Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Mi niliambiwa kuwa kapata mme mwingine but nashukuru Mungu huyo mme wake mpya alihama yule dem akachakaa. Nikaanza kukumbushia mara akaja et anikope pesa nikamkopesha kisha nikamdai mbele ya mashoga zake aliaibika sana.

Baada ya kuona kuwa mabinti wadogo wanazingua niliamua sasa kutafuta wale waliozaliwa kuanzia 1997 and above na trick zangu huwa ni kutaka kuwaoa. Akiingia king lazima nmuumize tu. Sema kweli naumiza sana na hii namshukuru sana Mungu. Kwa mwaka huu nimepata wa kunililia 4. Ila mi nasema ni kisasi kwanza ndoa badayeeee
Wewe ni ujinga umekujaa kichwani. Kweli sasa JF ina watoto lakini wacha magu awafungulieni shule june 29 hata corona iwaue watoto jamii yako.
 
hahaaah dogo ana mikwara huyu,gambe yeye..majimama yeye na kwenye vitoto vibichi yeye...ideas za biashara na ujasiriamali
yeye...kulalamika kuwa umri unaenda but maisha magumu yeye alafu anakwambia alikufa akafufuka hahaah
Jamaa angu siyo mikwara ila mengi huwa n ukweli kabsaaa, sema huwez Amin kuhusu umri kusonga nilikuwa naingelea jamii ambayo vijana wengi wapo ktk hali hyo but Mimi n kjana shupavu tu na nilikufa na kufufuka man
 
hahaaah dogo ana mikwara huyu,gambe yeye..majimama yeye na kwenye vitoto vibichi yeye...ideas za biashara na ujasiriamali
yeye...kulalamika kuwa umri unaenda but maisha magumu yeye alafu anakwambia alikufa akafufuka hahaah
 
Ivi kuna kitu inaumiza kama kupigiwa simu na mwanaume/mwanamke mwenzako kupitia simu ya mpenzi wako tena mida mibaya ya usiku sana au asubuhi sana na anampa simu akwambie kuwa huyo mtu ni nani kwake na bila woga wowote anasema ni mpenzi wake.
Hivi ndivyo nilivyojua kuwa sina changu tena ilinichukua mda sana kuwa sawa maana niliwekeza vingi sana kwake.
Nakumbuka ilinitokea hivi na hawakuridhika wakanitumia hadi picha za faragha whatsapp ni kitu ambacho kiliniumiza sana nilisamehe, nikasahau na nikaachana na huyo dada nikamove on after 1 month later akanitafuta anaomba msamaha turudiane kwakuwa wameachana sikumjibu chochote hadi leo hii imepita miaka minne ananitafuta bila mafanikio na ameshajaribu mara kadhaa kuvuruga mahusiano yangu ili arudi ila anaangukia pua.
Moyo una mengi sana hakuna kitu kizuri kama kusamehe bila msamaha ningekuwa wa ajabu mno. Mapenzi matam lakini yanaumiza sometimes
 
Mimi mawasiliano yalianza kupungua. Ukimtumia Msg anajibu P, Tantee,K . Mara Usinipigie Tuchart nk. Nikajua hapa Sina changu .

Sikumoja nilitoka kuoga nikakuta Missed call na Sms moja muda huohuo kwamba ""Ninakupigia Simu upokei..? haya maisha mema" ile namtafta nijitete nakuta kaisha nilamba Block
HAHAHAHAHAH ALIKUWA ANATAFUTA SABABU TU
 
Mimi mawasiliano yalianza kupungua. Ukimtumia Msg anajibu P, Tantee,K . Mara Usinipigie Tuchart nk. Nikajua hapa Sina changu .

Sikumoja nilitoka kuoga nikakuta Missed call na Sms moja muda huohuo kwamba ""Ninakupigia Simu upokei..? haya maisha mema" ile namtafta nijitete nakuta kaisha nilamba Block
Duuuuuu....nikiwa chuon mjamzito was miezi nane,nyumbani familia nzima imenitenga,aliniita sehemu KUNIAMBIA hanipendi na Mimi sio chaguo lake ila kuna mtu anampenda zaidi,niliumia sababu nilitegemea yeye ndio alikuwa msaada wng lkn alonigeuka bila hata huruma,hii kitu huwa inaniumizaga sana nikikumbuka but ashukuriwe Mungu atupaye kushindana zaidi ya kushinda!!!!
 
Alinitega kama mwanamke mwingine eti ili aone uaminifu wangu kwake... Nikajisemea kudate na Vitoto vidogoo kazi sana japo nilikipenda nikakipotezea yani as if hata hatujawahi date yani.. Mwaka mmoja later akaja kunicheck nkamjibu fresh tu afu kimyaa hadi leoo...
 
Duuh!! pole sana dadaangu ,
Huyu ata mbinguni atapasikia kwa Radio , ata Shitani amtaki ...!!

Huo ujauzito Ulikuwa wa kwake ..?
 
Ivi kuna kitu inaumiza kama kupigiwa simu na mwanaume/mwanamke mwenzako kupitia simu ya mpenzi wako tena mida mibaya ya usiku sana au asubuhi sana na anampa simu akwambie kuwa huyo mtu ni nani kwake na bila woga wowote anasema ni mpenzi wake.
Hivi ndivyo nilivyojua kuwa sina changu tena ilinichukua mda sana kuwa sawa maana niliwekeza vingi sana kwake.
Nakumbuka ilinitokea hivi na hawakuridhika wakanitumia hadi picha za faragha whatsapp ni kitu ambacho kiliniumiza sana nilisamehe, nikasahau na nikaachana na huyo dada nikamove on after 1 month later akanitafuta anaomba msamaha turudiane kwakuwa wameachana sikumjibu chochote hadi leo hii imepita miaka minne ananitafuta bila mafanikio na ameshajaribu mara kadhaa kuvuruga mahusiano yangu ili arudi ila anaangukia pua.
Moyo una mengi sana hakuna kitu kizuri kama kusamehe bila msamaha ningekuwa wa ajabu mno. Mapenzi matam lakini yanaumiza sometimes
Daaah!! Kwel mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom