Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Moderator badilisheni kichwa cha uzi iwe hivi...

"ULISHAWAHI KUHUBIRIWA HABARI ZA YESU?"

Mkuu mods wa Nini sasa hii ni Mada 1 kati ya maelfu ya mada kwenye jukwaa hili mbona una hofu wala haji.

Nipo shinyanga mda huu nachinja kitimoto Nile na kondoo wangu. Njoo uniue basi. Mada lazima ziendelee ili ndan ya mada tunaweka matangazo. Ni kawaida hata makonda alisema twende hadi kwenye ama disco. Wa pil Wewe una muita mods[emoji16][emoji16] hofu hofu
 
Sie wenyewe Mungu ni baba yetu. Ushauri wangu ulikuwa simple. Hubiri injili wisdome ni fungu maarifa na ufahamu vitakuongoza. Sipo kupingana na wewe.. Injili kikubwa ifike iwe inahubiriwa kwa hila au kwa upendo.. kikubwa Kristo ahubiriwe

Yesu alikuwa na mshauri? Sikuja hapa kukuambia uache dhambi mimi sina uwezo huo. Ni Hekima ya aina gani niseme ili ikupendeze. Sikuja hapa kumpendeza yeyote. Bali nimekuja kukumbusha kwamba ipo Toba. Usikie ni wewe uache ni wewe. Maarifa na ufahamu ungekuwa navyo basi ungevileta kuwakumbusha wapendwa mkuu
 
Nae atachoka tu na kusepa, walikuja wengi wakaondoka.
Hana lolote ukute nae anachukua maujuzi hapa kwa kisingizio cha kuhubiri. Wahubiri wa kweli hawapo kama yeye sijui anatuchukuliaje yaan.
 
Hana lolote ukute nae anachukua maujuzi hapa kwa kisingizio cha kuhubiri. Wahubiri wa kweli hawapo kama yeye sijui anatuchukuliaje yaan.

Mi sihubiri bali nasema kweli ya Mungu kwamba ipo Toba basi Habari ya dhambi ni wewe na Mungu wako. Ni Mungu ndiye mwenye uwezo wa kukufanya usitende dhambi sio mimi au Muhubir yeyote.

Asa uamuzi una baki wako. Mungu amekupa Akili
 
Marufuku kuniquote.
 
Marufuku kuniquote.

IMG_6449.jpg
 
Mkuu mods wa Nini sasa hii ni Mada 1 kati ya maelfu ya mada kwenye jukwaa hili mbona una hofu wala haji.

Nipo shinyanga mda huu nachinja kitimoto Nile na kondoo wangu. Njoo uniue basi. Mada lazima ziendelee ili ndan ya mada tunaweka matangazo. Ni kawaida hata makonda alisema twende hadi kwenye ama disco. Wa pil Wewe una muita mods[emoji16][emoji16] hofu hofu
wala sikupingi mtumishi we endelea kushusha mahubiri..
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Poa kamanda.. ila uwe na staha.. sio kila mtu unamchukulia poa.. kauli zako za kuniambia napiga punyeto na ku connect na uhanithi zikurudie mwenyewe

Na uhakika na nacho kisema. Roho ananishuhudia ukielemewa utakuja hata inbox kama upo tayar kuacha ntakusaidia uwe normal. Dkk 2 si sawa kwa Mwanaume kamili. Mficha uchi hazai
 
Sema nini ba'mjoli nyanyantole, kuna mwana mmoja wa kuitwa sepema kaweka uzi wake eti anaomba ushauri afanyaje ili baba ake aachane na mchepuko wake?, me nikaona sio kweli mbona huku MMU kuna mjuba anatoa speech kwa watu waliodevela na mapenzi!? Nikasema nije nikuite ka'mkubwa ukampe neno kidogo.

Alafu kuna mwingine tena wa kuitwa winnerian eti nae kaweka uzi anauliza m/ke kupiga kelele wakati wa tendo ni ishara ya kuridhika? Dah! Nikashangaa nikasema mbona vijana wanadevela kiasi hiki! Nikasema sio kweli mbona kuna mzee wa neno yupo huku [emoji3] ngoja nikakuitie aje akupe speech kidogo!.

Pia ba'mjoli nyanyantole ukipata nafasi pita na kule kwenye jukwaa la "love connect" ukawape neno kidogo jinsi gani mke na mme mwema wanavyopatikana. Ila huku waache kidogo wazee wa masihara watambae na ukali wao usije kuwaharibia uzi wao!.

YANGU NI HAYO TU BA' MJOLI
 
Tukiwa tour mwaka 2003 kuelekea mto maragarasi, usiku tukiwa camp ile ya chap chap, kukiwa na mtoto mkali alikuwa anaitwa Amina, alikuwa anakaa sikonge road tabora hii ilikuwa pisi mwisho wa maneno.. ile ile night tumewasha moto Amina akapita kujisaidia, nikamtishe kiutani kuna wanayama wakali ,😃😃😃 akaanza jamani jamani nyingi nikasema twende nikusogeze hapo.. nikasima hapa nae hapo time anakojoa nikamtania inaonekana una kadogo maana ka mrio ka mkojo kama katundu kadogo akachekaa.. acha utani nikamuambia au nije nikipime , akacheka njoo.. nikaenda nyikani hiyo nilipiga pale pale na tulitumia kama dk 2 nimemaliza 🤣🤣🤣
jasiri haachi asili
 
Mi sihubiri bali nasema kweli ya Mungu kwamba ipo Toba basi Habari ya dhambi ni wewe na Mungu wako. Ni Mungu ndiye mwenye uwezo wa kukufanya usitende dhambi sio mimi au Muhubir yeyote.

Asa uamuzi una baki wako. Mungu amekupa Akili
Uko sahihi "Mungu amekupa akili"
 
Back
Top Bottom