Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Huyu jamaa wa kuitwa nyanyantole anaharibu uzi wa watu kwa kutafuta sifa. Unakuta uzi umekimbia lakini kontenti haziendani na uzi. Uliona wapi mahubiri ya nyuma ya kiibodi?

Mods tafadhali anzisheni utaratibu wa kuwapiga ban watu wanaoharibu mijadala ya wenzao makusudi kwa kutafuta kiki.

Sifa tena[emoji13][emoji13] inakuwaje Sifa na hakuna jina langu kamili hapo. Kama ni Sifa basi kwa Bwana Mungu maana inaonekana inapenya kwa nn usinipuuze. Jukwaa hata ninyi hamlitendei haki. Tuvumiliane sijatukana mtu
 
Huyu jamaa wa kuitwa nyanyantole anaharibu uzi wa watu kwa kutafuta sifa. Unakuta uzi umekimbia lakini kontenti haziendani na uzi. Uliona wapi mahubiri ya nyuma ya kiibodi?

Mods tafadhali anzisheni utaratibu wa kuwapiga ban watu wanaoharibu mijadala ya wenzao makusudi kwa kutafuta kiki.
Hahaha mkuu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
KUNA UTU WA NDANI NA UTU WA NJE. Yaani KUNA MWANADAMU WA KWANZA NA MWANADAMU WA PILI. Nifatilie kwa ufupi

Mwanadamu wa kwanza ni yule Aliye umbwa kwa Udongo yaani mavumbi huyu amezaliwa kwa damu na Nyama.

Mwanzo : 2 : 7 - Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.

Na wa pili ni yule aliye aliyezaliwa kwa Roho yaani kazaliwa na Mungu mwenyewe huyu shetani anamtaka na ni adui yake.

1 Yohana 3:9 - Kila mtu aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, kwa sababu uzao wake wakaa ndani yake; wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu amezaliwa kutokana na Mungu.

Kwa maana hiyo kuna Adam wa kwanza na Adamu wa pili. Adamu wa kwanza ni Yule ambae hajafanya agano na Mungu hamjui Mungu. Na wa pili ndie aliefanya agano na Mungu. Sikiliza kuna Abram na kuna Sarai kabla hawajafanya agano na Mungu. Kuna Ibrahimu na kuna Sara baada ya agano na Mungu.

Natena kuna Simon Bar yona na kabla na Petro baada, kuna Sauli kabla na kuna Paulo baada. Ukimwomba Mungu Jina kama wewe ni Muaminifu lipo jina lako ambalo Mungu alikupa wakati upo mbinguni. Maana aliumba vya Rohoni kwanza ndipo akaumba vya dunian. Kwa hilo ulikuwepo kabla hujazaliwa. Yeremia 1:5. Mila na miungu ya kigeni yaani Mizimu na matambiko ikafanya tuitane majina ya Babu na Bibi, shangazi na wajomba SHIDA IMEANZIA HAPO NDO MANA KUNA VIFO UTOTONI TU NA KURIDHI MATABIA MACHAFU HASA NAONGELEA UZINZI NA UASHERATI. Watu wanafata Roho za Babu zao,na Bibi zao yaani jina ni chanzo. Naongelea mzizi wa haya mambo ya masihara na mtu haogopi[emoji83].

Roho ya kuridhi inatenda. Ndo maana Yesu akamwambia Nikodemo
Yohana : 3 : 3 - Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu.

MAANAKE KUOSHWA, KUTAKASWA NA KUHESABIWA HAKI.

Kwa hiyo naona watu wapo stage ya Kwanza kwenye UTU wa kwanza ni kwenye uharibifu zinaa na uasherati lakini ni lazima yatukie hayo ili aonekane MWANA WA UASI YAANI IBILISI.

2 Wathesalonike 2:3 - Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yo yote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa yule mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu;

Mbegu ili iote lazima ioze[emoji3516][emoji3516] Ila isipo paliliwa inabaki chini.

[emoji3059]NIPO HAPA KWA AJIRI YA KUKUKUMBUSHA KWAMBA UFALME WA MUNGU UMEKUJILIA SASA USIUFANYE MOYO WAKO MGUMU. TUBU MAANA MUNGU YUPO NAWE MFANYE BABA YAKO MAANA YEYE NI WA WANYENYEKEVU, washupazao shingo huvunjika. Usiwe mmoja wao maana umependwa ni wewe si mwingine. OA NA OLEWA UISHI KWA KUMPENDEZA MUNGU.

Hakuna faida ya uzinzi wala hamna tajiri sbb ya uasherati bali unavuna roho za koo za hata waliokataliwa zitakutesa maisha yako yote. Pasipo Rehema




Wagalatia 4:29 - Lakini kama vile siku zile yule aliyezaliwa kwa mwili alivyomwudhi yule aliyezaliwa kwa Roho, ndivyo ilivyo na sasa.
 
Elewa kuna watu wanaijua biblia kukuzidi na wamepita hapa wakasoma na kuenda zao. Fikisha ujumbe kisha endelea na maisha yako. Habari ya kutujazia maandiko hapa sio mahala pake. Kuwa na adabu. Kama sehemu hutakiwi ondoka. Ukiendelea huu upumbavu utanikwaza zaidi ya sana. Unajaza vitu tusivyohitaji huku wakati tunatumia muda wetu na hela yetu kuingia Mtandaoni. Kama huwezi kujielewa basi elewa salio tunalotumia na hatukuingia kwenye ukurasa wa dini tumekuja huku kwa mapenzi yetu. Toka huku KUruMA wa NINA WW.
 
Elewa kuna watu wanaijua biblia kukuzidi na wamepita hapa wakasoma na kuenda zao. Fikisha ujumbe kisha endelea na maisha yako. Habari ya kutujazia maandiko hapa sio mahala pake. Kuwa na adabu. Kama sehemu hutakiwi ondoka. Ukiendelea huu upumbavu utanikwaza zaidi ya sana. Unajaza vitu tusivyohitaji huku wakati tunatumia muda wetu na hela yetu kuingia Mtandaoni. Kama huwezi kujielewa basi elewa salio tunalotumia na hatukuingia kwenye ukurasa wa dini tumekuja huku kwa mapenzi yetu. Toka huku KUruMA wa NINA WW.

Watu wanaijua bibilia ni Waongo na wanyang’anyi ni wezi na vibaka. Ndio hao walioenda na kuisomea. Walimu wa dini. Wamejaa makanisani vibaka. 1 Wakorintho 2:11 - Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.

Kuhusu matusi sio Fungu langu
 
Elewa kuna watu wanaijua biblia kukuzidi na wamepita hapa wakasoma na kuenda zao. Fikisha ujumbe kisha endelea na maisha yako. Habari ya kutujazia maandiko hapa sio mahala pake. Kuwa na adabu. Kama sehemu hutakiwi ondoka. Ukiendelea huu upumbavu utanikwaza zaidi ya sana. Unajaza vitu tusivyohitaji huku wakati tunatumia muda wetu na hela yetu kuingia Mtandaoni. Kama huwezi kujielewa basi elewa salio tunalotumia na hatukuingia kwenye ukurasa wa dini tumekuja huku kwa mapenzi yetu. Toka huku KUruMA wa NINA WW.

Nakazia sihusiki na dini Mungu hana dini. Na Yesu alikuja kwa ajiri Yetu. Kuhusu kifurushi Tuma namba niku recharge naona huna pesa. Tuma inbox kwamba unanitukana na vocha nakupa vile vile amani amani mkuu
 
Inaanza.......

Kwanza naomba niweuwazi..... Mimi ni kijana mwenye umri around 25 yrs na huyu jirani yangu ni around 35.

Huyu bibie ni mke wa mtu kabisa na ana watoto 4 tena mmoja yupo form 3 na wa pili form 2. Lakin pamoja na hayo yote huyu bibie ni pisi kali kimtindo tukizungumzia reception lakini sura ya pili ndo amaizing sana, bonge moja la trakoo.

Okay mambo yasiwe mengi...
Week mbili zilizopita ulitokea mzozo hapa ninapokaa kuhusiana na maswala ya umeme. Sasa siku hiyo mim sikuwepo(ilikuwa mishale ya jioni saa11) mimi nikarudi mida yangu ya 1 usiku nikamkuta bibie amekaa kibarazani kwake anachezea simu, ikabidi nimsalimie, na hayo ndo mazoea ambayo tunayo ukijumlisha na ukimya wangu.

Niwe muwazi huyu bibie nilimshitukia kitambo tu kwamba alikuwa ananikubali. Sasa nimemsalimia akaniita na siyo kawaida akaniambia fulani nakuomba nina maongezi na wewe, nikamuuliza sasa hivi? Akasema we ukimaliza shughuli zako nicheki nikamwambia poa.

Nikawa nimezama ndani kufanya mchakato wa kuchange na kuoga. Nikawa nimemaliza nikatoka nikanunue mazaga kabisa ili nikirudi nipike kabisa. Sasa nimetoka nikamkuta bado amekaa pale kibarazani kwake, aliponiona nimetoka akawa ananiangalia, nikamwambia ngoja niende road kwanza nikachukue mazaga, akaniambia nisubiri....... Ah mi nikawa namshangaa tu, naona anakuja ananikimbilia nikamuuliza vip? Akaniambia ngoja nikusindikize nikawa nataka nimuulize kuhusu mme wake akaniwahi akaniambia usijali baba fulani amesafiri jana.. Mim nikawa nimekaa kimya tu.

Mara akanishika mkono huku anachekacheka nikaona anyway acha nitoe ushirikiano, basi tukawa tunapiga stor za hapa na pale, tumefika mbele kidogo kabla ya kufika road akaniambia aligombana na jirani ambaye naye ni mpangaji mwenzetu pale sasa nataka kujua in details kuhusiana na ule ugomvi akaniambia tutaongea baadae, sasa nikawa najiuliza huku alikuja kufanya nini huku.

Basi tukaendelea mpaka road tukachukua mazaga tukarudi. Tumefika sehem fulan katikat kuna kigiza akanishika mkono tena akawa ananitekenya na kidole.

Inaendelea.....
 
KUNA YULE AMBAE NI SINGLE MAMA. Yaani amepata mtoto kabla ya Ndoa. Wazazi hawakufurahi na hamna mzazi anaefurahia hilo. Nipo hapa namkumbusha kwamba ALIFANYA UASHERATI haijarishi sasa ameolewa ama na Mume huyo au na Mume mwingine.

Mpendwa tubu hujachelewa. Tubu kwa ajir yako na kwa ajiri ya huyo mtoto haijarishi ni mkubwa. Ukiweza shika sadaka hata kama ni 1000.

Ukishatubu Vunja hiyo Roho ni Mafatilizi hata wewe kwenye ukoo wako sio wa kwanza kuzalishwa ukiwa nyumbani. Sasa ivunje Isaya 7:7. Ni hatari sana kwa maana. Hata mwanao ama atapiga mimba kabla ya ndoa ama atazaa nyumbani kabla ya ndoa sbb ya hiyo Roho. Ni wazi hutofurah bali anaefurahia haya ni Nyoka tu na mtoto wake.

Mungu anasamehe hivo usiogope Shuka na Nyenyekea maana ndo mwanzo wa UASHERATI NA UZINZI usipofanya hayo wewe ni chanzo.

Tamani kuvuka katika hili mpendwa wangu. Nakupenda sana na napenda uvushe mwanao maana Yeye ni mzaliwa wa kwanza. Haijarishi yote lakini ndie amefungua tumbo lako. Shetan anamtaka. Mambo haya nakupa dada huwezi yapata hata huko unaenda kujumuika. Kama ni Mwanaume pia omba tu kama nilivosema. Msaidie mwanao na wewe pia. Hii itasaidia kupunguza uasherati yaan ni Maombi tu.

Neema ya Bwana Yesu kristo iwe nanyi. Msikate tamaa
 
Back
Top Bottom