Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,217
- 27,049
Huyo mchimbachumvi haishiwi vituko .Mlinganisho mzuri ungeweka na lile picha la Magufuli na mabunduki yake akitokea kwenye uwanja wa Nyamagana; akienda kununua karanga za kuchemsha mitaani.
Unajitahidi sana kusafisha yasiyoweza kusafishika.
Itabidi tu wakati fulani ukubali mtu wako alikuwa na ulimbukeni, kama wako ulivyo.
Kuna mtu ameliibia Taifa hili kama Magufuli???Subiri muda utaongea....Tunaanda ma-FileUlinzi wa JPM uliimarika baada ya kuanza kuwatia adabu majizi. Kumbuka siku moja tu baada ya kuapishwa alitembea kwa miguu toka Ikulu Magogoni mpaka wizara ya fedha.
Ni suala la muda tu.
mtakuja kuutamani wakati ni too late. nchi hii ina mabandidu wengi sana wapo kwa ajili ya kutaka kuitafuna nchi tena mbaya zaidi wengine ni viongozi waandamizi. ukiwa na rais legelege ujue mmekwisha.Mpaka sasa hatujaona Ulinzi kama wa Magufuli
Mama aongezewe ulinzi kwakweli,bado tunampenda atuvushe hadi 2040,
Unafanya masikhara Na umbali wa Dodoma - Dar kwa gari. Na ni juzi tu ametoka kuzunguka Na mwili wa marehemu sehemu kibaoGharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani [emoji120][emoji120][emoji120]
Hahahaha ntafurahi, kuna watu wametutesa sana miaka 6 hii.mtaweuka mwaka huu watani zangu wasukuma, mkubari tu zama zenu zishaisha, Sikh ya j4 Dotto jems nae byebye, nafasi yake anapewa msiedhania
Kila Raisi hupendwa kwa nafasi yake ila nyie follower wajiwe mna force Mambo ya mama yawe sawa as if watu walivompokea vizuri mnataka ulinganisho Mara baadae watu wataanza kumshambulia na blah blah kibao.Hakuna rais alipendwa nchi hii kabla ya kuwa madarakani kama JK
Ukisema hatafeli unakuwa UNREALISTIC AND GULLIBLE
Ni binadamu huyu ni malaika?? mbona umejivika mzigo mkubwa sana?
Muhammad na Yes bado walilaumiwa na kuchukiwa sio?
sasa huyu unaanzaje kuongea statement za kitoto? alikuwa makamu YES, yuko CCM? Yes, anatekeleza ilani ya CCM yes? alipigiwa kura na JPM Yes, ....
sasa chuki zako kwa JPM usiparamie kila mtu hovyo tu, just be genuine...akikosea kosoa kwa adabu na heshima, akipatia sifia kwa staha pia
Kila Raisi hupendwa kwa nafasi yake ila nyie follower wajiwe mna force Mambo ya mama yawe sawa as if watu walivompokea vizuri mnataka ulinganisho Mara baadae watu wataanza kumshambulia na blah blah kibao.
Hafu jakaya uongozi wake ulikuwa mzuri aliajiri maelfu ya vijana, mzunguko ulikuwa mkubwa wa hela, biashara zilitaradi kila Kona, democracia na Uhuru vilikua ndio maana watu walitoa ya moyoni waziwazi bila kutekwa, pia sector binafsi ilikuwa Sana tofauti na mwendazake, so msitake kumtakia mama eti asisifiwe kisa baadae wakosoaji watamsema. Mwendazake alianza vizuri mwaka wake wa kwanza Hadi upinzani ukakosa agenda, Ila alipoanza mauza uza raia wakapaza sauti ingawa wengine walipotea.
So kila Raisi ana mazuri na mabaya yake, ila mabaya yakizidi raia tutaongea hata kwa mama
Raisi ana majukumu mengi muhimu kuliko kupoteza muda barabarani kufanya maigizo na 'wanyonge' ambayo hayana faida yoyote kwa nchi.Gharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani [emoji120][emoji120][emoji120]
Hata ukishupaza shingo nimekuonesha tofauti ya hizo security detailsMtahamisha sana magoli.
Nyani . Ukubali jamaa harudi tena 6 feet under. Ulindwe kawaida au kwa mbwembwe kumbe bado virus vya maleria, vya Corona, vya hiv nk. vinaweza vikawavuka walinzi na mtu akalazwa chali. Nyani Ngabu
Achana na juha huyo. π€£kama unausifia utawala wa JK....nina nini cha kujadili na wewe?πππππππππ
Hakuna chochote ulichoonyesha.Hata ukishupaza shingo nimekuonesha tofauti ya hizo security details
Kwani hapa tunajadili ufufuo wake? We vipi wewe!!!Nyani . Ukubali jamaa harudi tena 6 feet under. Ulindwe kawaida au kwa mbwembwe kumbe bado virus vya maleria, vya Corona, vya hiv nk. vinaweza vikawavuka walinzi na mtu akalazwa chali. Nyani Ngabu
Odhis *
Ni mmoja tu. Mpaka sasa hatujaona Ulinzi kama wa Magufuli
toka zakoHapana. Kuna mmoja nimeweka screenshots mbili.
Lakini kuna mwingine tofauti na huyo, nimeiweka screeshot yake pia.
Na kuna ingine ya mwingine pia.