- Thread starter
- #41
Mwenzangu we sikupi...hata nisikudanganyeNawaona nawaona!![]()
![]()
![]()
Msisahau kunipa kadi, nije kucheza kwaito

Jamani jamani....una nini na mimi lakini? Kosa gani nililokutenda hasa?Mwenzangu we sikupi...hata nisikudanganye![]()

ha ha haaaaI will marry when i want
Coming soon
Sasahivi itafika page ya 30..aggie bwana
Jamani jamani....una nini na mimi lakini? Kosa gani nililokutenda hasa?
Kadi unipa/usinipe tutakutana ukumbini![]()
![]()
![]()
ndio maana sikupi maana najua una fujo hata nisipokupa utakuja sasa ya nini nijisumbueWala sijaufaidi kabisaaahongera....kwahiyo ujana uliufaidiiii
![]()
ndio maana sikupi maana najua una fujo hata nisipokupa utakuja sasa ya nini nijisumbue
na nitachezaje mbele ya bwana harusi....mpaka utakoma kuninyima kadi.
We cheza tu kwa raha zako ila nitatunga stori ya kumsimulia bwana arusi...maskini huyu dada alikuwaga mtu mzito tu alipata kichaa akawa anaokota makopo kabisa hivi hapo kapata nafuu ndio maana ndio maana anaweza hata kutulia akarembwa.. Mungu amponye jamani arudi katika hali yake ya kawaida![]()
![]()
na nitachezaje mbele ya bwana harusi....mpaka utakoma kuninyima kadi.
![]()
umeanza na wewe sasaNawaona nawaona!![]()
![]()
![]()
Msisahau kunipa kadi, nije kucheza kwaito
Sasa ndio unamaanishaje babe mbona unanichanganyaWe shangaa tu
Baby shem...usisahau kunipa kadi ya mwaliko.umeanza na wewe sasa

Mpaka leo miaka mingapi?Nilioa nikiwa na miaka 25 mpaka niko nae mke wangu
Unataka tu kumsingizia mhutu ili usimuoe dada wa watu. Kwahiyo mhutu asipoondoka huoi?Tukifanikiwa kumuondoa mhutu 2023-25 Insha alaah!!
NYBRGHT kanitosa huwezi amini...tangu aje I3D ndio kabisaaaBaby shem...usisahau kunipa kadi ya mwaliko.![]()