Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 19,152
- 43,109
Nilikuwa 🍻🍺Sasa na wew hukua na tochi 😂😂 hata harufu
Nilikuwa 🍻🍺Sasa na wew hukua na tochi 😂😂 hata harufu
Walijisahau kama kuna mgeni maana watoro wao wapo bweniAhahha ulikuwa makini kuwafwatilia sana
Hiyo ina mapaka kumi kidogoo alafu paka wenyewe kama ya porini mabaya kuanzia sura hadi rangiiMimi nyumba inayofuga paka sikai
😂😂😂 uliwezaje kuvumiliaWalijisahau kama kuna mgeni maana watoro wao wapo bweni
Bro ilibidi niwaage nikhamia gesti kesho yake😂😂😂 uliwezaje kuvumilia
Nilienda kutembea kwenye familia moja kikaletwa chakula, sahani ya ugali na ya mboga (nakumbuka ilikuwa nyama ya mchuzi) tupo wanne mezani tunakula mdogo mdogo tulipofika nusu ya Sahani ya mboga mwamba (ambaye n mwenyeji wetu) akachukua sahani akanywa mchuzi nusu eti anapunguza ili nyama zionekaneakarudiaha mezani tukaendelea.

nimechekaKwetu huko… Uko sahihi 💯Nilienda na rafiki yangu kwao huko unyaturuni(Ilongero). Imefika time ya chakula nikaona Maza anatutengea chakula nilichukulia kawaida,tumemaliza kula heeeee nashangaa mwamba anamuita mama yake aje kutoa vyombo. Nilistaajabu.
Baadaye nikamuuliza kaka vipi mbona ulimuita mama aje kutoa vyombo wakati wewe ulikuwa na uwezo wa kuvitoa!!? Akanijibu kuwa Kwa tamaduni zao mwanaume hatakiwj kabisa kujihusisha na shughuli za kike.
Nilishangaa sana wakati Mimi kwetu ilikuwa napika chakula Cha familia.
Kile kitendo Cha mwamba kumuita mama yake atoe vyombo nilishangaa sana na niliona ni kituko.
Na uombe sana baada ya wewe kutoka asiingie mtu mwingine mchafu halafu wa mwisho kuonekana na watu akiingia uwe weweUkiwa ugenini unatakiwa kutumia choo kwa umakini
Ni jana tu usiku nimetembelea sehemu fulani. Nimeomba maji ya kunya nikaletewa, wakati naanza kunywa tu akatokea mtoto akasema acha hayo maji ya kunywa ni ya baba etu.Ushawahi kufika ugenini mtoto from nowhere aropoke "mama uncle amekuja kutumalizia chakula".
Chai imekolea chumvi na majani.Nilishikwa na tumbo la kuhara ghafla halafu choo kiko nje na hapo karibu na mlango wa choo wamekaa wa mama na mabinti wengine wako na majiko hapo wanapika
Nilijipa ujasiri nikaingia chooni kibabe ambapo mara baada ya kuvua nguo tu ili ilisikika Sauti kama ya ngurumo za radi yaani niliharisha mzigo wa maana kama kilo saba hivi ilikuwa kinyesi laini mithili ya ftari ya mihogo na viazi vitamu au grisi!
Ile nagusa koki ya bomba kumbe maji yamekatika!
Nilijikongoja nikavaa sarawili yangu kisha nikatoka nje ili niombe japo maji nisukume lile nyesi ambalo limeziba mpaka choo
Lakini cha ajabu ile ntafungua tu mlango nakutana na mamkwe huyu hapa anataka aingie!
Sikugeuka nyuma ilibidi nitoke nduki nikapitiliza nje ya geti na kuita boda nikaenda stendi kupanda gari kurudi Dom
Hata begi langu alikuja kulituma kwenye basi na suala la kujitambulisha kwao iliishia hapo hapo!
Mkuu nimefupisha story suala la kujisafisha nililifanya nilipofika stendi kuna choo cha kulipiaChai imekolea chumvi na majani.
Kwahiyo ukapamda boda, ukaenda stendi, ukapanda bus hadi dom ila ukashindwa kuingia hata choo cha stendi kujisafisha?
Uwape nafasi yaoBro ilibidi niwaage nikhamia gesti kesho yake
Tupe mwongozo wa kituko uchokutana nacho love.
Hatimaye Pdidy Kapata mrithiBasi buana wale wapendwa wetu wanafanya kazi za night shift alafu nikabaki na beki na vitoto vidogo hata havijui kuongea vikalala basi buana tukaamza KUCHEKI movie basi buana nbeki ana kagaguro tu aiseh nikaanza misheni tow basi akagoma goma pale mzee kukakucha dah alanbaba mwenye nyumba kaingia mida flani mama mwenye nyumba bado Yuko shift si nikaona beki anaingi kwa faza house mimi Nilikiwa nimelala kiuongo na kweli Sasa alivyoingia nikatoka kama nataka kwenda nje KUCHEKI mpangonimegungwa buana kwenda chooninsimuoni beki kuchungukia kwa hayumo ebana nikarudia kujilaza mara nasikia mlangonunalia fiu kuchungukia sibeki anatoka room ya faza house wakati fazanyumo na moaza house hayupo.
Nikakonclude kumbe house girl ni chakula ya faza house lo ruhama. Ndioana kanizingua
daaaaah nime Cheka kwa sautiNilishikwa na tumbo la kuhara ghafla halafu choo kiko nje na hapo karibu na mlango wa choo wamekaa wa mama na mabinti wengine wako na majiko hapo wanapika