nyanyantole
JF-Expert Member
- Jun 22, 2015
- 674
- 1,064
Mambo ya Walawi 20:10 - Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa
Anza kufanya mchakato wa kuhama hapo. Mchizi wake atajua tu labda kama unammudu vinginevyo jiandae kwa lo lote...Inaendelea......
Sasa nikamuuliza kwann tusingeongea huku huku barabarani akaniambia tunatembea tutaeleawana kweli? Nikamwambia tunatembea slow tutaelewana tu akanijibu kwamba mume wake hayupo so nisijali, aisee nilishangaa sana[emoji16]
Tumefika home mim nikaingia room kwangu yeye akaenda kwake maana watoto wake walikuwa sijui wanaangalia tamthilia na kengine kalikuwa ni kadogo kanahitaji kula kalale.
Me nipo naandaa mazaga yangu mixer nimeweka na kamovie kakuzugia[emoji16] nasikia mlango unagongwa, nikaenda kufungua nakuta ni yule bibie nikamwambia karibu akaingia. Ameingia ananiuliza ndo unataka kupika sasa hivi? Nikamwambia yess.. akasema acha kwanza tuongee tukimaliza nitakupikia.
Ah nikaona nimsikilize. Sasa tukaanza kuongea, haikupita hata nusu saa naona bibie anaongea huku ananishika mapaja(maana nilikuwa nimevaa kibukta) akaanza kunisogelea mara anajifanya kama amemaindi, sasa pale ndo akawa anonekana mbovu si unajua age go wakiwa wanajibebisha[emoji16]
Basi nikamuuliza veeepe[emoji16] akaanza mara ooooh me nakupenda mara sijui hivi mara vile. Nilivyoona hivyo tu nikakamata mkono, nikamsogelea nikapiga kiss shingoni naona ananishika kama anikumbatia, ikabidi nivute kanga hiii kucheki amevaa kipensi, yaan sikugusa kile kipensi, nikaona anafungua kifungo anakifungua.
Kuvua kile kipensi, hahaha ni amevaa bikini ya blue. Wakuu aliliwa kwa staili hiyo.
Mpaka sasa ninavyoandika huu uzi, nimenuniwa kwasababu eti namchunia simjibu text na nikimuona nampotezea.
Sasa mimi kosa langu liko wapi? Mwenye mali yake karudi na sitaki mchizi ajue me na bibie tuna mazoea kwasababu hakuacha hivyo.
Naomba kuwasilisha[emoji120][emoji120]
Oya mkuu hama hapo mapema sana ..Inaendelea......

Ametuondolea raha ya uzi wetu pendwa tuu. Roho mbaya tuuWanaotoa visa wamepopolewa na mahubiri wamepita hivii
Sasa. Mmeamuaje??Ametuondolea raha ya uzi wetu pendwa tuu. Roho mbaya tuu
Tumeamua tusimuliane pm, kama hivi napata story tamu toka kwa KelseaSasa. Mmeamuaje??
[emoji28][emoji28][emoji28]Ametuondolea raha ya uzi wetu pendwa tuu. Roho mbaya tuu
Leo umerudi kwenye ile mida yako. Shem kasafiri niniKhaaa! Em nilale zangu
YupoLeo umerudi kwenye ile mida yako. Shem kasafiri nini
Yeye hana wivu wakijinga....shikilia hapo hapo besty...mwaka kesho mie nataka kula pilau lako na la financial servicesYupo
TuombeaneYeye hana wivu wakijinga....shikilia hapo hapo besty...mwaka kesho mie nataka kula pilau lako na la financial services
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema nini ba'mjoli nyanyantole, kuna mwana mmoja wa kuitwa sepema kaweka uzi wake eti anaomba ushauri afanyaje ili baba ake aachane na mchepuko wake?, me nikaona sio kweli mbona huku MMU kuna mjuba anatoa speech kwa watu waliodevela na mapenzi!? Nikasema nije nikuite ka'mkubwa ukampe neno kidogo.
Alafu kuna mwingine tena wa kuitwa winnerian eti nae kaweka uzi anauliza m/ke kupiga kelele wakati wa tendo ni ishara ya kuridhika? Dah! Nikashangaa nikasema mbona vijana wanadevela kiasi hiki! Nikasema sio kweli mbona kuna mzee wa neno yupo huku [emoji3] ngoja nikakuitie aje akupe speech kidogo!.
Pia ba'mjoli nyanyantole ukipata nafasi pita na kule kwenye jukwaa la "love connect" ukawape neno kidogo jinsi gani mke na mme mwema wanavyopatikana. Ila huku waache kidogo wazee wa masihara watambae na ukali wao usije kuwaharibia uzi wao!.
YANGU NI HAYO TU BA' MJOLI