GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,653
- 128,058
Mkuu, umeuliza suali la msingi sana.
Mimi pia nipo katika mchakato wa kuanzisha hii huduma adimu.
Ila kuna uwezekano wapo wataalam lakini mazingira ya kufanyia kazi ya ushauri bado yamezingirwa na ugumu fulani hivi, labda iwe katika sekta binafsi.
Lakini wenzetu walopiga hatua hili jambo ni kama vile mnakula karanga na mtaalam anatoa madini ya maana.
Hili ni eneo muhimu sana kwa Tanzania ijayo.
Nitashukuru kama ukifungua hiyo Intelligence and Security Consultation firm yako angalau hata niwe tu ' Mfagizi ' wako Mkuu.