Ulinzi na Usalama wa Kazi zetu

Ulinzi na Usalama wa Kazi zetu

Mkuu nimekupm juu ya mwizi mwingine wa kazi zako na nimekupa details zako.

Ameiba kazi zako kama5 hivi alafu katengeneza kitabu na anakiuza rejareja mtaani na kujipatia mijifedha...(angalia imbox yako)
Mkuu Mkalibari nimeona PM yako... Nilikuwa nafanya kazi...

So sorry kwa ukimya
 
Pole broh.. Ila dah waandishi wa bongo bwana wakiitwa makanjanja wanamaind lijamaa limejipambanua kabisa na GIDION MASANJA
Ila halahala wasije kukununua tena ukaanza dondosha makala huko tena tukapeana kazi ya kununua migazeti ya RAI kila kukicha ni bora hata utoe vitabu tutanunua c hayo magazeti ya makanjanja
 
Back
Top Bottom