Ulinzi na Usalama wa Kazi zetu

Ulinzi na Usalama wa Kazi zetu

Ni sawa kazi inaanza kulindwa pale tu anapoanza kuandika. Swali ni je, uthibitisho uko wapi kwamba yeye ndie alieanza kuandika? where is the justification that he is the original author? broo.. Bla uthibitisho wa kimaandishi haswa hawezi kutetea kwamba kazi ni yake... Ni ngumu mno kaka...
uzuri hitimisho la kifo cha jf Kennedy bado halijafika. mtu pekee anayeweza kuuelezea ni original author pekee huoni kama hii pekee ni ushindi kwa The bold ? maana yeye anayo, hata die hard fans wake tupo mbali kwenye hiki kisa kuliko kinachochapishwa humu jf
 
Kaka, stori ya utata wa kifo cha kenedy kila mtu anafahamu... Ht nenda kugoogle ss hvi utapata stori kbao kuhusu swala hlo, mm nimeshasoma kitabu chke ch page 400. Kinachomfanya bold awe wa pekee ni vtu viwili vikuu... Cha kwanza anatumia lugha mama.. Ni ngumu sana kwenda google kukuta makala hzi kwa kiswahili na sabb kubwa hata zaidi jamaa anatoa stori kwa undani mno'details'... Kitu ambacho waandish weng wako shallow... Naamin bold hua anafnya utafti wanguvu kabla haja anza kazi yake... Kwahyo hyo sio sabb kzo hata hao rai na global wanawenza kugoogle tu na kumalizi hyo stori... Sasa unawakamata vipi?
 
Ni sawa kazi inaanza kulindwa pale tu anapoanza kuandika. Swali ni je, uthibitisho uko wapi kwamba yeye ndie alieanza kuandika? where is the justification that he is the original author? broo.. Bla uthibitisho wa kimaandishi haswa hawezi kutetea kwamba kazi ni yake... Ni ngumu mno kaka...
Haina ugumu, makala ya The Bold imeandaliwa hapa JF au popote pale ina timestamp. Huyo mwandishi aseme ameandalia wapi na atupe timestamp. Mambo ya Time Created na Time Modified-File forensics 101.
 
Hahahaaaaaaa kweli Johnson. Ile habari ya Talaka ya Mange,na makalio bandia ya zari ziliibiwa sana basi tu sikuwa na namna [emoji17] [emoji85]
hahah basi fanya uniletee malalamiko kimaandishi nifungue kesi, ila hiyo family yenu itakuwa inaeendeshwa kwa makesi kesi
 
Labda kama nmeeleweka vbaya uniwie radhi... Nlichoomaanisha kufananisha na open source ni.. Free distribution hlo ni moja mbili.. Mtumiaji anaweza kuifanya au ku costumize hle softoware anavyotaka... Na tatu yy pia anaweza kuidistribute ansvyotaka... Ndivyo mkuu the bold anafanya pia...
Sawa muungwana, with Open Source you can copy, modify, distribute but Never SALE or claim ownership.
 
Kaka, stori ya utata wa kifo cha kenedy kila mtu anafahamu... Ht nenda kugoogle ss hvi utapata stori kbao kuhusu swala hlo, mm nimeshasoma kitabu chke ch page 400. Kinachomfanya bold awe wa pekee ni vtu viwili vikuu... Cha kwanza anatumia lugha mama.. Ni ngumu sana kwenda google kukuta makala hzi kwa kiswahili na sabb kubwa hata zaidi jamaa anatoa stori kwa undani mno'details'... Kitu ambacho waandish weng wako shallow... Naamin bold hua anafnya utafti wanguvu kabla haja anza kazi yake... Kwahyo hyo sio sabb kzo hata hao rai na global wanawenza kugoogle tu na kumalizi hyo stori... Sasa unawakamata vipi?
bro unatumia nguvu nyingi sana kuhalalisha/kutetea huu wizi, isije ukawa umetumika kama catalyst kufanikisha huu wizi
 
wanatumia kazi zako kujinufaisha wao wakati ww umeumiza kichwa na hawakupi hata sumni!huu ni unyonyaji ambao hukubaliki popote na yatufaa wote tuukemee kwa nguvu zote.tena ni mambo yamepitwa na wakati kunakili kazi za watu.hyu msukuma hata yale maadithi yake anakopi kwenye novel aonekane ana akili kumbe bashite tu
 
Kuna mijitu inapenda sana mteremko, hiyo mijitu inalifanya gazeti la RAI kutoka kwenye MISINGI yake ya NGUVU YA HOJA mpaka NGUVU YA WIZI, ingawa nililiheshimu sana hili gazeti miaka ya nyuma na ndilo lilikuwa gazeti langu pendwa.
 
mkuu The bold pole sana.
Nina ushauri mdogo kwako, ukiupokea na kuufanyia kazi sawa,ukiuupuza sawa.

kama umeamua kufanya uandishi wa makala za kitafiti katika mitandao ya kijamii kuwa ni kazi yako ya kudumu,basi una kila sababu ya kuanza kutumia verified ID(jina lako la kiserikali)achana na hiyo ID unayotumia sasa.ibaki kama alias name.

nalisema hili kwasababu endapo utaamua kuwashitaki wanaoiba kazi zako ambazo umezi-post kwa kutumia ID ya the bold,mahakamani watataka utoe vithibisho vinavyotambulika kisheria kuwa wewe ni the bold wa jf.

nadhani wanaoiba makala zako wamengundua hiyo weakness kiasi kwamba wanajiamini hata ukiwashtaki wa najua watakubana wapi ili uachane nao.

Mimi sio mwanasheria,ila sina shaka wanasheria wanaweza kukushauri vizuri katika hili.jaribu ku-consult nao.kuna yule mwanasheria anayesimamia kazi za mwana fa na AY.yupo vizuri sana ktk hizi mambo.
Asante sana mkuu kadoda11,

Umepita mule mule ambapo kuna mwanasheria nilikuwa naongea naye pia aligusia vitu kama hivi...

Alinieleza kuhusu hili suala la alias ninayotumia inavyoweza kuleta mushkeli mahakamani kwa maana ya kwamba nitaenda kufungua kesi mahakamani nikiwa kama "Khabib" (jina langu halisi) lakini aliyeibiwa kazi yake ni "The Bold", kwa hiyo tutatakiwa kuthibitisha kuwa Khabib ndiye The Bold kitu ambacho wanasheria wa utetezi wanaweza kutumia huo mwanya kugeuza kesi in their favor...

Nashukuru sana kwa kugusia hili suala!! Nadhani inapaswa nilishghulikie hili haraka iwezekanavyo..
 
Pia kwa kuwa wewe unaandika makala kila wiki, ni vyema ukawa na Mwanasheria ambaye kazi yake ni kulinda maslahi yako. Mfano Albert Msando amejipambua kama Mwanasheria mwanaharakati wa haki za Sanaa. Naamini anaweza akachukua commission kwa kila violation.

Shukrani san mkuu...

Ili ni suala la msingi sana! Nalifanyia kazi..
 
Asante sana mkuu kadoda11,

Umepita mule mule ambapo kuna mwanasheria nilikuwa naongea naye pia aligusia vitu kama hivi...

Alinieleza kuhusu hili suala la alias ninayotumia inavyoweza kuleta mushkeli mahakamani kwa maana ya kwamba nitaenda kufungua kesi mahakamani nikiwa kama "Khabib" (jina langu halisi) lakini aliyeibiwa kazi yake ni "The Bold", kwa hiyo tutatakiwa kuthibitisha kuwa Khabib ndiye The Bold kitu ambacho wanasheria wa utetezi wanaweza kutumia huo mwanya kugeuza kesi in their favor...

Nashukuru sana kwa kugusia hili suala!! Nadhani inapaswa nilishghulikie hili haraka iwezekanavyo..
lishughulikie mkuu,faida za kutumia verified ID ni nyingi kuliko kutumia majina ya kificho.

la kuzingatia ni kuhakisha tu ID yako hiyo huitumii kuudhi watu au kukosoa serikali.si unajua tena mjini hapa lazima uishi kwa mahesabu.
 
Kuna njia mbili tu either mkuu bold ukajisajiri cosota kulinda haki za uandishi wako au Jf ichukue jukumu la kisheria kulinda maandishi ya wanachama wake.

Wizi huu haukubaliki kabisa.
Kabisa mkuu!! Inauma sana, mtu unajipinda kuamdika alafu kuna wahuni wanaenda kula kwa jasho lako kiulaini kabisa..
 
Pole Sana The Bold
Hakuna Ubishi Wowote Hii Ni Aibu Kubwa Sana Kwa Hivyo Vyombo Vya Habari Hasa Vilivyotajwa Kudukua Kazi Za Watu.

Ugumu Uko Wapi Mkamwendea The Bold
PM Mkakubaliana Gharama Za Kutumia Machapisho Yake Mkamlipa Na Mkaruhusiwa
Kwasasa Mnafanya Wizi!!!!!
Hawa watu sio wastaarabu kabisa... Mimi mpaka namba zangu za simu humu nimeweka wazi... Wanashindwa vipi hata kuniomba!! Huu ni uhuni uliopotiliza..
 
Mkuu the bold pitia hapa kwanza

Copyright is the sole legal right to print, publish, perform film or record a literary or artistic or musical work. This has been defined in the Copyright and Neighboring Rights Act No. 7 of 1999 Cap 218 R.E 2002.

Copyright as it is, is appreciated even without registration though if a person registers his work with the Copyright Society of Tanzania he will be in a good position to be recognized as the owner of the work and to be entitled to several benefits that go along with the registration of the work.

The Copyright Society of Tanzania is a Copyright Office and a Collective Management Organization.
It's mandate is to promote and protect the interest of authors, performers, publishers, producers of sound recordings, broadcasters and in particular, to reduce piracy, collect and distribute royalties or other remunerations accorded to them in respect of their rights provided under the Act

Nadhani hapa unaweza pata dondooo mbili tatu za namna ya kudai haki yako.
Shukrani sana mkuu! Nimepata kitu kipya kwenye bongo..
 
Mkuu pole, nenda kwenye ofisi zao na mwnasheria wako, pia uwe unazisajili kazi zako, faida ni kubwa zaidi kuliko kutokusajili na inakuwa rahisi zaidi kumshtaki mtu na kulipwa fidia.
Pia JF ihusike na kusaidia kulinda contents za wanachama wake, kwasababu wanachama ndio wanaoendesha huu mtandao.
Kabisa mkuu! Jf pia wajitahidi kulinda kazi zetu sisi wanachama... Inaumiza sana kukuta andishi lako ulilokesha kiliandika liko kwenye gazeti alafu kuna mwandishi anajifanya yeye ndiye ameandika..
 
Back
Top Bottom