Corosive
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 1,459
- 2,948
Bado mapunga wa kutaja chaiHapo 2020 nilipokuta notification 48 kulikuwa na visa 42 na wajinga 06 waliojibizana ujinga. Mwaka huu nakuta notification 48, visa 04 matahira 41 yamegeuza eneo la kuchat na wafanyakazi waliokosa ajira wa angaza 03 wanaulizia kuhusu kutumika kwa kondom.
Nenda polisi. Endelea na mpenzi wakoKula kimasihara kumenigharimu
Hapa kitaa Kuna Dem mmoja mkalii Sana amekamilika kila idara anadeti na mtoto wa kigogo ni waziri wa wizara x Sasa uyu Dem ni mshikaji wangu kitambo Sana anajua mahusiano yangu namimi nayajua yake
Huyu jamaa ake ambaye ni mtoto wa kigogo anaonekana ana wivu Sana kwa bibie hivyo wamekua wakugombana kila Mara na jamaa hatakagi demu awasiliane au awe na urafiki na mwanaume yeyote yule ilifikia steji mpaka jamaa akaanza kumpiga mrembo sababu tu ya wivu akikuta Dem kawasiliana na mwanaume anamshushia kipigo kikali demu anampenda kweli jamaa ila iyo Hali ikawa inamuumiza Sana demu kaja kwangu akawa ananielezea nikawa ni mtu wa kumfariji na kumtia moyo Sana kipindi anapokua amekosana na jamaa ake
Nakumbuka ilikua Christmas ya mwaka Jana nipo zangu kwangu mida ya saa nne asubuhi mlango ukagongwa kutoka nje nakutana na mrembo sikuwahi kuwaza Kama Kuna siku angekuja magetoni maana mazingira tuliyokua nayo ni ya kuwasiliana au wakati mwingine kupishana njiani na kupeana hi tuu Basi nikamkaribisha akaingia ndani Ile kuketi tuu mrembo akaanza Julia ikabidi nimsogelee nikamuuliza ku namimi Tena mrembo akaniambia ametoka kuonana na mshikaji wake wamegombana Sana kwani kupitia simu ya mshikaji aligundua jamaa alimsaliti usiku wa kuamkia iyo Christmas kwani alivofatilia meseji kwenye simu yake Kuna mwanamke alikua anamshukuru kwa kumpiga shoo nzuri
Kama kawaida yangu Mimi ndio nilikua mfariji wake mkuu nikaanza kumfariji pale bembeleza Sana ili asiendelee kulia kweli nikafanikiwa kumweka sawa baada ya muda demu akaniuliza vipi sikukuu nikamwambia imenikuta vibaya Niko apeche alolo ila Nina kamwaliko nimekapata kwa ndugu hivyo mchana nitahudhuria
Dem akaniambia nimekua mtu wa muhimu Sana kwake Mara nyingi anapopitia changamoto nimekua nae bega kwa bega kumshauri hivyo anataman iyo siku anipikie chakula kizuri na asherehekee namimi pale kwangu nikamwambia Basi sawa Haina tatizo kwa kua nilikua Sina ratiba ya kupika ikabidi niende kwa mtaa kutafuta mazaga ya kupika pika picha linaanza wakati narudi nakuta geto linapigwa mng,ao nakuta mrembo kaingia chumbani kabadilisha nguo kavaa t-shirt yangu na kajifunga taulo langu juu ya suruali aliyokua kaivaa mmh nikajiuliza kimoyo moyo Kuna usalama kweli hapa Leo nikajisemea acha muda utaniambia
Baada ya usafi wa kutosha mrembo kapika kamaliza kabla ya kula mrembo kaomba akaoge nikamruhusu mmh wakati anatoka bafuni alitoka kavaa lile taulo langu tuu mmh nikasema niache ubwege pamoja na kuheshimiana sijui nini acha niruhusu akili za kichwa Cha juu zihamie kichwa chini wakati wa kula nashangaa nalishwa Mara kugusana gusana tukajikuta tupo sita kwa sita ilipigwa show moja kabambe ya kuanzia Christmas mpaka kuamkia boxing day ni mwendo wa kuchakatana aisee yule mrembo alikua mtamu Sana katika Maisha yangu sikuwahi kudate na pisi Kali Kama Ile
Baada ya hapo Sasa mapenzi yakahama kutoka kwa jamaa kuja kwangu Dem akatokea kunipenda sana Yani mpaka inafikia steji ananiambia alikua yupo jela ya mapenzi sasa yupo huru wakati huo ameshamchana mtoto wa waziri wa break up lakini mtoto wa waziri Sasa hivi ndio Kama ameanza kuona umuhimu wa mrembo hivyo anahangaikaa amrudishe ameenda kupekenyua huko mtandaoni kudadisi saivi anadate na nani nikakutwa ni kapuku Mimi akachukua mawasiliano yangu akanipigia akanichimba mkwara mzito Sana niachane na mrembo mi nikamkubalia hata sitakagi bato ambazo naona siziwezi mtihani unakuja mrembo hataki kunielewa kabisa kuhusu kuachana ameniambia ni Bora afe ila sio kuachana namimi nikamwambia tukiendelea kudate uwezekano wa Mimi kupotezwa na wasiojulikna ni mkubwa hanielewi nipo nawaza mpaka muda huu wadau sijui nijipeleke polisi nikaripoti maana nahisi tu kufanyiwa tukio na huyu mwamba maana imefikia mpaka nimemwambia ukweli mi nipo tayari kuachana na binti ila yeye ndo hataki jamaa haelewi ananiambia Mimi ndio nampa kiburi jamaa ananitumia meseji nyingi za vitisho Yan mpaka nimeanza kujuta kulala na yule mrembo wakuu
Dah umeliwa kimasihara jamaa, hiyo simu alokupigia kutoa maelezo ya huduna ni mtego wake uingie kingiNo 6
"Habari, tunapiga simu kutoka @#£& bima, @#£& bima ni....." alipomaliza nkamwambia nshawahi jiunga (ilikua fix) lakini follow up yao ni hafifu na sikuridhika, akahangaika pale kujaribu kuniridhisha, nkamwambia kujiunga tena ni hadi niwe na mtu ambaye nkisumbuliwa naeza mpigia moja kwa moja sio kusubiri kwenye line. Akashawishika kunipa dials zake, akijua ni potential client kumbe ni potential fisi.
Nkasave ile no, nkawa naangalia status hata sitii neno. Siku moja jpili asubuhi, kapost ameshika andiko fulani, nkachombeza "the way am down, one verse is enough to heal me" akajaa na maneno mengi. Nkamuuliza kama yuko kwake, swali lilichukua masaa kujibiwa.
Mida ya jioni, nshasahau km nliuliza mtu jambo, anajibu ndo nafika nyumbani, nilikua na mizunguko mingi. Nkamwandikia, nitumie location nije, hakikisha iko accurate sana nisipotee, eka na maji yaanze pata joto nkukande miguu in exchange ya neno ulilonipa limenisaidia. A minute later, location hii hapa, nkaita uber inisogeze.
Nmefika kweli kaandaa maji, nkaomba mafuta na kumwambia let's do this fast niondoke, asije nijuta mmeo ukaachwa. Akanipa assurance kua hana mtu, na hapo kahamia hata wiki haijaisha na mm ndo mgeni wa mwanzo.
Nkachukua mafuta, nkampaka miguu, hadi magotini, nkachukua handkerchief nlokuja nayo nkailoweka. Nkawa namkanda taratibu mguu mmoja baada ya mwingine, hadi magotini, nkawa namuona anahangaika ila sijali, nasubiri aloe kabisaa. Nkamwambia kavue nguo, uje na khanga, nikande hadi juu ya magoti, aliinuka pasi na kusubiri maelekezo ya ziada.
Alitoa nguo hadi chupi kaja na khanga, nkafanya kazi kazi hadi mapajani, macho yake yakielekeza nipandishe juu, ila mdomo wake hauwezi. Nkamwambia haya lala, kisha geuka. Nkamwambia natoa nguo nisijipake nafuta, mtu anatikisa kichwa tu.
Nkamtia mafuta juu ya khanga, kisha nkaanza peleka mikono taratibu, naona khanga inatupwa huko, mikono ikawa inatembea vema.
Nkahama toka mapajani hadi kifuani, na tumboni, mtoto wa watu acha ajinyonge hapo. Nkamgeuza nyuma, nkamtia mafuta mgongoni, na mengine nkatia kati ya milima.
Wakati nakanda mgongo, mwili umekaa juu ya milima, na ukuni umesimama wamgusa gusa. Alilowesha godoro kabla hajaguswa, namwambia nimemaliza hataki niinuke, muda huo ukuni nmeugusisha kwa bibi makusudi.
Nkamuuliza nikutiee, anaitika kwa kichwa... Nkampelekea moto mdogo mdogo huku akiendelea haribu godoro lake maana alikua anamwaga sio kidogo. Ilibidi nilale pale siku ile, japo akili haipo kabisa, nahesabu kila miguu inayopita huko nje ya geti. Asubuhi nkawahi kuamka, nkapasha moja la nguvu, nkamwacha amalizie usingizi.
Kaamka anakuta nmemuandalia chai, na mikate nlopaka yai, akanywa huko anacheka. Anauliza ulinitiaje hivi? Nkawa nacheka tu, namwambia si uliomba, toka siku hiyo akihitaji alikua anasema naandaa maji njoo. Ila tuliachana for good, mimi nkaenda nje kuzurura and she is "happily married"
Bas tu vile watu hawasemi humu kuna watu wamekula dada zao wa damu, ata wajomba tu ni wengi sana wanaliwaWewe Kichaa sana! Unakula mtoto wa Mama Mdogo?
Ni mjinga pekee ambaye atakaa kwenye keyboard akaandaa chai. Ndo maana watu hawaleti visa kwa ajili ya mpuuzi mmoja mmoja wanaoita chai.Bonge la chai
Huenda mkuu,Dah umeliwa kimasihara jamaa, hiyo simu alokupigia kutoa maelezo ya huduna ni mtego wake uingie kingi
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Mshikaji wangu we mpole sana na hakika unamstahili binti usijione kapuku usijishushe sana wanawake wanapendaga mwanaume anaejiamini, wanawake hawatakagi makelele mengii wanataka amani muda wote, usiogope mwambie mshikaji umemuelewa manzi na hubanduki ndiyo umefikaKula kimasihara kumenigharimu
Hapa kitaa Kuna Dem mmoja mkalii Sana amekamilika kila idara anadeti na mtoto wa kigogo ni waziri wa wizara x Sasa uyu Dem ni mshikaji wangu kitambo Sana anajua mahusiano yangu namimi nayajua yake
Huyu jamaa ake ambaye ni mtoto wa kigogo anaonekana ana wivu Sana kwa bibie hivyo wamekua wakugombana kila Mara na jamaa hatakagi demu awasiliane au awe na urafiki na mwanaume yeyote yule ilifikia steji mpaka jamaa akaanza kumpiga mrembo sababu tu ya wivu akikuta Dem kawasiliana na mwanaume anamshushia kipigo kikali demu anampenda kweli jamaa ila iyo Hali ikawa inamuumiza Sana demu kaja kwangu akawa ananielezea nikawa ni mtu wa kumfariji na kumtia moyo Sana kipindi anapokua amekosana na jamaa ake
Nakumbuka ilikua Christmas ya mwaka Jana nipo zangu kwangu mida ya saa nne asubuhi mlango ukagongwa kutoka nje nakutana na mrembo sikuwahi kuwaza Kama Kuna siku angekuja magetoni maana mazingira tuliyokua nayo ni ya kuwasiliana au wakati mwingine kupishana njiani na kupeana hi tuu Basi nikamkaribisha akaingia ndani Ile kuketi tuu mrembo akaanza Julia ikabidi nimsogelee nikamuuliza ku namimi Tena mrembo akaniambia ametoka kuonana na mshikaji wake wamegombana Sana kwani kupitia simu ya mshikaji aligundua jamaa alimsaliti usiku wa kuamkia iyo Christmas kwani alivofatilia meseji kwenye simu yake Kuna mwanamke alikua anamshukuru kwa kumpiga shoo nzuri
Kama kawaida yangu Mimi ndio nilikua mfariji wake mkuu nikaanza kumfariji pale bembeleza Sana ili asiendelee kulia kweli nikafanikiwa kumweka sawa baada ya muda demu akaniuliza vipi sikukuu nikamwambia imenikuta vibaya Niko apeche alolo ila Nina kamwaliko nimekapata kwa ndugu hivyo mchana nitahudhuria
Dem akaniambia nimekua mtu wa muhimu Sana kwake Mara nyingi anapopitia changamoto nimekua nae bega kwa bega kumshauri hivyo anataman iyo siku anipikie chakula kizuri na asherehekee namimi pale kwangu nikamwambia Basi sawa Haina tatizo kwa kua nilikua Sina ratiba ya kupika ikabidi niende kwa mtaa kutafuta mazaga ya kupika pika picha linaanza wakati narudi nakuta geto linapigwa mng,ao nakuta mrembo kaingia chumbani kabadilisha nguo kavaa t-shirt yangu na kajifunga taulo langu juu ya suruali aliyokua kaivaa mmh nikajiuliza kimoyo moyo Kuna usalama kweli hapa Leo nikajisemea acha muda utaniambia
Baada ya usafi wa kutosha mrembo kapika kamaliza kabla ya kula mrembo kaomba akaoge nikamruhusu mmh wakati anatoka bafuni alitoka kavaa lile taulo langu tuu mmh nikasema niache ubwege pamoja na kuheshimiana sijui nini acha niruhusu akili za kichwa Cha juu zihamie kichwa chini wakati wa kula nashangaa nalishwa Mara kugusana gusana tukajikuta tupo sita kwa sita ilipigwa show moja kabambe ya kuanzia Christmas mpaka kuamkia boxing day ni mwendo wa kuchakatana aisee yule mrembo alikua mtamu Sana katika Maisha yangu sikuwahi kudate na pisi Kali Kama Ile
Baada ya hapo Sasa mapenzi yakahama kutoka kwa jamaa kuja kwangu Dem akatokea kunipenda sana Yani mpaka inafikia steji ananiambia alikua yupo jela ya mapenzi sasa yupo huru wakati huo ameshamchana mtoto wa waziri wa break up lakini mtoto wa waziri Sasa hivi ndio Kama ameanza kuona umuhimu wa mrembo hivyo anahangaikaa amrudishe ameenda kupekenyua huko mtandaoni kudadisi saivi anadate na nani nikakutwa ni kapuku Mimi akachukua mawasiliano yangu akanipigia akanichimba mkwara mzito Sana niachane na mrembo mi nikamkubalia hata sitakagi bato ambazo naona siziwezi mtihani unakuja mrembo hataki kunielewa kabisa kuhusu kuachana ameniambia ni Bora afe ila sio kuachana namimi nikamwambia tukiendelea kudate uwezekano wa Mimi kupotezwa na wasiojulikna ni mkubwa hanielewi nipo nawaza mpaka muda huu wadau sijui nijipeleke polisi nikaripoti maana nahisi tu kufanyiwa tukio na huyu mwamba maana imefikia mpaka nimemwambia ukweli mi nipo tayari kuachana na binti ila yeye ndo hataki jamaa haelewi ananiambia Mimi ndio nampa kiburi jamaa ananitumia meseji nyingi za vitisho Yan mpaka nimeanza kujuta kulala na yule mrembo wakuu
Shida sana na hizi swaga za itaendeleaAsubuh nimedamka kuelekea katikati ya jiji kuendelea na mishemishe za kujenga taifa mfukon nina pesa ya kitanzania tsh 10000/= nimepanda dalala ambayo ilijaa sana watu asubuh ile wapo na haraka na michakato yao ya kila siku
Basi nikafika ninaposhuka nikatoa ile pesa kwa asubuh ile kondacta alilaumu sana kwann nampa 10k akasema hana chench akaomba kwa abiria bila mafanikio na kituo nilichoshuka hakukua na duka ambalo angeomba chench basi nilishuka na binti mmoja alietupia ushungi yeye alitoa buku hivyo konda alimuomba akate ya watu wawil then sisi tutamalizana bint kakubali ikawa hivyo
Nimebaki na bint pale kituon akaniambia yeye hana pesa nyingine hivyo tutafute chench ili apate 400 yake nikasema sawa hao tukatoka kwenda ng'ambo ya pili ya barabara tunakuta kibanda cha wakala alikuwa anafungua muda ule nikaomba kuweka 2k kwenye simu aliponipa chench nikampa yule dada buku mbili akashukuru tukaanza safari ya kuvuka tena barabara hapo tulipiga story kidogo tukafahamiana akaondoka zake na mm nikaondoka zangu
Wakala ananipigia...
Imepita kama dk 20 tokea tuachane naona wakala amenichek kuniambia nimeacha funguo namba zangu aliziona nadhan kwny msg za pesa
_ yule dada alisahau funguo za nyuban kwake pale kwa wakala basi mida mida katika mishemishe nikajikuta nipo karibu na wakala nikaenda story mbili tatu akanipafunguo kwa vile bint aliniambia anapofanyia kaz nikaona nimpitishie ... kutokea pale mambo yakawa mengi nikasahau kupitisha funguo za watu kidogo jion hii hapa
Niliona namba ngeni imepiga kupokea akanipa utambulisho na kuniambia amepoteza funguo na amepita sehem zote alizopita asubuh hadi kwa wakala na kumuambia nimezichukua na namba alipewa na wakala. Niliomba msamaha kwa kutompitishia tukakubaliana tukutane sehem nimpe funguo yake
Huo ndo ulikuwa mwanzo ya mawasiliano yetu tulizoeana kidogo ikawa kila asubuh ananichek ili nimpitie tuondoke wote .... itaendelea
Yoooooo majukumu yalisababisha nisimalize kisa changuAsubuh nimedamka kuelekea katikati ya jiji kuendelea na mishemishe za kujenga taifa mfukon nina pesa ya kitanzania tsh 10000/= nimepanda dalala ambayo ilijaa sana watu asubuh ile wapo na haraka na michakato yao ya kila siku
Basi nikafika ninaposhuka nikatoa ile pesa kwa asubuh ile kondacta alilaumu sana kwann nampa 10k akasema hana chench akaomba kwa abiria bila mafanikio na kituo nilichoshuka hakukua na duka ambalo angeomba chench basi nilishuka na binti mmoja alietupia ushungi yeye alitoa buku hivyo konda alimuomba akate ya watu wawil then sisi tutamalizana bint kakubali ikawa hivyo
Nimebaki na bint pale kituon akaniambia yeye hana pesa nyingine hivyo tutafute chench ili apate 400 yake nikasema sawa hao tukatoka kwenda ng'ambo ya pili ya barabara tunakuta kibanda cha wakala alikuwa anafungua muda ule nikaomba kuweka 2k kwenye simu aliponipa chench nikampa yule dada buku mbili akashukuru tukaanza safari ya kuvuka tena barabara hapo tulipiga story kidogo tukafahamiana akaondoka zake na mm nikaondoka zangu
Wakala ananipigia...
Imepita kama dk 20 tokea tuachane naona wakala amenichek kuniambia nimeacha funguo namba zangu aliziona nadhan kwny msg za pesa
_ yule dada alisahau funguo za nyuban kwake pale kwa wakala basi mida mida katika mishemishe nikajikuta nipo karibu na wakala nikaenda story mbili tatu akanipafunguo kwa vile bint aliniambia anapofanyia kaz nikaona nimpitishie ... kutokea pale mambo yakawa mengi nikasahau kupitisha funguo za watu kidogo jion hii hapa
Niliona namba ngeni imepiga kupokea akanipa utambulisho na kuniambia amepoteza funguo na amepita sehem zote alizopita asubuh hadi kwa wakala na kumuambia nimezichukua na namba alipewa na wakala. Niliomba msamaha kwa kutompitishia tukakubaliana tukutane sehem nimpe funguo yake
Huo ndo ulikuwa mwanzo ya mawasiliano yetu tulizoeana kidogo ikawa kila asubuh ananichek ili nimpitie tuondoke wote .... itaendelea
Hata sihitaji yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najua, mie nakuonesha zangu tu
Yeaaah mie mngoni puree wa songea, na peramiho nimeishi sana, hadi baadhi ya sakramenti nimepata ktk kanisa la peramiho pale.Yes napajua, wewe unatokea songea
Mademu wanaotokea Songea ni mafundi sana kwny sexyYeaaah mie mngoni puree wa songea, na peramiho nimeishi sana, hadi baadhi ya sakramenti nimepata ktk kanisa la peramiho pale.
EwaaaNenda polisi. Endelea na mpenzi wako
Chai iko wapi hapoBonge la chai