Duh uliwah ila hongera mkuu,mpo wote hadi leo?Nilioa nikiwa na miaka 24!
Duh uliwah ila hongera mkuu,mpo wote hadi leo?
Doh pole, mwanaume akioa mapema naona kama kulast inakua ngum kidogo.Yeah niliwahi kiasi.
Hatupo pamoja tena.
Wote tulikuwa na umri sawa.
kila la kheri mkuuSjaoa
Itanichukua miaka 3 kutoka leo kuoa
Coming soon? [emoji15] [emoji15] mbona muolewaji sina habari?I will marry when i want
Coming soon
[emoji23][emoji23][emoji23]ustadhi hili mbona kama tango pori
Duh uliwahi,upo nae hadi leo?Nilioa nikiwa 26
Nilioa baada ya jando nikiwa na miaka 14Uliolewa au kuoa ukiwa na miaka mingapi?
Ilikuchukua muda gani kuoa ama kuolewa?
[emoji23][emoji23][emoji23]wewe mzee enzi zenu mkitoka jando tu mnapatiwa na mkeNilioa baada ya jando nikiwa na miaka 14
[emoji1]tunajikadiriaHalafu hili swali mbona linaulizwa sana humu?
Darasa la Kwanza nimeanza nikiwa na 15 huku nina mke nyumbani.[emoji23][emoji23][emoji23]wewe mzee enzi zenu mkitoka jando tu mnapatiwa na mke