- Thread starter
- #121
hongeraNilikua na miaka 24 Ss namiaka miwili ktk ndoa yangu na mwana mmoja
hongeraNilikua na miaka 24 Ss namiaka miwili ktk ndoa yangu na mwana mmoja
du 22? hongera thoughnilioa na;;;22 miaka 6 ya ndoa mtoto1
Wanawake35 mwanamke au mwanaume?
[emoji23][emoji23][emoji23]hii tuiite ndoa za utotoni
we babu wewe[emoji28]Hapa nimekaa, kwa umakini...... nasoma comments za waoaji na waolewaji...tehteehh
khaaa....basi kumbe mda bado upo sana ngoja nile ujana[emoji28]....sema wa kuolewa kwa miaka ya 30 something ni wachache sanaWanawake
Yeah sio wengikhaaa....basi kumbe mda bado upo sana ngoja nile ujana[emoji28]....sema wa kuolewa kwa miaka ya 30 something ni wachache sana
[emoji23][emoji23][emoji23]hii tuiite ndoa za utotoni
kweli.Mapenzi ya hivyo raha sana.
umebaki muda gani?Ikifika 25 ntaolewa
Ikifika 25 ntaolewa
Sanaaakweli.
tatizo watu kama hawa mmoja akitangulia huyo aliyebakia anakuwa ktk hali mbaya sana
Nawasalimia tu.....ndio nimejituliza kwake sasa..... na wewe ukaushe sasa sio upeleke ushilawadu kule usiku wa manane
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nitajitahidi kunyamaza japo ni ngumu sana