Kwa hiyo ujio wako humu ni Kama wa yesu ....? Basi ngoja tukuandalie viboko tukutwange Kama Yesu alivyo fanywa ilituamini Kama kweli umetumwa kuokoa

Anae okoa ni Yesu boss Yeye ndie anaekujua ndie aliyekuumba usinipe UTUKUFU wake mimi. Nafurahi kuona unachomwa Roho ndivo roho chafu zinavo achiaga taratibu mkuu wangu. Asante kwa upendo huu wa kusoma
 
Yesu alichapwa hadi mijeredi mkuu na mate juu, makofi pia wala usijar Neema ya Mungu yani tosha. Lakini Mungu aliyeniokoa mimi basi kwa upendo wake akusaidie na wewe. Akipenda haya asipopenda sawa pia hatumpangii
Njooo na wewe tukusurubu
 
Bro humu tumekuja kula kimasihala stop wasting word of Jesus
 
Kamuambia baba yako
 
Ni matter your age wewe ni punguani
 
Wee mzeee acha kuchanganyikiwa wewe unazujua habari za Yesu uliziona wapi wewe boyaa....? Wote hizi habari tunazisikia we fala
 
[emoji12] JUKWAA LA DINI NI LIPI MUNGU HANA DINI HATA MIMI SINA. uasherati na uzinzi ni mambo yapo kwenye Dini Eeh PILATO
Hivi kanisani kwenu huwa hamu confess...hizi shuhuda za watu ni nini walifanya sio watafanya. Haya ni mapito ya watu walisha yapita Sasa sijui wewe unatatizo gani na mapito ya watu....? Yaani unabishana na mapito ..mambo ambayo watu walisha toka huko. Kama sio upunguani ni Nini .....?
 
Luka 22:31 - Akasema, Simoni, Simoni, tazama, Shetani amewataka ninyi apate kuwapepeta kama vile ngano;
Kwa akili zako unahisi humu unaleta mambo mapya .. ? Hayo unayo tuambia tunaweza tukakuambia Hadi ukabaki kuwa mdikilizaji
 
Ingekuwa Kuna maisha baada ya kifo waliotuletea dini wasingeendelea kuuwa na kuibia maskini, maisha baada ya kifo hayana ushahidi
 
Kwa akili zako unahisi humu unaleta mambo mapya .. ? Hayo unayo tuambia tunaweza tukakuambia Hadi ukabaki kuwa mdikilizaji

Kipofu hawezi kuongoza kipofu wenzie. Yeye Mungu akitaka atakupa asipotaka ni Yeye una hangaika tu. Ni mmoja tu aliye potea wala sio wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…