Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Hicho ni kisasi maisha hayaendi hivyo
Kumbuka hata kama uliumizwa unakuja umiza mtu aliyekupenda kumfanya awe kama wewe baadaye mseme wanawake hawana maana
Kumbe umekutana na aliyetoka kuumizwa kama wewe

Hautosolve kitu kwa mtindo huo bora kuwa single kuliko kuumiza wasio na hatia

Siwezi kuwa na mtu kisa kulipa kisasi cha yaliyopita maishani mwangu nitalipiza Hadi lini na mara ngapi,

mnatengeneza dunia ya ajabu sana alafu baadae mnakuja kuwalaumu waliomo huku mmewatengeneza wenyewe
[emoji625][emoji625][emoji419]
 
Naweza kupiga call ata 7 na asirespond ata akiona missed call
Muda akijisikia kupokea ukimuuliza anasema alikuwa busy na hajaona chochote

iliniwia vigumu kukubaliana na ukweli ila mwisho wa siku nilikaza Roho na kuibukia huku kwenye Uchakataji,

"MIMI NIJE KUPENDA TENA MWANAMKE LABDA NIFE NA KUFUFUKA TENA "
Aliyeanza haonekani ila anayemaliza ndio huonekana mshenzi 😝!
 
Sababu ni zile, zile tuu.

Kimya, kimya, simu hazipokelewi, text hazijibiwi.

Until you realize its over.
Mimi huwa Nina utaratibu 1 unanisaidia Sana Niko makini mnooo kulinda heshima yangu ..if nikiona Mpenzi wangu ameanza kuchange huwa naweka utaratibu wa kutokumtafuta mpaka anitafute yeye ... Akinitafuta simuonyeshi tofauti yoyote ile na respond like hakuna kitu ila baada ya convo kuisha ndio simtafuti Tena mpaka anitafute asiponitafuta ndio inakuwa ndio Basi hiyo MAPENZI yanakufa .. siwezi kumlia Lilia mtoto wa mtu kibwege never
 
Mimi huwa Nina utaratibu 1 unanisaidia Sana Niko makini mnooo kulinda heshima yangu ..if nikiona Mpenzi wangu ameanza kuchange huwa naweka utaratibu wa kutokumtafuta mpaka anitafute yeye ... Akinitafuta simuonyeshi tofauti yoyote ile na respond like hakuna kitu ila baada ya convo kuisha ndio simtafuti Tena mpaka anitafute asiponitafuta ndio inakuwa ndio Basi hiyo MAPENZI yanakufa .. siwezi kumlia Lilia mtoto wa mtu kibwege never
Hii imekaa kigaidi sana 😂 inataka ukomavu katika siasa za mapenzi
 
Mi niliambiwa kuwa kapata mme mwingine but nashukuru Mungu huyo mme wake mpya alihama yule dem akachakaa. Nikaanza kukumbushia mara akaja et anikope pesa nikamkopesha kisha nikamdai mbele ya mashoga zake aliaibika sana.

Baada ya kuona kuwa mabinti wadogo wanazingua niliamua sasa kutafuta wale waliozaliwa kuanzia 1997 and above na trick zangu huwa ni kutaka kuwaoa. Akiingia king lazima nmuumize tu. Sema kweli naumiza sana na hii namshukuru sana Mungu. Kwa mwaka huu nimepata wa kunililia 4. Ila mi nasema ni kisasi kwanza ndoa badayeeee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] no mercy
 
Jamaa angu siyo mikwara ila mengi huwa n ukweli kabsaaa, sema huwez Amin kuhusu umri kusonga nilikuwa naingelea jamii ambayo vijana wengi wapo ktk hali hyo but Mimi n kjana shupavu tu na nilikufa na kufufuka man
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Duuuuuu....nikiwa chuon mjamzito was miezi nane,nyumbani familia nzima imenitenga,aliniita sehemu KUNIAMBIA hanipendi na Mimi sio chaguo lake ila kuna mtu anampenda zaidi,niliumia sababu nilitegemea yeye ndio alikuwa msaada wng lkn alonigeuka bila hata huruma,hii kitu huwa inaniumizaga sana nikikumbuka but ashukuriwe Mungu atupaye kushindana zaidi ya kushinda!!!!
Sad [emoji26] dunia inawatu makatili Sana sheeeesh!!!!!!!
 
Mi tuliachana baada ya kuona ananizingua tu,yeye mwenyewe alitaka passwords zangu za facebook nikampa ,na yeye akanipa zake ,sasa kwenye inbox yale ya fb kuna jamaa kila siku anatuma msg "mpenzi nimekumiss ,mara lini tuonane tena",halafu yeye hajibu,ila jamaa anatuma tu inbox.

Nikajua hapa anawasiliana na kwa simu na huyu jamaa,aisee akaanza nyodo,kujibu msg akitaka,kumbe huyo jamaa ndo anampa kiburi.

Nikafungua account mpya fb kwa jina la jamaa na picha za jamaa,halafu nikainbox ,mpenzi ile aacount yangu ya fb imehakiwa nimefungua mpya tuwasiliane kwa hii,...gafla na yeye akaja kwa account fake ambayo mi nilikuwa sijui,akajibu " mi niko poa unajua mpenzi wangu ana password ya ile account ndo maana siwezi kukujibu kule,mi nimekumiss ila jamaa asijue,lini utakuja dar nimekumiss "

Tukachat ww,mwishowe nikamwambia "Nyau wewe unachat na Viol mwenyewe kumbe ndo zako,shika 50 zako sitaki kukuona na usinitext "

Aliona sana aibu aisee hakunitafuta tena maisha yakaendelea
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] maisha haya kmmk[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Currently Naenjoy mapenzi sehemu hivi, huku nikijua kuwa muda wowote lolote linaweza kutokea [emoji114][emoji847]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hii imekaa kigaidi sana [emoji23] inataka ukomavu katika siasa za mapenzi
[emoji16][emoji16][emoji16]usipokuwa na hizo trick itakula kwako Jambo la kwanza kabisa ambalo huwa nalifanya ilkuukomoa moyo nikufuta namba zake kila sehemu ili hata nikimkumbuka nisipate chance ya kumpigia [emoji16][emoji16][emoji16]

Halafu Sasa nakuwa nasikilizia simtafuti mpaka anitafute yeye asiponitafuta ndio Basi hiyo kila mtu Afanye mambo yake' tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom