Bora umeokoa uzi, make makuruta walishaanza kuuangamiza hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuruta mbabe kuliko wote pale msange alikuwa anaitwa Matiko Mabango historia yake hadi leo ipo mnamjua?
Nampata kabisa ila nasikia nowdays ameahamia dodoma makao makuu
 
Hahaa mkiwatukana kuruti ndio mnawapa morali waacheni had wachoke watarudi kwenye mada
 
Ilikuwa kzi rahisi Sana , thanks mam and papa for the looks yu gave me ila nahisi kama mimi ndo nilikuwa kimasikhara
 
Kuna afande alikuwa anaitwa Kessy wa F coy Yule aliyejimwagia ndoo ya maji, kuna afande alikuwa anaitwa Chuga alikuwa kule shambani kwa msanga yaani usiporudi na kuni anakukamata pale shuleni,
Kuna kiafande kilikuwa kinaitwa Mlozi cha E coy kilikuwa kina Mambo ya hovyo sana.
Kuna Mzee mmoja alikuwa Ni staff sajenti jicho lake moja kama halioni vizuri hivi alikuwa anatoa doso hatari pale getini.
Wapiiii afande kayange mwenye mapengooooooo haaahaaaa.
Wapi RSM MATANDA Mzee wa ng'ombe wa mayai.
Wapiiii RSM kikotiiiiiii mzee wa makamanda makamandaaaaaa haaahaaaa
835KJ, mgamboooo
 
Mwanamke mzuri alikuwa ni MP alafu alikuwa analiwa na mshikaji flani wa kujitolea ambaye alikuwa doja maarufu

Maluten wote wa kike walikuwa na sura ngumu.

Kuna jamaa kipindi cha uzalendo alikuwa anavaa kiraia anapiga story na kuruti asubuhi hadi jioni lakini aiku tunafungua mafunzo nkamuona katupia sare kama za magereza ana minyota sijui zile sare ni za jeshi gani
 
OP muungano,afande kanole anasema" Sisi hatuwatengenezi kuwa wa mujibu wa sheria,ila tunawatengeneza kama askari wa akina,likitokea la kutokea si tuna no.zenu tunawakurupua tu"..Nikiwasimulia sekeseke la mgambo mujibu wa sasa hvi wanahisi ni movie au nawapiga kamba,

Kulikuwa na luten mmoja wa kike mzuri kinyama sijui alikuwa anaitwa nani?,Yule captain sikuwa kumuona kuonyesha kuridhishwa hata siku moja,akija utasikia kuruti ndo kitu gni mnafanya....daaa
 
uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

Mkiendelea kupost masuala yenu ya kambini najaza servers
 
uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

Mkiendelea kupost masuala yenu ya kambini najaza servers
 
uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

Mkiendelea kupost masuala yenu ya kambini najaza servers
 
uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

Mkiendelea kupost masuala yenu ya kambini najaza servers
 
uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

Mkiendelea kupost masuala yenu ya kambini najaza servers
 
uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

uzi wa makuruta

Mkiendelea kupost masuala yenu ya kambini najaza servers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…