MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,082
coughing?koh koh koh koh
coughing?koh koh koh koh
no, just nashaangaring gap ulilonipitaringcoughing?
hhahaah ben 10 bwana!nytsno, just nashaangaring gap ulilonipitaring
Nakwambia walio wahi kuolewa ndoa nyingi chali wamezeeka hao mpaka hurumaNina rafiki aliolewa wakati tuko chuo akiwa na 23yrs. Ndoa ilidumu kwa miaka miwili tu.
Mmmh
Hiyo kweli ukiwakuta waliowahi mpaka mapengo jamani, kuna dada kaolewa na 39yrs tena kanisani na ana mtoto alimpa alimkimbia sasa,kapata wake unazani huyo atachezea ndoa?aweza olewa mwenzio akiwa na 25 wewe ukaolewa 35 ila ya kwako ikadumu mpaka kuzikana wakati ya mwenzio ikaishiwa pumzi njiani
Naona mnanisema eeehNYBRGHT kanitosa huwezi amini...tangu aje I3D ndio kabisaaa

Mwanamke mmbea wewePole sana shem, kisichoriziki hakiliki. Jisogeze kwa Khantwe upoze machungu.![]()
![]()
![]()
hahaha huyo hawezi aisee..Hiyo kweli ukiwakuta waliowahi mpaka mapengo jamani, kuna dada kaolewa na 39yrs tena kanisani na ana mtoto alimpa alimkimbia sasa,kapata wake unazani huyo atachezea ndoa?
Ahahahaaaaaandio nimejituliza kwake sasa..... na wewe ukaushe sasa sio upeleke ushilawadu kule usiku wa manane
Hatujambo best! KaribuNawasalimia tu.....
Ney usingekuwa umeniita mmbea, ningetia neno hapa lakini sasaNikifika 35 ntaoa
Mwanamke mmbea wewe
Hee kumbe ndio hunioi tena jamaniNikifika 35 ntaoa
Nafuta kauli rafiki yangu kipenziNey usingekuwa umeniita mmbea, ningetia neno hapa lakini sasa![]()
![]()
![]()
Hee kumbe ndio hunioi tena jamani![]()
![]()
Sijapenda hata
sitaki ushahidi mieUshachelewa my dear!Nafuta kauli rafiki yangu kipenzi
Kakomaa kweli wewe kukaa benchi miaka kibao si mchezohahaha huyo hawezi aisee..
kashakomaa akili.
Unapenda kunisumbua hivi hujui kama sisi ni ndugu eehUshachelewa my dear!