Tulikuwa tunamtoa kwenye reli huyo dada aliyeanza kuharibu uzi wetu,Mgambo wamechachama kwenye uzi pendwa
Kwa hiyo mmemaliza sasa?Tulikuwa tunamtoa kwenye reli huyo dada aliyeanza kuharibu uzi wetu,
Alafu tulikuwa tunawekana sawa, waliokula kimasikhara jeshini ni chai
Ulikua 842kjhuyu alikua Nanga, nyege unazitoa wapi kwa doso lile, nakumbuka niliwah jificha na demu lakini sijui nlisinzia saa ngap ata sikuwaza kumla, nimekuja kumla tulivyofika Daslam course imeisha, wazee wa Embakasi, wapi man Gaddafi [emoji16]
😂😂😂 kurutu mdudu .😂😂😂.Nyiee wa jkt embu anzisheni uzi wenu mnatunyima uhondoo hapa ni kula kimasihara na sivinginevyo laa sivyoo nitawapiga vasco dagama au popo kanyea mbinguu mbavuu zenuuuuuu acheni hizooo
duuh long live mafinga . 😂huyo pilato huyo😂Ulikua 842kj
Yakoboleweee[emoji23][emoji23][emoji23] kurutu mdudu .[emoji23][emoji23][emoji23].
Yanyukweeeeee!!!!!
YakoboleweeeYanyukweeeeeee[emoji23][emoji23]