Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Nitakwambia PIEMU sio hapaSasa ndio unamaanishaje babe mbona unanichanganya
Nitakwambia PIEMU sio hapaSasa ndio unamaanishaje babe mbona unanichanganya
kwanini umesisitizia hapo kwenye umri sawa ..una hisi hiyo ndio sababu iliyopelekea ndoa yenu kusambaratika !!?Yeah niliwahi kiasi.
Hatupo pamoja tena.
Wote tulikuwa na umri sawa.
Pole sana shem, kisichoriziki hakiliki. Jisogeze kwa Khantwe upoze machungu.NYBRGHT kanitosa huwezi amini...tangu aje I3D ndio kabisaaa

hahaaa linakukera eehhhHalafu hili swali mbona linaulizwa sana humu?
hahaaSasa hapa Dogo anatoka wapi
hapo kwenye line ya mwisho ndio penye kizaaa zaaNatamani sana nioe, niwe na watoto nafikiria jinsi gani nitakavyo tumia mda wangu na hela kuwekeza kwa watoto lazma wapate elimu bora yeye ubora wa kimataifa...
siyo unawah kuwa na watoto halafu unakuja kuwatelekeza
ndio nimejituliza kwake sasa..... na wewe ukaushe sasa sio upeleke ushilawadu kule usiku wa mananePole sana shem, kisichoriziki hakiliki. Jisogeze kwa Khantwe upoze machungu.![]()
![]()
![]()
ndio nimejituliza kwake sasa..... na wewe ukaushe sasa sio upeleke ushilawadu kule usiku wa manane
nitajitahidi kunyamaza japo ni ngumu sana
How love is overrated?Inakuaje mwanaume unaoa kabla ya kufikisha walao 30yrz?
I really do not understand kabisa!
Love is overrated!
ohooo shem taafaadhali![]()
![]()
nitajitahidi kunyamaza japo ni ngumu sana
Njoo basi uniambie sio kwa kuniweka roho juu hukuNitakwambia PIEMU sio hapa
Msisitizo uko wapi mbona mimi sijauona?kwanini umesisitizia hapo kwenye umri sawa ..una hisi hiyo ndio sababu iliyopelekea ndoa yenu kusambaratika !!?
nimekutext muda mrefu hivyoNjoo basi uniambie sio kwa kuniweka roho juu huku
facts!Inakuaje mwanaume unaoa kabla ya kufikisha walao 30yrz?
I really do not understand kabisa!
Love is overrated!
Na wewe umeoa na miaka mingapi?facts!
Nilivyoona waloolewa na 30yrs nikasema kumbe muda upo kidogo miaka michache hii naweza kukutana na my mr right mara ukaja wewe na 25yrs yako ukanifanya nijione nishachelewa



