvu ya kuchakata bao 6 kwa mke 2 au 1 kwa wiki na we mke unapiga a bao za ujana wako ambazo mmeo hakupi tena Shetani ni yule yule kakamata ufahamu.

Komboa Malango kwa damu ya Yesu.Komboa ajira. Komboa uanaume wako. Huo mda wa masihara ndo muda wa kuomba.

Majibu unayo nafsini kwako.Shetani ndo Mtawala hapa ulimwenguni na hana chake siku ya mwisho. Siku ya mwisho ni siku wewe hapo umekufa.

Yohana 12:31 - Sasa hukumu ya ulimwengu huu ipo; sasa mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje.

Familia nyingi zinamigogoro sbb ya kutegemea akili zao. Shetan hana huruma ni Mungu tu mwenye huruma. Tusimuache tuhojiane nae njia ya kumuendea atupe njia sahihi. Nia na kiu yako ndo ushindi wako.

Hakuna mbingu ya Bure ni gharama nayo ni maombi tu na kutenda haki. Na shetani hataki uombe mziki upo hapo. We unawaza masihara mda huo ndo mzuri kuomba
 
Wapo wengi tu kama wewe walikuja kwa huu uzi na wakaondoka wakauacha, ni zama zako na wewe hizi, tamba ila utachoka tu na utauacha uzi ukisonga mbele, ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom