min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,290
- 130,539
Umezamia mitumbwi ya vibwengo bwashee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tulipokelewa tukawekewa maji bafuni, nikaogea kopo la njano.....nilivorudi ndani nikawekewa mbege kwenye kopo la njano, nikajua yanafanana.
Asubuhi baada ya chai tunataka kumiminiwa tena mbege nikasikia "yesuuu huyu josefu kaacha kikombe bafuni" kikafatwa aaaah qmmmmm.
Sirudii tena kunywa mbege kwenye makopo nitaomba glass
min -me huko kwenu sio
