Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Ha
Mi tuliachana baada ya kuona ananizingua tu,yeye mwenyewe alitaka passwords zangu za facebook nikampa ,na yeye akanipa zake ,sasa kwenye inbox yale ya fb kuna jamaa kila siku anatuma msg "mpenzi nimekumiss ,mara lini tuonane tena",halafu yeye hajibu,ila jamaa anatuma tu inbox.

Nikajua hapa anawasiliana na kwa simu na huyu jamaa,aisee akaanza nyodo,kujibu msg akitaka,kumbe huyo jamaa ndo anampa kiburi.

Nikafungua account mpya fb kwa jina la jamaa na picha za jamaa,halafu nikainbox ,mpenzi ile aacount yangu ya fb imehakiwa nimefungua mpya tuwasiliane kwa hii,...gafla na yeye akaja kwa account fake ambayo mi nilikuwa sijui,akajibu " mi niko poa unajua mpenzi wangu ana password ya ile account ndo maana siwezi kukujibu kule,mi nimekumiss ila jamaa asijue,lini utakuja dar nimekumiss "

Tukachat ww,mwishowe nikamwambia "Nyau wewe unachat na Viol mwenyewe kumbe ndo zako,shika 50 zako sitaki kukuona na usinitext "

Aliona sana aibu aisee hakunitafuta tena maisha yakaendelea
Hahahah huyo ulitakiwa umseti Lodge kabisa. Mwambie lipia chumba flani nitakuja ku clear kisha unaibuka kwenda kumchakata, atashangaa unagongwa mlango akiufungua ni wewe ile dizaini usiyempenda kaja...
Wala usitake maongezi mengi mwambie naelewa kila kitu ulichotaka kufanya na jamaa ntakifanya mimi.

Hapo naichakaza Mbunye kama ni usiku mzima napaka hata mkongo ili nimkomeshe huyo malaya, kisha kesho tunapotoka hapo ndio mwisho wa mawasilianao na mahusianoa.
 
Hahaha.

Yani ukiwa mgeni JF unaweza dhania ni wanaume pekee ndio wanaumizwa kwenye mapenzi yani full kulaumu na kulaani hadi wanachosha.
I think sababu kubwa Ni kwamba wanaume wengi hatuwezi kusema mattzo yetu'' yanayo tusibu ktk mahusiano in public that's why unakuta malalamiko mengi humu kuwahusu wao ...kwa sababu Hapa wanapata kutumia ghost ids so identity zao halisi hazijulikani
 
Na wanatuona kama mashetani jamani, wakati sie ndio wafariji wao. Hebu wajitahidi hayo maumivu yaishe tuenjoy maisha bwana. We only live once.
 
Sasa mahusiano kuwa kichomi si wote mmechangia jamani? Ndo mpambane kuyafanya matamu muenjoy maisha.
Wengi tuna jitahidi kuepuka kuingia kwenye shimo la msongo wa mawazo na kulinda heshima .that's why niwatu wachache Sana ambao huwa wanavumilia mapicha picha yaliyopo ktk mahusiano ya siku hizi kwa sababu hawatki kuumizwa Kama hapo awali

[emoji16][emoji16][emoji16]

Hata hivyo sio kila kitu kipo kwaajili ya kila mtu mambo mengine Ni talanta za watu ujue
 
Ha
Hahahah huyo ulitakiwa umseti Lodge kabisa. Mwambie lipia chumba flani nitakuja ku clear kisha unaibuka kwenda kumchakata, atashangaa unagongwa mlango akiufungua ni wewe ile dizaini usiyempenda kaja...
Wala usitake maongezi mengi mwambie naelewa kila kitu ulichotaka kufanya na jamaa ntakifanya mimi.

Hapo naichakaza Mbunye kama ni usiku mzima napaka hata mkongo ili nimkomeshe huyo malaya, kisha kesho tunapotoka hapo ndio mwisho wa mawasilianao na mahusianoa.
Hivi ukatili utaacha lini? Na unakusaidia nini lakini?
 
Wengi tuna jitahidi kuepuka kuingia kwenye shimo la msongo wa mawazo na kulinda heshima .that's why niwatu wachache Sana ambao huwa wanavumilia mapicha picha yaliyopo ktk mahusiano ya siku hizi kwa sababu hawatki kuumizwa Kama hapo awali

[emoji16][emoji16][emoji16]

Hata hivyo sio kila kitu kipo kwaajili ya kila mtu mambo mengine Ni talanta za watu ujue
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah bwana we, mapenzi tuliumbiwa wote. Hebu tuyafanye imara ili yatufurahishe wote. Kukomoana wala hakujengi.
 
I think sababu kubwa Ni kwamba wanaume wengi hatuwezi kusema mattzo yetu'' yanayo tusibu ktk mahusiano in public that's why unakuta malalamiko mengi humu kuwahusu wao ...kwa sababu Hapa wanapata kutumia ghost ids so identity zao halisi hazijulikani
Muwe mnatwambia yanayowasibu jamani, tupo kwaajili yenu. Msisubiri kuja kunung'unikia huku mitandaoni, hamtatui tatizo.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] tuwaambie !?

Hauoni hapo Kuna ambao wametoa incidence kwamba walikuwa Wana waambia wapenzi wao kero zilizopo ktk mahusiano yao at end of the day wakaishia kupigwa block?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Punguzeni viburi mpendwe kenge nyie.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Usipokuwa kiburi ktk dunia hii ya Sasa tarajia kuonekana boya .... Bwege wee [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16] tuwaambie !?

Hauoni hapo Kuna ambao wametoa incidence kwamba walikuwa Wana waambia wapenzi wao kero zilizopo ktk mahusiano yao at end of the day wakaishia kupigwa block?
Basi hawakuwa na mawasiliano mazuri kati yao.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Usipokuwa kiburi ktk dunia hii ya Sasa tarajia kuonekana boya .... Bwege wee [emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa mkijikausha ndio mnajiona wanajanja eeh? Basi endeleeni kuugua.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah bwana we, mapenzi tuliumbiwa wote. Hebu tuyafanye imara ili yatufurahishe wote. Kukomoana wala hakujengi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Wajua mpaka uje kukutana na right person hapo ktkati lazima ukutane na manyang'au ya kutosha ... Sasa sisi wengine ngoja tutulie kwanza Tumewaachia wenye vipaji vyenu
 
Mimi mawasiliano yalianza kupungua. Ukimtumia Msg anajibu P, Tantee,K . Mara Usinipigie Tuchat nk. Nikajua hapa Sina changu .

Siku moja nilitoka kuoga nikakuta Missed call na Sms moja muda huohuo kwamba ""Ninakupigia Simu upokei..? haya maisha mema" ile namtafta nijitete nakuta kaishanilamba Block [emoji2][emoji2]
😂 😂 😂
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Wajua mpaka uje kukutana na right person hapo ktkati lazima ukutane na manyang'au ya kutosha ... Sasa sisi wengine ngoja tutulie kwanza Tumewaachia wenye vipaji vyenu
Eti manyang'au[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndo ukute right person umekutana nae ila sababu ya unyang'au wako hukumuona, sasa endelea kusubiri meli airport
 
Uliwezaje kusubiri miaka 3! Ilibidi ujiongeze mapema
Aliamua kuwa kimya ghafla, ukimtafuta na kumuuliza shida nini, anasema hamna shida, nikiuliza mbona kimya anajibu itajisolve, nisipomtafuta hanitafuti, I was ghosted, after like 3 years nikaona anaolewa.
Nilichakaa
 
Sasa mkijikausha ndio mnajiona wanajanja eeh? Basi endeleeni kuugua.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sasa wajijusha kwa mtoto wa kike halafu mtoto wa kike anakuona Kama ndio umekwaama Sana kwake .... Unadhani if wajielewa kitakacho fuata Ninini !? Kama sio kumkimbia ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom