Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
sijaoa bado bana...huoni ningali bado kwenye michakato ya kutafuta wa kugombana nae kwenye nyuziNa wewe umeoa na miaka mingapi?
sijaoa bado bana...huoni ningali bado kwenye michakato ya kutafuta wa kugombana nae kwenye nyuziNa wewe umeoa na miaka mingapi?
😀😀😀Nilivyoona waloolewa na 30yrs nikasema kumbe muda upo kidogo miaka michache hii naweza kukutana na my mr right mara ukaja wewe na 25yrs yako ukanifanya nijione nishachelewa![]()
hahas swali lilikuwa ni LA NN lile mkuuMsisitizo uko wapi mbona mimi sijauona?
Anza na mimi basisijaoa bado bana...huoni ningali bado kwenye michakato ya kutafuta wa kugombana nae kwenye nyuzi
Kweli. Wengine 35yrs.😀😀😀
bahati ya mtu usiilalie milango wazi
Nilivyoona waloolewa na 30yrs nikasema kumbe muda upo kidogo miaka michache hii naweza kukutana na my mr right mara ukaja wewe na 25yrs yako ukanifanya nijione nishachelewa![]()
Basi ndo niko umri wa kuwaza ndoa sasa. Ngoja nireview vizuri application ninazozipata.hahhaa yaan ktk watu amabao hawajawah kuwaza kuolewa ni m jaman!nilikua bata gelo hatari !msukuma yule ndo katoka shy akawa anataman hatari !shoga kula ujana !olewa atleast na 28 !au ht 30 !
hhahaha kila la heri..Basi ndo niko umri wa kuwaza ndoa sasa. Ngoja nireview vizuri application ninazozipata.
Nilivyoona waloolewa na 30yrs nikasema kumbe muda upo kidogo miaka michache hii naweza kukutana na my mr right mara ukaja wewe na 25yrs yako ukanifanya nijione nishachelewa![]()

Amen mamahhahaha kila la heri..
HongeraNilikua na miaka 24 Ss namiaka miwili ktk ndoa yangu na mwana mmoja
aweza olewa mwenzio akiwa na 25 wewe ukaolewa 35 ila ya kwako ikadumu mpaka kuzikana wakati ya mwenzio ikaishiwa pumzi njianiKweli. Wengine 35yrs.
duhnilioa na;;;22
🙂🙂🙂Basi ndo niko umri wa kuwaza ndoa sasa. Ngoja nireview vizuri application ninazozipata.
wala usijali..Anza na mimi basi
shda nn
Nina rafiki aliolewa wakati tuko chuo akiwa na 23yrs. Ndoa ilidumu kwa miaka miwili tu.aweza olewa mwenzio akiwa na 25 wewe ukaolewa 35 ila ya kwako ikadumu mpaka kuzikana wakati ya mwenzio ikaishiwa pumzi njiani