Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Umewahi kupiga Punyeto au umesimuliwa tu?

Nimepiga mpaka na Nzi kwenye mfuko. Najua nnachokiongea. Hapa silazimishi mtu ayasadiki nnayoyasema. Nimerogwa, nimepata ajari na uasherati nimefanya na Yesu akakutana Nami. Nikaona heri nioe. Mungu aliye nitetea Ndio amenifunulia haya niwape na vijana we Nzangu maana MUNGU ANAWAPENDA VIJANA MAANA WANA NGUVU YA KUSHINDA MAOVU
 
Punyeto ni mapenzi kati ya mpiga nyeto na Mapepo lengo lao ni kuchukua Nguvu zako ziwe za kike au za kiume ukweli ni kwamba utakuwa Hanithi ukishupaza shingo utapiga bao kama kuku.

Kwa nn mapepo. Huchukua hizo nguvu na kuzitumia kufanya mapenzi na binadamu kwa ndoto nyevu. JINI mahaba. Ukiota unafanya mapenzi na unajua huna Nguvu ya Mungu amka Tubu kwa hali hiyo umeacha mlango wazi. Shetan kuna vitu kapitisha kwako ambavo si vya ki Mungu na ndo maana watu wanaelekezwa makanisani hawaelewi kitu maskio yameziba. Ndoto hizi ni moja ya chanzo.

Hali hii ikikupata takasa uume wako kwa damu ya Yesu ni kiungo kimetumika iwe uke takasa haijarishi hujui kuomba.

Shetan anaemdanganya mwanaume kwenye ndoa ndo huyo anaemkumbusha na mke majukumu ya kuchepuka. Upandacho ndicho uvunacho. Mfumo dume ni ujinga na upumbafu simama omba kwa Ajir ya Familia yako.

Yakobo 4:7 - Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.

Kumbe usipompinga atabaki na wewe. Hivyo ulinzi kwako ni mtihani. Utagongwa gari, utalogwa utakufa kabla ya muda wako na sisi tutasema kazi ya Mungu haina makosa. Kumbe ni mungu pepo uliyemchagua. Baada ya kifo ni hukumu uwe hai ndugu. Yesu atakushindia
Wwe jamaa unakatwa ondoa ukafiri wako huku, nenda kapige debe huko nje huko kwa wehu wenzio shenzi9i taipu
 
Wwe jamaa unakatwa ondoa ukafiri wako huku, nenda kapige debe huko nje huko kwa wehu wenzio shenzi9i taipu

IMG_7657.jpg
 
Maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu. Yaani Mungu akae ndani yako. ( Usafi)Lakini hata shetani anakaa ndani ya watu. Wengine anawaita KITI. (Uchafu).

Yesu alipotaka kuzaliwa ndanibya watu alikuwa Nyumba zimejaa wageni.(Maovu)

Wageni ni matendo maovu naongea kwa Habari ya Uzinzi na uasherati yaani kimasihara na vyovyote vile ni Moja ya Machukuzo makubwa maana yanahusisha Mwili ambalo ni hekalu la Roho mtakatifu sasa shetani anamiliki. Sishangai shetani kunitukana maana hayo ndiyo mambo yake.

Tamani kuwatimua wageni ndani yako ili Yesu azaliwe. Mawazo mabaya huharibu tabia njema. Uzinzi na uasherati hufanywa sirini wanaokujua wasikuone. Kama ni haki fanya kwa uwazi tu. Ni Giza yaani matendo ya Giza. Giza ni la shetani.

Ipo Nuru ambayo imetuijilia yenyewe italiangazia Giza wala giza halitaipenda.

Neema yake Mungu iliangazie taifa la Mungu Amina.
 
Mungu akulinde akupe Mawazo mazuri, hekima na maarifa ya kupambana kuona ufalme wa Mungu na kuishi kwa Baraka za Mungu. Si kuwaza uchafu sbb hatujaitiwa huo yaani uasherati na uzinzi. Mchana mwema Nyote
 
Tukiwa tour mwaka 2003 kuelekea mto maragarasi, usiku tukiwa camp ile ya chap chap, kukiwa na mtoto mkali alikuwa anaitwa Amina, alikuwa anakaa sikonge road tabora hii ilikuwa pisi mwisho wa maneno.. ile ile night tumewasha moto Amina akapita kujisaidia, nikamtishe kiutani kuna wanayama wakali ,[emoji2][emoji2][emoji2] akaanza jamani jamani nyingi nikasema twende nikusogeze hapo.. nikasima hapa nae hapo time anakojoa nikamtania inaonekana una kadogo maana ka mrio ka mkojo kama katundu kadogo akachekaa.. acha utani nikamuambia au nije nikipime , akacheka njoo.. nikaenda nyikani hiyo nilipiga pale pale na tulitumia kama dk 2 nimemaliza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama dakika 2. Angalau dakika 4-5 bao la kwanza. Hivo acha kujichua mpendwa yaan punyeto. Husababisha pia tatizo la kusahau na kukosa maamuzi, kusinzia na kupizi bila mpangilio yaan ukiwa na stress tu bao hilo. Kabla hujaingiza bao hilo badae itasababisha kukosa watoto. Na kuwa hanithi.
 
Kumbe unasoma visa, enhee ULISHAWAHI KULA TUNDA KIMASIHARA?? ( in rikiboy voice)
 
Mungu akulinde akupe Mawazo mazuri, hekima na maarifa ya kupambana kuona ufalme wa Mungu na kuishi kwa Baraka za Mungu. Si kuwaza uchafu sbb hatujaitiwa huo yaani uasherati na uzinzi. Mchana mwema Nyote
MCHUNGAJI KAMA VIPI TUUFUNGE UZII[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120]
 
Kama dakika 2. Angalau dakika 4-5 bao la kwanza. Hivo acha kujichua mpendwa yaan punyeto. Husababisha pia tatizo la kusahau na kukosa maamuzi, kusinzia na kupizi bila mpangilio yaan ukiwa na stress tu bao hilo. Kabla hujaingiza bao hilo badae itasababisha kukosa watoto. Na kuwa hanithi.
Kitu ukiwa unafanya wewe, sio kila mtu anakifanya. Acha kurupukia watu na shobo.. nitakukaza
 
Zingatia nlokuambia kaka ni upendo. Ninao watu hao wamemrudia Mungu.
Inakuwaje una nihusisha na punyeto na uhanithi alafu unasema upendo wa Mungu ? Uwe na adabu na heshima sio unaleta shobo za kukoseana heshima. Unataka nimrudie Mungu kwani nilikuwa wapi
 
Inakuwaje una nihusisha na punyeto na uhanithi alafu unasema upendo wa Mungu ? Uwe na adabu na heshima sio unaleta shobo za kukoseana heshima. Unataka nimrudie Mungu kwani nilikuwa wapi

Bill Shaka Roho inakubali mwili unakataa. Yaani unafanya uasherat barabaran afu unasema mimi nakukosea heshima[emoji16]. Mi sijakuomba umrudie Mungu. Nimeomba uache punyeto.
 
Bila Shaka Mmeamka Salama wapendwa. Mshukuru Mungu kwa ajir Yako na familia yako. Omba Rehema na omba ulinzi wa Mungu weka familia yako wakfu. Mabaya hayatakupa ndivyo Mungu anataka.

Jaribu kufikir wangap wanakufa ghafla, wangapi hawarud nyumban leo wanahamia hospital usiwe wewe kwa kufanya hayo mazoezi mafupi ya Dk 3. Ikiwa wengine wanatumia Dkk 5 kupiz na wanajuta kwa nn wamefanya tumia dkk hizo hizo kumuambia Baba asante.

Mungu anapenda Mtu mwenye shukrani. Fikiri Baba yako akikupa pesa ya matumizi si ulisema Asante Baba. Au mwanao ukimpa 100-500 ya mihogo shule je asipo Sema asante si utamshangaa utamfundisha. Basi Mungu Baba ni zaidi. Mshukuru ata wewe ni mzima haijarishi unamkosea sana usiwaze atakuwezesha utashinda. Mshukuru kwa ajiri ya familia yako
 
Si sawa kumuhuzisha Mungu na uchafu. Ni heri kutubu na ufanye mambo yako ila usimuhusishe Mungu. Ghadhabu yake ni kubwa sana. Unaweza kuiacha paso yako wakaendesha wengine. Nipo hapa kukukumbusha juu ya kutubu kwa hilo kuhusu kimasihara uamuzi ni wako
Usituletee mambo yako mkuu, hivi wewe unaijua dini au unababisha. Mm najua sana ukristo kuliko wewe, nimejifunza mambo mengi sana kuliko wewe and baadae nikagundua duniani hakuna dini inaitwa ya mungu ila mwamini mungu toa sadaka kwa wahitaji hiyo ndio dini ila sio kwenda kanisani ama msikitini
 
Back
Top Bottom