Uliolewa/ulioa ukiwa na miaka mingapi?

Uliolewa/ulioa ukiwa na miaka mingapi?

Natamani sana nioe, niwe na watoto nafikiria jinsi gani nitakavyo tumia mda wangu na hela kuwekeza kwa watoto lazma wapate elimu bora yeye ubora wa kimataifa...

siyo unawah kuwa na watoto halafu unakuja kuwatelekeza
Jina lenyewe jambazi,,,nina mashaka na hizo pesa utakazo zipata.
 
hahahha Yani JF bhana hutakiwi kuwa serious kabiiiisa , Vinginevyo utajikuta wewe ni wa mwisho kila kitu yani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom