Ulinzi na Usalama wa Kazi zetu

Ulinzi na Usalama wa Kazi zetu

Mi nadhani sasa ni wakati pia wa Jamii forum kufanya kitu, naamini wana wanasheria wazuri na wanajua mambo ya sheria yamekaaje kuhusiana na hili/haya mambo

au hata kutoa ushauri wa kisheria kwa The bold kwa sababu mi naamini maslahi ya member wa jf (hasa aina ya member kama akina The Bold) yakiguswa na maslahi yao pia yameguswa.

Nadhani sasa ni wakati wa kuanza kuyatazama haya mambo kwa mtazamo mpana

tunaomba mje mseme neno
 
Wengi wakati tunajiunga huwa hatusomi terms and condition matokeo yake ndo haya.

Hii ni open forum. Jamiiforums hawapo entitled na lolote utakaloandika. Wameweka sheria kuweka mazingira rafiki ya watu kujadiliana kwa uhuru na adabu. Hilo tu.
Uandikacho kiwe chako, kisiwe chako hilo haliwahusu wao.
Kama umeona hii ni sehemu nzuri za kufikia wengi weka at your own risk.
 
Mkuu the bold kwanza unapaswa kujua sheria ya Hati miliki ikoje na inasema nini kuhusu haki..... Then ndo uanze kushtaki, Kwanini nasema hivyo isije ukaanzisha kesi mwisho wa siku sheria haiko upande wako ukatakiwa kulipa fidia....
 
Wengine hawa hapa... Picha hapa chini ni gazeti la KIU toleo la juzi Ijumaa... Wao wanakopi Makala ya Geranimo ambayo niliandika mwaka jana...

ac7f433d99687f4e5465382e92dee485.jpg
1e1132971c64e6b962e121d23c976ef0.jpg



Cc Bishop Hiluka
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Na kuna gazeti moja la juzi tu hapa nilmuona jamaa anasoma nahic ni story yako kabisa kuhusu kifo cha osama bin laden asilimia 99 na amini ni yako alf hyo moja wamefany modification tu kidogo ni gazeti la udaku kitu kama ijumaa hv
 
Na kuna gazeti moja la juzi tu hapa nilmuona jamaa anasoma nahic ni story yako kabisa kuhusu kifo cha osama bin laden asilimia 99 na amini ni yako alf hyo moja wamefany modification tu kidogo ni gazeti la udaku kitu kama ijumaa hv
Aisee!! Wacha tufuatilie toleo lao la wiki iliyopita...

Tunataka kuwakusanya wote hawa kama Kuku alafu tuwapeleke "machinjioni" kwa jaji..

Huu uhuni inabidi tuukomeshe kabisa!
 
Aisee!! Wacha tufuatilie toleo lao la wiki iliyopita...

Tunataka kuwakusanya wote hawa kama Kuku alafu tuwapeleke "machinjioni" kwa jaji..

Huu uhuni inabidi tuukomeshe kabisa!
talifatilia vzur kabisa maan siku hyo nilkua bize tena niliona jina la Ahmed al-kuwait nikasoma na paragraph fupi tu nikawaza kuna mahali nishasoma hii stori wala si ngeni ndo nkakumbuka kwako
 
talifatilia vzur kabisa maan siku hyo nilkua bize tena niliona jina la Ahmed al-kuwait nikasoma na paragraph fupi tu nikawaza kuna mahali nishasoma hii stori wala si ngeni ndo nkakumbuka kwako
Natanguliza shukrani Mkuu..

Asante sana!
 
Waandishi wa Tanzania wana matatizo sana, inainesha hawapend kusumbua vichwa hasa wa printing media.
Juz baada ya kujiuzuru majaji wawili na RC mmoja,gazeti la Jambo leo liliandika siri ya kuondoka kwao kwa kufanya copy and paste ya kilichoandikwa hapa JF,hawakuacha kitu kuna mdau aliweka bandiko hapa la kuhusu hizo sababu (assumptions zake) nao wamepita humohumo
 
Mimi mwenyewe niliwahi kupata changamoto ya 'ubuyu' wangu kuibiwa humu [emoji85]
Ndio maana siku hizi siandiki tena.
Lete ubuyu.
Narudia tena UBUYU UNATAKIWA.
Usiogope kunakiliwa
'Nasema hivi Nifah lete ubuyu,hapa Ubuyu tu'
 
mkuu The bold pole sana.
Nina ushauri mdogo kwako, ukiupokea na kuufanyia kazi sawa,ukiuupuza sawa.

kama umeamua kufanya uandishi wa makala za kitafiti katika mitandao ya kijamii kuwa ni kazi yako ya kudumu,basi una kila sababu ya kuanza kutumia verified ID(jina lako la kiserikali)achana na hiyo ID unayotumia sasa.ibaki kama alias name.

nalisema hili kwasababu endapo utaamua kuwashitaki wanaoiba kazi zako ambazo umezi-post kwa kutumia ID ya the bold,mahakamani watataka utoe vithibisho vinavyotambulika kisheria kuwa wewe ni the bold wa jf.

nadhani wanaoiba makala zako wamengundua hiyo weakness kiasi kwamba wanajiamini hata ukiwashtaki wa najua watakubana wapi ili uachane nao.

Mimi sio mwanasheria,ila sina shaka wanasheria wanaweza kukushauri vizuri katika hili.jaribu ku-consult nao.kuna yule mwanasheria anayesimamia kazi za mwana fa na AY.yupo vizuri sana ktk hizi mambo.
Ila nao wameprove kuwa they are very shallow.
Huko chuoni walienda kufanya nini?Wana tofaut gani na waandishi wa TBC?
 
Mkuu the bold kwanza unapaswa kujua sheria ya Hati miliki ikoje na inasema nini kuhusu haki..... Then ndo uanze kushtaki, Kwanini nasema hivyo isije ukaanzisha kesi mwisho wa siku sheria haiko upande wako ukatakiwa kulipa fidia....

Je
Wengine hawa hapa... Picha hapa chini ni gazeti la KIU toleo la juzi Ijumaa... Wao wanakopi Makala ya Geranimo ambayo niliandika mwaka jana...

ac7f433d99687f4e5465382e92dee485.jpg
1e1132971c64e6b962e121d23c976ef0.jpg



Cc Bishop Hiluka

Pole sana mkuu. Naamini na wewe huwa unaweka chanzo za taarifa zako.
Vinginevyo itabidi urekebishe hapo kabla hujaanza kufikishana mahakamani na wezi wa kazi
zako.

Kwa kuongezea tu kama baadhi ya wachangiaji walivyoainisha hapo juu, Tanzania kama nchi nyingi duniani Hakimiliki
ni automatic na hulazimiki kuisajili. Ukienda kuisajili kazi yako COSOTA inakupa urahisi wa kuthibitisha kwamba kazi husika ni yako na pia inasaidia mtu mwingine asikuwahi huko na kuisajili hiyo kazi.

Njia nyingine inayoweza kukusaidia kuthibitisha kazi ni yako unaweza ukajipostia hiyo kazi kwa registered mail yenye seal kisha usiifungue inapokufiikia. Hii itasaidia kuthibitisha kwamba kazi ni yako na ilitoka awali kabla ya "mwizi/mdukuaji" wa kazi yako hajaitoa.

Nakutakia mapambano mema. Ila kumbuka siku zote mlinzi namba moja wa kazi zako ni wewe mwenyewe.

Nakutakia mafanikio katika mpambano huu
 
Wizi ni wizi tu,
Rai na SHE GONGO NI WEZI
 
niko nahuzuni sana kwa kimya cha hawa akina Maxence Melo na Mike Mushi au Moderator kuna member kasema pale juu kuwa unachokifanya ni at your own risk inaweza kuwa ndiyo ni rule lakini as exception wangeichukua kama changamoto maana umekuwa kati ya watu wa muhimu sana kudumisha utamaduni wa jamii forum. The bold mi nikutie moyo kwa kazi unayoifanya lakini niombe Mods na wakuu wengine tuunge mkono jitihada za kuwapinga hawa wahuni. Mwingine sio ustaarabu kwani katika makala hususan ya Kennedy uliwakemea japo kwa upole lakini wao wakaonesha kuwa hawana nidhamu. Shigongo nawe umejichafulia status yako acheni tabia hiyo pigeni kazi.
mwisho wadau wa kazi zako tumemmisi pia MSEZA MKULU sijui yuko wapi au ndio wewe The bold ?
 
Mkuu nimekupm juu ya mwizi mwingine wa kazi zako na nimekupa details zako.

Ameiba kazi zako kama5 hivi alafu katengeneza kitabu na anakiuza rejareja mtaani na kujipatia mijifedha...(angalia imbox yako)
 
Back
Top Bottom