Oya mkuu hama hapo mapema sana ..
Bila hvyo ndugu yangu anuan yako ya makazi ipo hatarin sana.
Ahame mapema, zamani kuna house nshawah kukaa nikawa nakirukia kitoto cha mwenye nyumba, nikamkaribishaga mwanangu mmoja alivyokuwa kichaa kamtomba mamake hicho kitoto mwenye mke ambae ndo mwenye nyumba akajua...ilikuwa hatari..
 
Ba'mdo vipi tena watu kudevela...sema nini aje apa small planet tbt kuna mwangu ameuza nyumba ya urith kariakoo akipita mtu tu akimwangalia anakula six pack ya Windhoek, aje tuzinusuru hiz pesa kesho huyu mhuni anatakiwa anipe pesa fulan..ni hayo tu bamdo..
 
Anza kufanya mchakato wa kuhama hapo. Mchizi wake atajua tu labda kama unammudu vinginevyo jiandae kwa lo lote...

Kula mke wa mtu tena mpangaji mwenzio ni extremely risky! Hujatumia busara na hii itaku-cost kwa namna moja au nyingine!
Dah bro mbona maneno yako makali sana[emoji16][emoji16] Anyway shukran kwa ushauri[emoji120]
 
Unajidai kuijua dini, nikuuliza swali hivi adam alikuwa na wanawake wangapi?
 
Kumekucha. Kabla hujatoka kwenda kutafuta chochote kitu Mshukuru Mungu kwa ajir yako na familia yako. Tubu na omba ulinzi wa Mungu. Weka wakfu siku ya kesho nenda katafute ugali. Tuna weka wakfu siku ya Kesho na kuitakasa sababu tunakuwa tumeiandaa kesho Yetu maana adui hahangaiki na leo bali kesho yako.

Hii husaidia kutokuwa na Mawazo mabaya na machafu nafsini pako ya Uzinzi na uasherati Hivo ni uhai wa familia yako maana Mungu yupo pamoja nawe. Hayupo pamoja na wapumbafu wale wanaojikataa na kujikinai.
 
Mkuu, bonyeza user name yake, kwa chini utaona Follow, Ignore na start conversation, wewe bonyeza Ignore hautaona mahubiri yake
Shetani nimetoa ushauri kwa wafuasi wangu wa kula kimasihara

Umefanya jambo Jema. Hata Kora alifanya hivo na wenzie. Bila Shaka hata ushahidi haukuonekana.
 
Huyu jamaa ni Kumu ignore tuu yani atakuwa anajiongelesha mwenyewe alafu ASIMJIBU MTU KITU acheni awe anapost anajisoma mwenyewe... Jukwaa la dini lipo yeye huku anajiongelesha tuuView attachment 2277112

Ni Vema ndugu rikboy the Giant ni sahihi. Nafurah pia siongei mambo ya dini maana dini hazijawahi saidia mtu dunia hii. Mi sio mwana dini. Naona unaamlisha Jeshi kwamba lisijihusishe na Mimi. Sikuja kwa ajir ya Jeshi Zima. Bali mmoja tu pengine ana view tu hata sio member. Tuishi Mwamba adui shetani tu
 
Who cares
 
Hii story imeanzia post namba ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…