huhuhu ustadhi atakuwa amekomenti bila kusoma kontenti.ustadhi hili mbona kama tango pori
Niliolewa na miaka36
Hili ni swali la kiboya sana kuuliza wanaume wenzako?!Inakuaje mwanaume unaoa kabla ya kufikisha walao 30yrz?
I really do not understand kabisa!
Love is overrated!
Nilidhani wewe ni keNilioa nikiwa na miaka 24!
Nilidhani wewe ni ke
koh koh koh koh
Mkuu naomba dondoo kidogo isee kipi kilifata baada ya mchumba wako kupata mimba? Na kwa nn ilikuchukua miaka 5 baada ya kupata mtoto had kuoa? Je upande wa mchumba wako walkuwa na msimamo gan kabla ya kumuoa binti yao? Ktk huo muda kabla ya kuoa mlkaa pamoja na mchumba wako? Vip vitu kama mahali na utambulisho? Mwisho ww ni Mkristo, Mwislam au Imani gan?...samahan mkuu kwa maswali mengi ila majibu yako yatanifaa sananimeoa nikiwa 28, mtoto tulipata nikuwa 23
Hapo haubabaishwi na maisha unajua tu ni care ndoa basi, ndoa mungu anapanga kama hujampata huwezi lazimishaNiliolewa na miaka36
Umefika mingap au bado kabisa HahahaNiwape hongera wale wote mlio kwenye ndoa takribani 5+ nawapa saluti
Danpol Liked thisIkifika 25 ntaolewa
Hongera sana21 /02/1981 Nimeoa Nikiwa Na Miaka Hiyo 21 Na Ndoa Ikafungwa 21 Mwezi Wa 02/1981 Mpaka Leo Hii Tunakula Mema Ya Ndoa Na Bibi Yenu