Bado mapunga wa kutaja chai

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Nenda polisi. Endelea na mpenzi wako
 
Dah umeliwa kimasihara jamaa, hiyo simu alokupigia kutoa maelezo ya huduna ni mtego wake uingie kingi

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Dah umeliwa kimasihara jamaa, hiyo simu alokupigia kutoa maelezo ya huduna ni mtego wake uingie kingi

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Huenda mkuu,
Ila nilifanya due diligence baadae na sikkukuta link yoyote ile ya kuwa alikusudia. Ni yule nzi wa kufia kwenye kidonda, huenda pia niliangalia kwa jicho la tamaa sikuona hili 😂🤣
 
Nko kwenye gari na hii foleni ngoja niandike nnachokumbuka... Nmesoma za watu sasa ni kulipa kwa kile nlichokipitia.
 
Mshikaji wangu we mpole sana na hakika unamstahili binti usijione kapuku usijishushe sana wanawake wanapendaga mwanaume anaejiamini, wanawake hawatakagi makelele mengii wanataka amani muda wote, usiogope mwambie mshikaji umemuelewa manzi na hubanduki ndiyo umefika
 
Shida sana na hizi swaga za itaendelea
 
Yoooooo majukumu yalisababisha nisimalize kisa changu


Basi bwana nilishazoea asubuh saa kumi na mbili kasoro kupigiwa simu nikashangaa hii siku no call no text nikakausha nikajiandaa nikasepa zangu nimefika mzigoni nikaona nimchek bibie akaniambia anaumwa basi baada ya kaz nikaona nimchukulie maembe dodo nimpitishie mgonjwa nyumban kwake nimefika nagonga anafungua alikuwa anajiandaa kwenda kuoga nikakaribia stori mbili tatu akaingia kuoga nimejilaza kweny kochi akatoka ananimbia nisiondoke mpaka anipikie heee nikaona hili zali maana geto sikuwa na mpango wa kutoa diko

Amepika akamaliza kaleta kitu cha wali ndondo la nazi basi nikamchokoza kuwa nataka kumlisha mgonjwa anachekacheka basi katika harakati za kumlisha mgonjwa tulianza touch ndogo ndogo ambazo zilimfanya awe kama anazubaaa hiv na mm niliendelea na viuchokoz vidogo vidogo ambavyo vilimpoteza kabisa nikaona huyu tayar ameshaliwa nilimsogelea nakuanza kumlisha na kumchokoza kwa ukaribu akaingia kingi aliniomba nikaoge kwanza then nikirud tutaanzia tulipo ishia


Nilikimbia bafuni kama nimebanwa na uharo nilioga dk 0 nakurud chap ilinimuwah mzuka usije ukasepa nilimkuta kapanda kitandan kajifunika shuka gubigubi yaan kafunika mpaka uso nilijifuta na kanga yake nikazima taa sikaingia bedi sikutaka kukaribishwa kitandan niliingia nimevaa boxa yangu ile kumgusa nikagundua amevaa kichupi tu basi tuliendelea tulipo ishia nilimchakata mgonjwa staili zote mpaka asubuh nilioga nikaenda kubadilisha nguo geto kisha nilimpitia tukaenda mishe mishe .
 
No 8,

2019, Dar es salaam Tanzania.

Niko barabara ya Maliki nkitokea ofisini, nakutana na mtoto mmoja mweupe na mkali. Niko na jamaa mmoja wa ofisini, kutoka ofisini hadi nnapokaa barabara ya Kalenga ni walking distance. Yule binti alikua akiongea kwenye simu.

Tulivompita, nkachombeza "mwambie akate simu tukusalimie". Binti hakuitika, akawa yuko busy na ile simu yake, tunafika home tunaona anapitiliza anaingia blocks za jirani.

Siku chache baadaye, nkamuona tena. Nkamsalimia, nkampa namba zangu bila kuongea chochote. Zikapita kama siku 3 hivi, akanicheck na kujitambulisha. Nilipomjua, nkaitika kisha nkaacha kuchat nae, na sikua nikipokea simu wala kujibu msg tena.

Ijumaa moja natoka masjid, kanzu inanukia uturi, na kiremba cheupe kimeka kichwani. Ile nivuke UN road binti huyu hap kwenye sare za kazi.

Lile vazi lilimkaa vema, niliweza ona kila kiungo kwa mapana yake. Nkatabasamu, moyoni nkiwaza toba nlotok ifanya. Binti alikua kanuna haswaa, anauliza kwanini sipokei simu au mke anikataza. Nkamwambia la, ninaumwa na simu situmii sana. Nkamuomba tukakae home kiasi nimsimulie maana si mbali.

Kama kuumwa basi ilikua ni ile hamu ya kumla, nkachukua kuku sekela kwenye grill house kabla sijaingia nae ndani. Kufika nkamkaribisha ukumbini, nkaandaa kuku tukala, hakuna aliekua akiongea huo muda wote. Tulivomaliza, nkamkaribisha chumbani ajimwagie maji. Alitaka kusita, nkamwambia nna khanga ya akiba na taulo jipya. Akakubali kishingo upande.

Anatoka bafuni anakuta nmekaa kitandani namsubiri, nkampa tshirt na kumwita nimkaushe maji. Nkawa namfuta maji, huku nkisimulia ugonjwa hata ambao sina, akaingia huruma akawa aniangalia nami namuangalia kwa huba. Nkamuinua nkamkiss kwenye paji la uso kumwambia ahsante kwa kunifariji.

Pale tulipokaa akataka ainuke sasa ili akae vizuri, ile khanga nkaizuia kimtindo ikamtoka. Na chupi alikua kaiacha bafuni, anajaribu kujificha nkawa namwambia mgonjwa nshakuona. Nkamkumbatia na kumshika kwa utaratibu, pumzi zikaanza kumzidi. Nkamkalisha kwenye kisofa.

Nkamshika miguu, nkaipandisha usawa wa mabegani kwangu nipate wasaa wa kupiga deki... Siku ild usafi nliufanya aisee. Binti akavunja dafu safi kabisa. Hakua fundi kwenye mchezo ila ni mtamu haswaaa.

Nlihakikisha namla hadi asahau kama ana kwao, ilipofika jioni nkafanya order ya chakula cha usiku ndani hatukutoka. Kazini alikua aniangia Jumamosi jioni, hivyo mchana wake nkampeleka kwake akabadili nguo na kurudi kuingia kazini. Kuanzia hapo akawa kama mke wangu sasa, akahamishia vitu vyake pale. Tulikuja kukosana nlipokuja gundua kwao ashawekewa mchumba na karibu wanaoana na hakuwahi niambia, japo hakua akimpenda yule mtu.

NB: kuna wakati zina fail, nkimaliza few attempts zilizofanikiwa ntaleta na mbili tatu zilizoshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…