Dadii
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 749
- 1,180
pole mkuu ndio maisha.....! tafuta nawe wa kujipozea.nadhani walivoimba usijeniacha solemba walinikusudia.
pole mkuu ndio maisha.....! tafuta nawe wa kujipozea.nadhani walivoimba usijeniacha solemba walinikusudia.
yupo hapa mkuupole mkuu ndio maisha.....! tafuta nawe wa kujipozea.
Yeah! To the foolestenjoy as hard as you can mkuu.
Hii ni bonge la upelelezi sio mchezo yani....Hii inaitwa FBI [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nshapoa mkuu japo effects zake adi leo znantafunaDaah!! Pole sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo nlkua naanza mapenz inshort,,, nlimuamin kupitiliza adi nkamsahau alekua akinpenda kwa dhati nkaachwa ili mekaa selew elew nrud kwa elekua aknpenda kwa dhati nkakuta wahun washatia kambi nkala za uso ndo adi leo nabung'aabung'aa tu..... kuna sku ntakuja ni iyo stori apa jukwaan japo siko vzr sana kwny masimulizMkuu inaonekana Ulimpenda sana ..!!
Dah..[emoji26][emoji26]Alinichana live hanitaki tena, simu hapokei wala sms hajibu,baada ya usumbufu kuzidi akanipa block[emoji19]
Mimi niliona mawasiliano yanapungua kuuliza akaniambia tutakuja kuongea. Asubuhi sa 11 niliamshwa kwa kibuti.
Kinachoniuma tupo ofisi moja na ss yupo likizo akirudi sijui maisha yatakuwaje ya kazi. Kufanya kazi na ex wako afu ulimpenda inaumiza.
Nilisikia tu watu wanasema kuwa nimeachwa[emoji23]
Mimi ndo nilimuacha sio siku nyingi...baada ya kunisonya...nikampigia nikamwambia kuanzia leo mimi na wewe basi..akanipigia akaniuliza kwanini nikamwambia sisonywi na mwanamke zaidi ya mama angu mzazi..akawa anapiga simu sipokei, akituma sms sijibu...mpaka kakubali matokeo..
Mimi mawasiliano yalianza kupungua. Ukimtumia Msg anajibu P, Tantee,K . Mara Usinipigie Tuchart nk. Nikajua hapa Sina changu .
Sikumoja nilitoka kuoga nikakuta Missed call na Sms moja muda huohuo kwamba ""Ninakupigia Simu upokei..? haya maisha mema" ile namtafta nijitete nakuta kaisha nilamba Block [emoji2][emoji2]
Hamna mkuu.. Kupenda utapenda tu yule ambae Mungu amekupangia siku ikiwadia!Naweza kupiga call ata 7 na asirespond ata akiona missed call
Muda akijisikia kupokea ukimuuliza anasema alikuwa busy na hajaona chochote
iliniwia vigumu kukubaliana na ukweli ila mwisho wa siku nilikaza Roho na kuibukia huku kwenye Uchakataji,
"MIMI NIJE KUPENDA TENA MWANAMKE LABDA NIFE NA KUFUFUKA TENA "
Aaaah! JF raha sana,
Raha Sana!😀😁Aaaah! JF raha sana,
Dem wangu Alinikataa bwana nilichokifanya nikampa mimba kabisaa mdogo wake mzurimzuri, ili anikumbuke vizuri.