Uliolewa/ulioa ukiwa na miaka mingapi?

Uliolewa/ulioa ukiwa na miaka mingapi?

Nina rafiki aliolewa wakati tuko chuo akiwa na 23yrs. Ndoa ilidumu kwa miaka miwili tu.
unaona!

kuna jamaa tulisoma wote sekondari mi nikiwa form nyoya yeye akiwa 4...alikuwa na manzi yake darasa moja.
walikuwa wana date tangu enzi za kibabababa mpaka wakamaliza na vyuo wakaja kuoana! mpaka leo wangali pamoja. fun fact;wote walikuwa each others first...so wametoana na sealed wenyewe na mpaka leo wanadunda
 
23yrs kitu ndani ya nyumba, mwaka mmoja baadaye chaliii!! nikavuta miaka miwili nikaweka ndani kitu kingine mpaka kesho naendelea kupambana na hali yangu.
😀😀😀😀
aisee pole sana kiongozi
 
unaona!

kuna jamaa tulisoma wote sekondari mi nikiwa form nyoya yeye akiwa 4...alikuwa na manzi yake darasa moja.
walikuwa wana date tangu enzi za kibabababa mpaka wakamaliza na vyuo wakaja kuoana! mpaka leo wangali pamoja. fun fact;wote walikuwa each others first...so wametoana na sealed wenyewe na mpaka leo wanadunda
Mapenzi ya hivyo raha sana.
 
Nilivyoona waloolewa na 30yrs nikasema kumbe muda upo kidogo miaka michache hii naweza kukutana na my mr right mara ukaja wewe na 25yrs yako ukanifanya nijione nishachelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom