Ulioa ukiwa na miaka Mingapi?

Ulioa ukiwa na miaka Mingapi?

Iwe funzo kwa wanawake njoo tuishi kwanza then ndoa usiwe na papara.

Haya Kelsea njoo tuishi pamoja ndoa itakuja tuu
Nyie nanyi hamueleweki. Mnasema siku hizi hamuoi sababu tunajirahisisha kuhamia majumbani mwenu kabla ya ndoa lakini huku mnataka kuhalalisha kitu ambacho mmekuwa mnakipinga wenyewe. Tuwaeleweje???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom