Sidhanihivi wenzetu huko mbele wanamaind ndoa ka sisi huku?
Mipango ya MunguMbona umechelewa sanaaaaa
SAWA BOSSMkuu love ni feeling,na feeling inaletwa na sababu,hiyo sababu ikiyumba na love inapotea...
Mahali popote penye sababu hua ni temporary tu...
Love ni feeling very misleading maana ni very temporary...Mfano mdogo tu,dem uliokua unawapenda sana ukiwa primary au sekondari leo u will wonder how did that happen.
Nadhani ndoa iwe ni union kati ya two plutonic friendz waliokubaliana kukaa pamoja tu na love iwe ni extra product hata ikipotea haina noma,watu mnakua mechanically!
Love ni misleading.I dont trust that feeling,it is a lie..your body is lying to u
Una ahadi na Mungu ? Kua Utafika Miaka Mitatu ijayo ?Sjaoa
Itanichukua miaka 3 kutoka leo kuoa
Hatujambo mambo baby shem?Nawasalimia tu.....


mmmh umejuajeNaona mnanisema eeeh![]()
oyooooooooooooHee kumbe ndio hunioi tena jamani![]()
Sijapenda hata
Kwa Neybright umeshika pembe tu au ndio wife?Nikifika 35 ntaoa
Ukirudi nyumbani unamfundisha mama maana atakua hajasoma.Darasa la Kwanza nimeanza nikiwa na 15 huku nina mke nyumbani.
21 /02/1981 Nimeoa Nikiwa Na Miaka Hiyo 21 Na Ndoa Ikafungwa 21 Mwezi Wa 02/1981 Mpaka Leo Hii Tunakula Mema Ya Ndoa Na Bibi Yenu
namfundisha hesabu za expansion joints. Kupanua mabano Na kuingiza namba za watotoUkirudi nyumbani unamfundisha mama maana atakua hajasoma.
Mh!haya bwana.namfundisha hesabu za expansion joints. Kupanua mabano Na kuingiza namba za watoto
Bado dogo sana kumbeSiyo mingi sana kuanzia 11-9
Kati ya namba hzo![]()