Uliolewa/ulioa ukiwa na miaka mingapi?

Uliolewa/ulioa ukiwa na miaka mingapi?

How love is overrated?


Mkuu love ni feeling,na feeling inaletwa na sababu,hiyo sababu ikiyumba na love inapotea...

Mahali popote penye sababu hua ni temporary tu...


Love ni feeling very misleading maana ni very temporary...Mfano mdogo tu,dem uliokua unawapenda sana ukiwa primary au sekondari leo u will wonder how did that happen.

Nadhani ndoa iwe ni union kati ya two plutonic friendz waliokubaliana kukaa pamoja tu na love iwe ni extra product hata ikipotea haina noma,watu mnakua mechanically!

Love ni misleading.I dont trust that feeling,it is a lie..your body is lying to u
 
Hili ni swali la kiboya sana kuuliza wanaume wenzako?!


Wewe una moral authority gani ya kusemea wanaume wote eti ni swali la kiboya?

Sema ni la kiboya kwako tu,usisemee wengine ni dalili mbaya sana ya usnitch!

Sema kimantiki ni la kiboya kivipi sio unalalamika kama mwanamke!
 
HONGERENI MLIO OA NA KUOLEWA.


TUOMBEENI NASI TUWAPATE UBAVU SAHIHI WA NDOA.

-marriage more than collateral pledge for the rest of lives under someone control.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom