nyanyantole
JF-Expert Member
- Jun 22, 2015
- 674
- 1,064
Sema nini ba'mjoli nyanyantole, kuna mwana mmoja wa kuitwa sepema kaweka uzi wake eti anaomba ushauri afanyaje ili baba ake aachane na mchepuko wake?, me nikaona sio kweli mbona huku MMU kuna mjuba anatoa speech kwa watu waliodevela na mapenzi!? Nikasema nije nikuite ka'mkubwa ukampe neno kidogo.
Alafu kuna mwingine tena wa kuitwa winnerian eti nae kaweka uzi anauliza m/ke kupiga kelele wakati wa tendo ni ishara ya kuridhika? Dah! Nikashangaa nikasema mbona vijana wanadevela kiasi hiki! Nikasema sio kweli mbona kuna mzee wa neno yupo huku [emoji3] ngoja nikakuitie aje akupe speech kidogo!.
Pia ba'mjoli nyanyantole ukipata nafasi pita na kule kwenye jukwaa la "love connect" ukawape neno kidogo jinsi gani mke na mme mwema wanavyopatikana. Ila huku waache kidogo wazee wa masihara watambae na ukali wao usije kuwaharibia uzi wao!.
YANGU NI HAYO TU BA' MJOLI
Sepema ukisoma vizuri nilimjibu kwamba Amuombee basi. Hamna njia nyingine. Sasa Kimbembe kinakuja utamuombeaje mtu wakati na wewe Ndio unapenda mambo ya dunia. Uzinzi ni Roho za kulidhi haiji ghafla. Hivo nilishauli aombe hakuna mkato. Mengine ni ya huko huko sio ya humu humu ni masihara na matangazo