Ulishawahi jiuliza ni kwanini wakristo waliokoka wengi wana hali ngumu za kiuchumi japokua biblia imewahidi baraka nyingi sana

Kwa sababu wanaamini Mungu wakati Mungu hayupo.

Pia, wanaambiwa hawawezi kumtumikia Mungu na pesa, hivyo wakiamua kumtumikia Mungu wanaacha kufutilia sana mambo ya pesa.
 
Kwa sababu wanaamini Mungu wakati Mungu hayupo.

Pia, wanaambiwa hawawezi kumtumikia Mungu na pesa, hivyo wakiamua kumtumikia Mungu wanaacha kufutilia sana mambo ya pesa.
Kila mtu ana uhuru wa kuamini anachoamini
Kwako wewe Hunaamini hakuna Mungu una-uhuru huo

Sisi wengine tunaamini Mungu yupo kwa sababu tunatumia uhuru wetu
 
Sa
Sawa Mtumishi,ngoja tuendelee kujitafuta
 
Kila mtu ana uhuru wa kuamini anachoamini
Kwako wewe Hunaamini hakuna Mungu una-uhuru huo

Sisi wengine tunaamini Mungu yupo kwa sababu tunatumia uhuru wetu
Kuamini una uhuru wa kuamini unachotaka.

Unaruhusiwa kuamini kwamba ukipanda juu ghorofa ya kumi, ukajirusha, hutaumia na utapaa na kuruka kama ndege.

Lakini, ukiamini hilo, hiyo imani yako haifanyi hicho unachoamini kiwe kweli.

Kwa hivyo, imani tu haina maana, kwa sababu unaweza kuamini hata uongo.

Jambo muhimu ni hili.

Unajuaje unachoamini ni ukweli na si uongo?

Hapa mimi nipo interested na ukweli, si imani tu.

Kama uko interested na imani tu, imani ni jambo la binafsi, wala huhitaji kujadiliana na mtu hapa JF kuhusu imani yako.

Ni imani yako, ni haki yako ya kikatiba, ni haki yako ya kibinadamu, hata mimi nisiyeamini nitatetea wewe kuwa na haki yako ya kuamini unavyotaka, unajadiliana na mtu kuhusu imani yako ili iweje?

Ila, ukiwa unatafuta ukweli, hapo tunaweza kujadiliana ili kuhakiki ukweli uko wapi.
 
Mfano nachoamini ni uongo wewe kwanini unateseka
Yaani kwanini unaumia au kukereka kwa maisha ya mtu aliyechagua na hayana kero yeyote kwako

Mimi kuamini kuna Mungu hakukupunguzii au kukuongezea chochote kwenye maisha yako

Siwezi poteza mda kubishana na mtu masuala ya Mungu kuwepo au kutokuwepo sina huo mda wa kupoteza
 
Kwa sababu wanaamini Mungu wakati Mungu hayupo.

Pia, wanaambiwa hawawezi kumtumikia Mungu na pesa, hivyo wakiamua kumtumikia Mungu wanaacha kufutilia sana mambo ya pesa.
Huchoki tu? Huna hoja nyingine tofauti na hiyo? Tangu umeanza kuandika hayo ya kumkataa Mungu umefaidika na nini?
 
Umemjibu vizuri kabisa bwege huyo
 
Sio kwamba anaamin hakuna mungu ,ni kweli hayupo kama yupo toa ushahidi , kwanza kama kwel angekuwepo kusingekua na hata huu mjadala.
Uzi huu hauzungumzii kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu

Mnaumia nini kwani watu wakiwa bize na Mungu?
 
Kwanza kabisa, sijateseka chochote wewe kuamini uongo.

Ndiyo maana nimekuambia kwamba, hata kama mimi siamini unachoamini, nitatetea haki yako wewe kuamini unachoamini.

Sasa, kama mimi nateseka wewe kuamini unachoamini, itakuwaje niseme kwamba nitatetea haki yako ya kuamini unachoamini?

Nisichotaka ni wewe kusambaza imani yako ya uongo na kuisema hiyo kuwa ni ukweli.

Kwa sababu, kusambaza hiyo imani kama ukweli kutaweza kuniathiri hata mimi.

Ngoja nikuoe mfano ili kurahisisha kunielewa.

Tuseme wewe una imani potofu kwamba kula mavi ya mtu ni lishe nzuri, wakati tunajua kula mavi kunaleta magonjwa.

Hiyo imani yako mimi nasema sina tatizo nayo kama utajifungia kwako, ule mavi yako.

Ukishaanza kusambaza imani yako kwa wengine, ukatoka kwako nankusema kula mavi ni lishe bira, watu wale mavi, hapo unaeneza imani itakayotuletea magonjwa katika jamii, itakayotuletea kipindupindu na magonjwa mengi katika jamii, na magonjwa haya yatatapakaa.

Kwa hivyo, ni wajibu wangu kupinga imani yako potofu ukiileta katika jamii kuieneza, hata kama sina tatizo ikiwa wewe utaamini uongo mwenyewe bila kuueneza.

Una haki ya kuamini unachotaka, mimi wala sina shida na imani yako. In fact mtu akikuingilia kwenye imani yako, nitahakikisha natetea haki yako ya kuamini unachotaka.

Lakini, ukija kwenye public spehere kama JF ukahubiri imani yako, au ukawasil8ana nasi kivyovyote na kutaja imani yako, umeshajiondolea kinga ya kutetewa tu kwenye imani, umeingia katika mjadala wa kuhakiki kama imani yako ni potofu ama la.

Ili usituletee imani potofu itakayotusababishia matatizo katika jamii.
 
Kuomba pekee hakuta kupa mali unazotaka fanya kazi. Biblia imesema ombeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtapata. Bisheni nanyi mtafunguliwa. Mwingine asie fanya kazi na asile. Fanya kazi hakuna muujiza wa kuuokota hela
 
Je Makasisi na wale wengine wa madhabahuni wanapambana wapi?
 
wanawachangia wachungaji wao wajenge majumba ya kifahari na magari alafu wao wanaambiwa watasaidiwa na MUNGU
 
Je Makasisi na wale wengine wa madhabahuni wanapambana wapi?
Waulize walipitia mangapi mpaka wakawa makasisi, hilo 1, la pili usifikiri wale hawakutani na changamoto zozote!! Wana matatizo pengine makubwa kuliko hata yako ila hawayapi kipaumbele hayo matatizo kuzidi Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…