BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Pole sana mkuu.
Hahahahah, mkuu mimi nacheza kotekote, tawala na upinzan!Sooth uko nondo nakuchungulia kwa mbali unavyodondosha madini mwanamke wa shoka [emoji23][emoji23][emoji23] au dume? Manake jf hiii.
Kama hizi makala nawe unaziandika mwenyewe kutoka vyanzo mbali mbali pasipo ku-translate kutoka makala za nje, basi respect sana mkuu.But kama nawe unatafsiri kaz za watu na kuweka hapa basi huna haki ya kuumia wanapoiba.Good point mkuu..
Hivi Tanzania hakuna uwezekano wa Mtu kufanya Intelligence / Security consultation?
Aisee umeongea ukwel kabisa hii itasadia kias flanKwa nini Jamii forums isiweke taratibu ya kuzuia kukop na kupaste Makala zinazochapishwa humu ndani..
Then wawe wanaweka nembo ya JF Kama Millard Ayo anavyofanya
Kama hizi makala nawe unaziandika mwenyewe kutoka vyanzo mbali mbali pasipo ku-translate kutoka makala za nje, basi respect sana mkuu.But kama nawe unatafsiri kaz za watu na kuweka hapa basi huna haki ya kuumia wanapoiba.
Mimi mwenyewe niliwahi kupata changamoto ya 'ubuyu' wangu kuibiwa humu [emoji85]
Ndio maana siku hizi siandiki tena.
Pole sana nikiwa kama mwandishi wa riwaya matatizo haya yalinikuta hasa humu mitandaoni ila nikajua kuwa hakimiliki ndiyo kitu pekee kinachoweza kulinda haki ya mtu. The Bold kama wewe ni mwanachama wa COSOTA sajili kila andiko lako kule, ukiona limetumika bila ridhaa wape taarifa COSOTA.
Watakutajirisha wenyewe kwa faini wanazozitoa kwa wizi wao, hiyo ni intellectual property ikatie Copyright upate namna ya kuwashtaki. Ukiwafanyia hivyo wenye makampuni wawili tu, wataziogopa kazi zako kama ukoma.
Hahahhaha naona ndoto ipo karibu aisee! ila shemeji una maono nini?Shukrani sana shemeji..
Na shukrani kwa kutuaapoti Sikh zote na kututia moyo... We really appreciate kutoka kwenye sakafu za mioyo yetu!
Naona hawa wanataka kunipa hela ili nikupe ile kazi ileeeee hahahah
Hahah!! Chuna basi shemeji... Hahahah! Nimekusoma
Samahani kwenye hiyo avatar ni wewe?Udaku special blog hiyo ndio kiboko kwa kucopy jamii forum hasa story za MMU utakuta wanaweka na picha inayoendana na story husika utasema wameandika wao!