Ulinzi na Usalama wa Kazi zetu

Ulinzi na Usalama wa Kazi zetu

Mm naomba nikushauri hvi.

Wewe unawashtaki unauthibitisho gani makali hzo ni zako... Kunasehemu yeyto umeandika ' terms of use' au 'copyright' mahakamani hata kama unayo haki itakua ngumu kushnda broo kwasabb huna uthibitisho wowote kwamba kami ni yako... Mwenye makosa ni ww kwasabab umeamua kufanya kazi yako ya uandishi.. Open source. ww kama unatoa bure watu wasome huwezi kumshtaki mtu kka huna uthibitisho... Sisi mafundi wa software hua tunasema software ikiwa open source mtu yyte anaweza akaifanya anavyotaka hata kuiuza... Sasa ww pia kweny uandish wako una fnya open source..

Mm nakushauri nanlishakwambia hili tengeneza website na app distribite makala zako kwa 2000 kwa mwezi weka hati mmliki 'copyright' na terms of use hii mtu akicopy kazi yako ni rahisi kumbana na hta yy ataogopa kukopy kwasabb ww unauza yy pia ataogopa kuiza 'plagmarism' ww ukiitoa bure watu lazma wa iibe. Trna hao ni unao wajua tu, huko whatsapp zmejaa tena na wadau wanaziuza hzo story zako... Thing again bro...
 
Mkuu pole kwa Yale yanayokukuta, binafsi nimsomaji mzuri sana Wa makala zako, na ninaona nna unavyo umia hasa kwa hili LA kunakili kazi zako,

Anyway ngoja nishauri japo kidogo,kwanza kabula ya yote wasiliana(rai na global) ili kujua kwa nini wametumia maandiko yako bila kibali chako? Hiyo inaitwa natural justice...

Pili nenda pale idara ya habari maelezo,sina uhakika kama ni wao ila huwa wanapokea malalamiko pia ya watu ambao huandikwa au kunukuliwa au vinginevyo tofauti na matakwa yao..

Tatu, ipo misingi ya uandishi Wa makala, moja wapo ni kuitambua kwa jina hyo makala na vyanzo vya uandishi Wa makala au habari/ hivyo kwa kutumia Mwanasheria kwenye weredi Wa kiundishi, muombe akupe muongozo Wa namna ya kuwafikia waandishi Wa makala hizo ili waseme vyanzo vya makala kwa vielelezo.

NNE si kwa umhim , zungumza na watu habari hasa akina tido au charles hilal kujua uzoefu wao hasa kwenye wizi Wa makala/au habari...

Zingatia hiki habari ni huru ila kusema chanzo cha habari ni bora sana, mfn mashirika yetu ya ndani hunukuu habari kutoka mashirika makubwa kama BBC, DW, CNN n.k ila hutoa creditability kwa hyo watu...

Na hata hayo mashirika yakiwa na habari ambayo inatoka kwenye nchi husika husema chanzo kuwa ni radio/TV Fulani..

Nakushauri fuata utaratibu, pamoja na wadau kuongezea utapata solution,

Kila changamoto inamlango Wa kutokea... Pole The BOLD..
Shukrani sana mkuu!

Umeongea hoja za kutosha zenye uzito, asante sana kwa ushauri huu.. Nafanyia kazi yote haya mkuu Ls man
 
Pole sana nikiwa kama mwandishi wa riwaya matatizo haya yalinikuta hasa humu mitandaoni ila nikajua kuwa hakimiliki ndiyo kitu pekee kinachoweza kulinda haki ya mtu. The Bold kama wewe ni mwanachama wa COSOTA sajili kila andiko lako kule, ukiona limetumika bila ridhaa wape taarifa COSOTA.

Watakutajirisha wenyewe kwa faini wanazozitoa kwa wizi wao, hiyo ni intellectual property ikatie Copyright upate namna ya kuwashtaki. Ukiwafanyia hivyo wenye makampuni wawili tu, wataziogopa kazi zako kama ukoma.
Asante sana mkuu!!

Umenifungua akili kitu muhimu sana ambacho nilikuwa nimekisahau muda wote huu..

Wacha nianze kufanya utaratibu was kuingia COSOTA.!
 
Pole sana Mkuu The bold , wakuu wengi wameshatoa ushauri, kwahiyo sasa hivi funika kwanza makabrasha yako, hangaikia haki yako, I hope utajiri ndio huo sasa umejileta wenyewe, mpaka mwakani am sure utakua umeshafungua "media house" yako hapo mikocheni kupitia hii kesi, Mungu akutangulie, msalimie mwenzetu Nifah
Pamoha sana mkuu Mgibeon
 
Kwa kweli mkuu, hiki unachokisema hapa ni ukweli mtu, kwa sisi ambao ni wasomaji wazuri wa makala zinazowekwa humu, tunakutana nazo nyingi sana huko nje.
Kwenye vyombo vya habari na hata kwenye magroup ya whatsap.

Wakati mwingine huwa nilikuwa nashindwa kuhoji sana juu ya hilo kwasababu nilidhani labda ni wenyewe ndio wameziweka huko kwa sababu hapa hatutambuani kwa uhalisia.

Nilikutana na simulizi ya vipepeo weusi huko whatsap group moja hivi, na riwaya nyingine nyingi tu kama vile kisasi ya Frenk Mushi .zilizowekwa humu na makala tofauti tofauti.
Lakini utakuta majina ya waandishi ni tofauti.

Cha muhimu hapa kwa uelewa wangu, ni jamioforums kuweka hatimiliki za mijadala tunayojadiliana humu na hizo kazi tunazozifanya ili kuweka ulinzi, kuzuia matumizi yoyote nje ya hapa bila idhini ya wamiliki.

Mfano.

Ukichukua kazi ya mtu,gazetini, vitabu n.k ukaja kuiweka hapa bila ruhusa utachukuliwa hatua. Hii ni kwa sababu wana hati miliki ya hizo kazi zao kisheria.
Lakini kwa sisi hapa sidhani kama tunahati miliki ya kisheria katika kulinda kazi zetu.
Kwa sababu tunazifanya wenyewe binafsi bila kushirikisha sheria yoyote kwa manufaa ya wanajukwaa.
Kwahiyo kaka hatuna nguvu ya kushitaki mtu kwa hilo zaidi ya kulalamika tu.

Nadhani sasa ni wakati umefika wa sisi kuanza kuangalia namna ya kuweka umiliki unaotambulika ili kulinda kazi zetu, dhani uongozi umetusikia na tukubaliane kwa pamoja katika kulimiza hilo.

Pole sana kwa hilo mkuu.
 
Pole Sana The Bold
Hakuna Ubishi Wowote Hii Ni Aibu Kubwa Sana Kwa Hivyo Vyombo Vya Habari Hasa Vilivyotajwa Kudukua Kazi Za Watu.

Ugumu Uko Wapi Mkamwendea The Bold
PM Mkakubaliana Gharama Za Kutumia Machapisho Yake Mkamlipa Na Mkaruhusiwa
Kwasasa Mnafanya Wizi!!!!!
 
Mkuu the bold pitia hapa kwanza

Copyright is the sole legal right to print, publish, perform film or record a literary or artistic or musical work. This has been defined in the Copyright and Neighboring Rights Act No. 7 of 1999 Cap 218 R.E 2002.

Copyright as it is, is appreciated even without registration though if a person registers his work with the Copyright Society of Tanzania he will be in a good position to be recognized as the owner of the work and to be entitled to several benefits that go along with the registration of the work.

The Copyright Society of Tanzania is a Copyright Office and a Collective Management Organization.
It's mandate is to promote and protect the interest of authors, performers, publishers, producers of sound recordings, broadcasters and in particular, to reduce piracy, collect and distribute royalties or other remunerations accorded to them in respect of their rights provided under the Act

Nadhani hapa unaweza pata dondooo mbili tatu za namna ya kudai haki yako.
 
Mkuu pole, nenda kwenye ofisi zao na mwnasheria wako, pia uwe unazisajili kazi zako, faida ni kubwa zaidi kuliko kutokusajili na inakuwa rahisi zaidi kumshtaki mtu na kulipwa fidia.
Pia JF ihusike na kusaidia kulinda contents za wanachama wake, kwasababu wanachama ndio wanaoendesha huu mtandao.
 
Mm naomba nikushauri hvi.

Wewe unawashtaki unauthibitisho gani makali hzo ni zako... Kunasehemu yeyto umeandika ' terms of use' au 'copyright' mahakamani hata kama unayo haki itakua ngumu kushnda broo kwasabb huna uthibitisho wowote kwamba kami ni yako... Mwenye makosa ni ww kwasabab umeamua kufanya kazi yako ya uandishi.. Open source. ww kama unatoa bure watu wasome huwezi kumshtaki mtu kka huna uthibitisho... Sisi mafundi wa software hua tunasema software ikiwa open source mtu yyte anaweza akaifanya anavyotaka hata kuiuza... Sasa ww pia kweny uandish wako una fnya open source..

Mm nakushauri nanlishakwambia hili tengeneza website na app distribite makala zako kwa 2000 kwa mwezi weka hati mmliki 'copyright' na terms of use hii mtu akicopy kazi yako ni rahisi kumbana na hta yy ataogopa kukopy kwasabb ww unauza yy pia ataogopa kuiza 'plagmarism' ww ukiitoa bure watu lazma wa iibe. Trna hao ni unao wajua tu, huko whatsapp zmejaa tena na wadau wanaziuza hzo story zako... Thing again bro...

Wewe huelewi Sheria ya Hakimiliki na wala huelewi maana ya Open Source. Moja, kazi ya uandishi inalindwa na Sheria mara tu unapoanza kuandika, haihitaji kuandikisha popote wala kutoa angalizo popote. Mbili, fanya chochote na Open Source lakini kamwe huruhusiwi kujifanya kazi ni yako. Aliyekopi Hadith kaweka jina lake, kitu kinachomaanisha yeye ndiye aliyetunga kitu ambacho ni kosa.
 
mkuu The bold pole sana.
Nina ushauri mdogo kwako, ukiupokea na kuufanyia kazi sawa,ukiuupuza sawa.

kama umeamua kufanya uandishi wa makala za kitafiti katika mitandao ya kijamii kuwa ni kazi yako ya kudumu,basi una kila sababu ya kuanza kutumia verified ID(jina lako la kiserikali)achana na hiyo ID unayotumia sasa.ibaki kama alias name.

nalisema hili kwasababu endapo utaamua kuwashitaki wanaoiba kazi zako ambazo umezi-post kwa kutumia ID ya the bold,mahakamani watataka utoe vithibisho vinavyotambulika kisheria kuwa wewe ni the bold wa jf.

nadhani wanaoiba makala zako wamengundua hiyo weakness kiasi kwamba wanajiamini hata ukiwashtaki wa najua watakubana wapi ili uachane nao.

Mimi sio mwanasheria,ila sina shaka wanasheria wanaweza kukushauri vizuri katika hili.jaribu ku-consult nao.kuna yule mwanasheria anayesimamia kazi za mwana fa na AY.yupo vizuri sana ktk hizi mambo.
Hili nalo neno
 
Kazi ya Sanaa inayowekwa hapa au hata use jalalani, inalindwa na Sheria ya Hakimiliki. Hakuna namna unaweza ukakopi na kupesti hadithi ya mtu kwenye gazeti halafu usiwe umevunja Sheria kama hukupata ridhaa ya mwenye kazi.

Kitaaluma, ni makosa kukopi na kupesti hata kazi zako mwenyewe(self-plagiarism). Lazima uonyeshe kuwa unaitoa kutoka mahala fulani.
 
Wewe huelewi Sheria ya Hakimiliki na wala huelewi maana ya Open Source. Moja, kazi ya uandishi inalindwa na Sheria mara tu unapoanza kuandika, haihitaji kuandikisha popote wala kutoa angalizo popote. Mbili, fanya chochote na Open Source lakini kamwe huruhusiwi kujifanya kazi ni yako. Aliyekopi Hadith kaweka jina lake, kitu kinachomaanisha yeye ndiye aliyetunga kitu ambacho ni kosa.
Ni sawa kazi inaanza kulindwa pale tu anapoanza kuandika. Swali ni je, uthibitisho uko wapi kwamba yeye ndie alieanza kuandika? where is the justification that he is the original author? broo.. Bla uthibitisho wa kimaandishi haswa hawezi kutetea kwamba kazi ni yake... Ni ngumu mno kaka...
 
The bold nakuonea kijicho maana soon unaenda kuwa tajiri,
any way cha kwanza fata ushauri wa ndugu yangu Hassan Mambosasa wa kujisajili cosota au pia wana taasisi yao inaitwa UWARIDI, nina imani utakuwa safe kwenye kutetea kazi yako.
pili kuna ushauri mwingine hapo umepewa nahisi na kadoda11 anza sasa kujiweka wazi sasa, ushakuwa celebrity, we must know you bro, anza kutumia hata jina lako kamili phone no, email etc. hii itapelekea watu kukujua na kukufatilia maybe kazi pia inaweza ongezeka.
la tatu nala mwisho maana umenikatisha kuendelea kula hapa nilipo, POLE SANA, HIKI NI KIPIMO TOSHA KUWA WW NI TISHIO HAPA NCHINI KATIKA SEKTA HII, kuna maandiko mangapi humu jf? kwa nini wewe kila siku?
 
Wewe huelewi Sheria ya Hakimiliki na wala huelewi maana ya Open Source. Moja, kazi ya uandishi inalindwa na Sheria mara tu unapoanza kuandika, haihitaji kuandikisha popote wala kutoa angalizo popote. Mbili, fanya chochote na Open Source lakini kamwe huruhusiwi kujifanya kazi ni yako. Aliyekopi Hadith kaweka jina lake, kitu kinachomaanisha yeye ndiye aliyetunga kitu ambacho ni kosa.
Labda kama nmeeleweka vbaya uniwie radhi... Nlichoomaanisha kufananisha na open source ni.. Free distribution hlo ni moja mbili.. Mtumiaji anaweza kuifanya au ku costumize hle softoware anavyotaka... Na tatu yy pia anaweza kuidistribute ansvyotaka... Ndivyo mkuu the bold anafanya pia...
 
Back
Top Bottom