Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,999
- 35,455
[emoji23]Mtumishi anasoma story za kimasihara ili akaapply kwa wapendwa...
[emoji23]Mtumishi anasoma story za kimasihara ili akaapply kwa wapendwa...
Achana nae unampa kichwa
hapa ndio napatakujua wachungaji wakweli....sio mchungaji unaombea wagonjwa kanisani wakati hospitali zipo zimejaa wagojwa sasa mchungaji endelea kutoa neno mpaka uzi ufungwe kwa jina la yesu..
Sumbawanga hujafikatukio hili nitakalolisimulia hapa halijatokea siku nyingi, ni wiki mbili tu zilizopita.
kwa kawaida mimi ni mtu wa kusafiri sana kikazi na kwa safari zangu binafsi.
napenda kusafiri na ninashukuru kufanya kazi ktk field inayonifanya niwe nasafiri mara kwa mara. ukipitia baadhi ya post zangu,utabaini hilo.
nimeambatanisha screenshot inayoonyesha timeline yangu ya mikoa ambayo nimefika mpaka sasa tanzania hii. kwa sasa nipo mkoa wa pwani.
wiki mbili zilizopita nilikuwa mkoa X kikazi.
niliwasili ktk mkoa ule mida ya jioni. nikaelekea moja kwa moja ktk hotel ambayo tayari nilishafanya booking.
ilikuwa ni hotel ya ghorofa saba, chumba changu kilikuwa floor ya pili. nikiwa napanda ngazi kuelekea room kwangu, kwenye corridor nikakutana na mdada mmoja mrefu wa kimo halafu black beauty flani, mzaliwa wa kaskazini mwa tz.
wakati mimi napanda ngazi kwenda juu, yeye alikuwa anashuka.
alikuwa kavaa jinsi tight ya dark blue na sweta rangi ya kijivu.
alivaa sweta kutokana na hali ya ubaridi ya mkoa ule hususani miezi hii ya sita kuelekea wa saba.
halafu alikuwa ananukia manukato mazuri sana ya kike. mimi ni mgonjwa wa wanawake wanaonukia manukato mazuri.
wakati tunapishana pale kwenye ngazi, nikamuwahi kwa salamu, halafu nikamuomba samahani ili asimame tufahamiane vizuri.
baada ya maongezi mafupi ya kufahamiana nikamuomba namba ya simu na yeye nikampa ya kwangu.
baada ya nusu saa nikamcheki. tukapiga story kadhaa kwenye simu, nikamtajia nafasi yangu kikazi na dhumuni la kilichonipeleka ktk mji ule.
yeye akaniambia ni nimuajiriwa wa wizara X ktk kitengo kinachohusika na masuala ya auditing. amekuja ktk ule mji kikazi kwa mda wa wiki mbili.
ilikuwa ni mida ya saa mbili usiku, mdada alionyesha kunikubali sana kupitia maongezi yetu kwenye simu.
akanimbia yupo alone room kwake floor ya nne anacheki movie,nikamwambia kama vp shuka njoo floor ya chini kwenye lounge ya ile hotel utanikuta.
akaja, akanikuta mzee mzima nipo counter nagonga windhoek zangu mdogo mdogo.
na yeye nikamnunulia heineken nne, baadaye wote tukawa tumechangamka kwa kilevi huku tukipiga story kadhaa za mahaba.
akaniambia nimsindikize room kwake akamalizie kuangalia movie. kimoyo nikasema huyu tayari ny*g* zishampanda. acha niende nikampelekee moto.
nilichowaza ndicho kilichotokea, alikuwa kalegea sana,nikambandua room kwake siku ileile kimasihara tu.
nililalanae mpaka asubuhi. room kwangu nilirudi saa tatu asubuhi. kile chumba kililala empty.
tukawa tunaendelea kubanduana kwa siku zote zilizokaa pale hotelini. mpaka sasa bado tunawasiliana.
NB: kiumri nacheza kwenye early 40s.wakati fulani niliwahi kuandika uzi uliokuwa unazungumzia idadi ya wanawake niliowahi kutoka nao kimapenzi mpaka sasa, ambapo kwa idadi ni zaidi ya wanawake 100. ule uzi ulivuta hisia za wana JF wengi na ulikuwa una trend kwa kasi sana
moderators kwa wivu au kwasababu wanazozijua wao, wakaamua kuufuta.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
timeline yangu hii hapa. hii inaonyesha baadhi tu ya sehemu nilizowahi kufika ndani ya tz hii. ila almost hakuna mkoa ambao sijafika.
have a good weekend guys.
View attachment 2265296
Bwana mchungaj kanisa lako liko wap natak nije kusal.... Il nimle kondoo wak kimasihara au kanisa lak lipo hum hum ....😂😂😂😂Wanaenda kuomba hata maospitalin. Huwezi kwenda tu isipokuwa kwa maelekezo ya Mungu. Kila kitu ni maelekezo.
Mfano Yesu hakuwahi kufata wagonjwa ila aliletewa wagonjwa akawaponya. Lazima ijulikane ni Mungu ametendabili mtu yule ampe utukufu Mungu. Lakini wanaenda. Na huko kwenye nnyumba za ibada wanapelekewa wagonjwa maana haiwezekani watu wale wale waombewe mara zote means kuna watu wapya hiyo kimwili kabisa.
Mpendwa ukija kiroho sasa maana Mungu ni Roho kuna wengi ambao Sio wagonjwa kimwili bali wagonjwa kiroho.
Ndio kwa Maana ya vifungo. Upofu ni ugonjwa ingawa kimwil unaona, ukoma ni ugonjwa ingawa unakula ugali vizur na una vidole, unaweza kuwa kiziwi wa kiroho husikii sauti ya Mungu. Shetani kaweka gunzi. Kuna vifungo na mafundo shetani kafungia watu kupitia mawakala wake. Waganga na wachawi+washirikina. Kuna pingu za kiroho, kwamba na magereza mfano Mtu mnywaji wa pombe huyu Yumo gerezani utaongea mpaka. Ataishia kukuambia Yesu aligeuza maji kuwa divai sa divai ni pombe sijui ya wap.
Sasa Yesu alikuja ili wasioana waone. Ukiona una zini na kufanya uasherati na unaufurahia uchafu jua bado u kipofu wala usijar maaana HAUTENDI DHAMBI BALI UNATENDA MATENDO YA DUNIA HII NA MTAWALA WA DUNIA HII ATATUPWA NJE NA WATU WAKE huyu amekwisha kuhukumiwa. Lakini toba na wokovu upo kwa ajir yake. Habari njema ipo maana Mungu anampenda anamletea bila kuchoka
Yohana 12:31 - Sasa hukumu ya ulimwengu huu ipo; sasa mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje.
Anae tenda Dhambi ambae ataketi kwenye hukumu ni Yule aliye pokea Wokovu yaani aliyetolewa huo upofu ametambua hii ni dhambi. Maana amefanyika Mwana wa Mungu.
Yohana 9:41 - Yesu akawaambia, Kama mngekuwa vipofu, msingekuwa na dhambi; lakini sasa mwasema, Twaona; basi dhambi yenu inakaa.
Kumbe vizuri kuombeana. Ndugu usikubali kuwa MUUMINI AU MSHIRIKA SEHEMU FULANI TAMANI KUWA MTUMISHI WA MUNGU MAANA KILA MMOJA KUNA KITU CHA KI MUNGU AMEMWEKEA ILA DINI INAZUIA WALA HAKIWEZI KUKUA.
Unamuona sasa mchungaji akaombee watu hospitalini lakini huo ni Wajibu wako vile umepigwa upofu. Sikia ufalme wa Mungu utatekwa na Wenye Nguvu. Moja ya nguvu ni hii ya kujua kuomba. Tamani
Bwana wangu na Mungu wangu Yesu Kristo akutie Nguvu akupe Neema na kibali ewe mpendwa wake sana uweze kusoma Neno la Mungu maana husomi basi likukuze likupe nguvu amina.
Bwa
Bwana mchungaj kanisa lako liko wap natak nije kusal.... Il nimle kondoo wak kimasihara au kanisa lak lipo hum hum ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amina mpendwaa...akutetea na wewe. MtumishiBwana Yesu akutetea amina.
Amina mpendwaa...akutetea na wewe. Mtumishi
Samahan bwana mchungaj hv unajiunga kifurush cha bei gan...... manake hupoi uko🔥🔥🔥Amina nimepokea
Samahan bwana mchungaj hv unajiunga kifurush cha bei gan...... manake hupoi uko[emoji91][emoji91][emoji91]
Maisha bwana...Hivi wapi umebezwa, wapi nimejigamba[emoji16][emoji16] wapi nimetukana watu mnafanya matusi lakini naonekana mimi na wewe kwamba nimetukana li wap TUSI moja nimetukana. Ukweli unaita matusi . Kwamba nikuambie kwa upole kwamba ufanye nn sasa. Umeshindwa kuwasikia viongozi wako unaowapa sadaka unataka unisikie mimi[emoji16][emoji16]. Mimi nasema ukweli na Mungu anajua upokee au uache shauri lako.
1 Wathesalonike 4:7 - Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso. KAMA HUJAITWA UTANIONA NAKUTUKANA LAKIN MUDA UKIFIKA NAWE UKAITWA ROHO YAKO ITAKUSHUHUDIA KWAMBA NALISEMA UKWELI. Lakin muda unaweza usifike pia Ndio maana Nipo hapa si wote walioitwa ila wengine walisikia wakaamini. Sio lazima uwe WEWE MBONA UNAJILAZIMISHA UWE WEWE
1 Wathesalonike : 4 : 8 - Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.
ANAE AMUA UOKOLEWE NI MUNGU SIO MWANADAMU SIJAJA KUOKOA MTU HAPA. Bali mwenye masikio atasikia sauti ya Bwana wake. Na Yeye na bwana wake Yesu watakutana wao mi sihusiki. Hivo relax mkuu wa kaz
Umewahi kupiga Punyeto au umesimuliwa tu?Punyeto ni mapenzi kati ya mpiga nyeto na Mapepo lengo lao ni kuchukua Nguvu zako ziwe za kike au za kiume ukweli ni kwamba utakuwa Hanithi ukishupaza shingo utapiga bao kama kuku.
Kwa nn mapepo. Huchukua hizo nguvu na kuzitumia kufanya mapenzi na binadamu kwa ndoto nyevu. JINI mahaba. Ukiota unafanya mapenzi na unajua huna Nguvu ya Mungu amka Tubu kwa hali hiyo umeacha mlango wazi. Shetan kuna vitu kapitisha kwako ambavo si vya ki Mungu na ndo maana watu wanaelekezwa makanisani hawaelewi kitu maskio yameziba. Ndoto hizi ni moja ya chanzo.
Hali hii ikikupata takasa uume wako kwa damu ya Yesu ni kiungo kimetumika iwe uke takasa haijarishi hujui kuomba.
Shetan anaemdanganya mwanaume kwenye ndoa ndo huyo anaemkumbusha na mke majukumu ya kuchepuka. Upandacho ndicho uvunacho. Mfumo dume ni ujinga na upumbafu simama omba kwa Ajir ya Familia yako.
Yakobo 4:7 - Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.
Kumbe usipompinga atabaki na wewe. Hivyo ulinzi kwako ni mtihani. Utagongwa gari, utalogwa utakufa kabla ya muda wako na sisi tutasema kazi ya Mungu haina makosa. Kumbe ni mungu pepo uliyemchagua. Baada ya kifo ni hukumu uwe hai ndugu. Yesu atakushindia
Huu uzi unaishi Milele na Milele..ndio uzi pekee kila siku siachi kusoma..Huu uzi pale awali ulitaka kuharibiwa na Kurutas, now mchungaji feki wa mchongo anataka kuharibu huu uzi.
Vp nikitak kutoa sadaka ntakupataje....?Vodacom kanda ya ziwa . 1000 mb 500 asante
Huu uzi pale awali ulitaka kuharibiwa na Kurutas, now mchungaji feki wa mchongo anataka kuharibu huu uzi.
Huku alikuwa anatafuta nini?Hawa watu hawa basi tu tusiongee sana.Mtumishi anasoma story za kimasihara ili akaapply kwa wapendwa...