apologize
JF-Expert Member
- Jul 22, 2015
- 709
- 570
wewe acha tu sijui nitumie njia gani nikae sawa.Daah!! Pole sana mkuu
Hapa nimekoma kuwa na mahusiano na mtu ninayefanya nae kazi
wewe acha tu sijui nitumie njia gani nikae sawa.Daah!! Pole sana mkuu
Mimi niliona mawasiliano yanapungua kuuliza akaniambia tutakuja kuongea. Asubuhi sa 11 niliamshwa kwa kibuti.
Kinachoniuma tupo ofisi moja na ss yupo likizo akirudi sijui maisha yatakuwaje ya kazi. Kufanya kazi na ex wako afu ulimpenda inaumiza.
Unaanza kama unavyoanza na usiyefanya naye kazi au kusoma class moja. Approach ni ileile ila mazingira ndio tofauti mkuu. Na mara chache utampenda mtu mnayeishi mazingira tofautitofauti (hamkutani marakwamara).Hivi mtu unaanzaje kuwa na uhusiano na mtu unaefanya nae kazi sehem moja? Au mtu unaesoma nae class moja? Matatizo mengine ni ya kıjitafutia!
Ni vigumu kumpenda mtu ambaye humuoni mara kwa maraHivi mtu unaanzaje kuwa na uhusiano na mtu unaefanya nae kazi sehem moja? Au mtu unaesoma nae class moja? Matatizo mengine ni ya kıjitafutia!
Huyo naona alikuwa anakupenda lakini kuna mtu alimuona anafaa kuliko wewe labda kutokana na changamoto za mahusiano yenu kwa mtizamo wake akaona awe na mtu mwingine. Lakini pia huyo mtu alimjali manzi mwanzoni tu baadaye akawa anamzingua huyo manzi. Hapo ndio mwanamke akawa na stress za mapenzi hadi kukonda. Alikuwa anajua unampenda katika mahangaiko ya huku na kule akaona sehemu salama ya kumpoza roho yake ni kurudi kwako.Haya mambo Mimi yamenikuta siku chache zilizopitaa kitu nilichogundua hapa nimeshaachwa ila najilazimisha kwanza
1.mawasiliano ukimtumia text inavyojibiwa
Kikawaida sio kimahaba tena kama zamani
2.mkiongea kwenye anaongea kwa hasira hasira kila saa analalamika sijui hivi Mara vile mara mwanaume wewe hivi Mara vile
3.kitu kidogo mnagombana na ugomvi wake sio wa kitoto alafu kauli zake kila saa kama umenichoka niambie, Mara sikulazimishi kuwa na mie, Mara upendo wangu kwako umepungua,
4.maji yalivyonifika shingon nikalileta hili jambo jf comments nilizoshauliwa niachane na Huyo mwanamke ameshakuchoka na ukiendelea kumfata fata utaumia zaidi
5.mwisho wa siku niliamua tuu kupotezea niendelee na maisha mengine na demu nae akanipotezea baada ya week mbili alivyogundua nimempotezea alinitext usiku wa manane Mimi na wewe basiii sikumjibu chochote hata simu zake sikuzipokeaa
6.baada ya miezi sita kupita aliniatafuta kuniomba turudiane ila alikuwa kachakaaa kinoma noma
Haya mambo Mimi yamenikuta siku chache zilizopitaa kitu nilichogundua hapa nimeshaachwa ila najilazimisha kwanza
1.mawasiliano ukimtumia text inavyojibiwa
Kikawaida sio kimahaba tena kama zamani
2.mkiongea kwenye anaongea kwa hasira hasira kila saa analalamika sijui hivi Mara vile mara mwanaume wewe hivi Mara vile
3.kitu kidogo mnagombana na ugomvi wake sio wa kitoto alafu kauli zake kila saa kama umenichoka niambie, Mara sikulazimishi kuwa na mie, Mara upendo wangu kwako umepungua,
4.maji yalivyonifika shingon nikalileta hili jambo jf comments nilizoshauliwa niachane na Huyo mwanamke ameshakuchoka na ukiendelea kumfata fata utaumia zaidi
5.mwisho wa siku niliamua tuu kupotezea niendelee na maisha mengine na demu nae akanipotezea baada ya week mbili alivyogundua nimempotezea alinitext usiku wa manane Mimi na wewe basiii sikumjibu chochote hata simu zake sikuzipokeaa
6.baada ya miezi sita kupita aliniatafuta kuniomba turudiane ila alikuwa kachakaaa kinoma noma
1, 2 na 3 kama mimi tu.Haya mambo Mimi yamenikuta siku chache zilizopitaa kitu nilichogundua hapa nimeshaachwa ila najilazimisha kwanza
1.mawasiliano ukimtumia text inavyojibiwa
Kikawaida sio kimahaba tena kama zamani
2.mkiongea kwenye anaongea kwa hasira hasira kila saa analalamika sijui hivi Mara vile mara mwanaume wewe hivi Mara vile
3.kitu kidogo mnagombana na ugomvi wake sio wa kitoto alafu kauli zake kila saa kama umenichoka niambie, Mara sikulazimishi kuwa na mie, Mara upendo wangu kwako umepungua,
4.maji yalivyonifika shingon nikalileta hili jambo jf comments nilizoshauliwa niachane na Huyo mwanamke ameshakuchoka na ukiendelea kumfata fata utaumia zaidi
5.mwisho wa siku niliamua tuu kupotezea niendelee na maisha mengine na demu nae akanipotezea baada ya week mbili alivyogundua nimempotezea alinitext usiku wa manane Mimi na wewe basiii sikumjibu chochote hata simu zake sikuzipokeaa
6.baada ya miezi sita kupita aliniatafuta kuniomba turudiane ila alikuwa kachakaaa kinoma noma
0iqNaweza kupiga call ata 7 na asirespond ata akiona missed call
Muda akijisikia kupokea ukimuuliza anasema alikuwa busy na hajaona chochote
iliniwia vigumu kukubaliana na ukweli ila mwisho wa siku nilikaza Roho na kuibukia huku kwenye Uchakataji,
"MIMI NIJE KUPENDA TENA MWANAMKE LABDA NIFE NA KUFUFUKA TENA "
Et ita jisovuAliamua kuwa kimya ghafla, ukimtafuta na kumuuliza shida nini, anasema hamna shida, nikiuliza mbona kimya anajibu itajisolve, nisipomtafuta hanitafuti, I was ghosted, after like 3 years nikaona anaolewa.
Nilichakaa
Daah!! MkuuAliamua kuwa kimya ghafla, ukimtafuta na kumuuliza shida nini, anasema hamna shida, nikiuliza mbona kimya anajibu itajisolve, nisipomtafuta hanitafuti, I was ghosted, after like 3 years nikaona anaolewa.
Nilichakaa

pole sana . 

.. ?? Akaamua kukutema