Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,093
Kula kimasihara kumenigharimu
Hapa kitaa Kuna Dem mmoja mkalii Sana amekamilika kila idara anadeti na mtoto wa kigogo ni waziri wa wizara x Sasa uyu Dem ni mshikaji wangu kitambo Sana anajua mahusiano yangu namimi nayajua yake
Huyu jamaa ake ambaye ni mtoto wa kigogo anaonekana ana wivu Sana kwa bibie hivyo wamekua wakugombana kila Mara na jamaa hatakagi demu awasiliane au awe na urafiki na mwanaume yeyote yule ilifikia steji mpaka jamaa akaanza kumpiga mrembo sababu tu ya wivu akikuta Dem kawasiliana na mwanaume anamshushia kipigo kikali demu anampenda kweli jamaa ila iyo Hali ikawa inamuumiza Sana demu kaja kwangu akawa ananielezea nikawa ni mtu wa kumfariji na kumtia moyo Sana kipindi anapokua amekosana na jamaa ake
Nakumbuka ilikua Christmas ya mwaka Jana nipo zangu kwangu mida ya saa nne asubuhi mlango ukagongwa kutoka nje nakutana na mrembo sikuwahi kuwaza Kama Kuna siku angekuja magetoni maana mazingira tuliyokua nayo ni ya kuwasiliana au wakati mwingine kupishana njiani na kupeana hi tuu Basi nikamkaribisha akaingia ndani Ile kuketi tuu mrembo akaanza Julia ikabidi nimsogelee nikamuuliza ku namimi Tena mrembo akaniambia ametoka kuonana na mshikaji wake wamegombana Sana kwani kupitia simu ya mshikaji aligundua jamaa alimsaliti usiku wa kuamkia iyo Christmas kwani alivofatilia meseji kwenye simu yake Kuna mwanamke alikua anamshukuru kwa kumpiga shoo nzuri
Kama kawaida yangu Mimi ndio nilikua mfariji wake mkuu nikaanza kumfariji pale bembeleza Sana ili asiendelee kulia kweli nikafanikiwa kumweka sawa baada ya muda demu akaniuliza vipi sikukuu nikamwambia imenikuta vibaya Niko apeche alolo ila Nina kamwaliko nimekapata kwa ndugu hivyo mchana nitahudhuria
Dem akaniambia nimekua mtu wa muhimu Sana kwake Mara nyingi anapopitia changamoto nimekua nae bega kwa bega kumshauri hivyo anataman iyo siku anipikie chakula kizuri na asherehekee namimi pale kwangu nikamwambia Basi sawa Haina tatizo kwa kua nilikua Sina ratiba ya kupika ikabidi niende kwa mtaa kutafuta mazaga ya kupika pika picha linaanza wakati narudi nakuta geto linapigwa mng,ao nakuta mrembo kaingia chumbani kabadilisha nguo kavaa t-shirt yangu na kajifunga taulo langu juu ya suruali aliyokua kaivaa mmh nikajiuliza kimoyo moyo Kuna usalama kweli hapa Leo nikajisemea acha muda utaniambia
Baada ya usafi wa kutosha mrembo kapika kamaliza kabla ya kula mrembo kaomba akaoge nikamruhusu mmh wakati anatoka bafuni alitoka kavaa lile taulo langu tuu mmh nikasema niache ubwege pamoja na kuheshimiana sijui nini acha niruhusu akili za kichwa Cha juu zihamie kichwa chini wakati wa kula nashangaa nalishwa Mara kugusana gusana tukajikuta tupo sita kwa sita ilipigwa show moja kabambe ya kuanzia Christmas mpaka kuamkia boxing day ni mwendo wa kuchakatana aisee yule mrembo alikua mtamu Sana katika Maisha yangu sikuwahi kudate na pisi Kali Kama Ile
Baada ya hapo Sasa mapenzi yakahama kutoka kwa jamaa kuja kwangu Dem akatokea kunipenda sana Yani mpaka inafikia steji ananiambia alikua yupo jela ya mapenzi sasa yupo huru wakati huo ameshamchana mtoto wa waziri wa break up lakini mtoto wa waziri Sasa hivi ndio Kama ameanza kuona umuhimu wa mrembo hivyo anahangaikaa amrudishe ameenda kupekenyua huko mtandaoni kudadisi saivi anadate na nani nikakutwa ni kapuku Mimi akachukua mawasiliano yangu akanipigia akanichimba mkwara mzito Sana niachane na mrembo mi nikamkubalia hata sitakagi bato ambazo naona siziwezi mtihani unakuja mrembo hataki kunielewa kabisa kuhusu kuachana ameniambia ni Bora afe ila sio kuachana namimi nikamwambia tukiendelea kudate uwezekano wa Mimi kupotezwa na wasiojulikna ni mkubwa hanielewi nipo nawaza mpaka muda huu wadau sijui nijipeleke polisi nikaripoti maana nahisi tu kufanyiwa tukio na huyu mwamba maana imefikia mpaka nimemwambia ukweli mi nipo tayari kuachana na binti ila yeye ndo hataki jamaa haelewi ananiambia Mimi ndio nampa kiburi jamaa ananitumia meseji nyingi za vitisho Yan mpaka nimeanza kujuta kulala na yule mrembo wakuu
Huyu mwanamke ulimla kwa sababu alitaka kulipa kisasi kwa mtu wake. Na alitafuta nani wa kumla akaona wewe kwenye list ndio una score mingi akakuletea